TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

Nilimpiga pale Jangwani kwenye uzinduzi wa kampeni za Slaa mwaka 2010 hadi akalia kama mtoto pale alipokata matangazo ya TBC baada ya Marando kumlipua Kikwete na EPA. Jamaa alikuwa laini laini sana.
 
Acha uzombi wewe, unataka nani akutajie chanzo cha kifo chake? Serikali yenu hiyo iliyosheheni Wapuuzi watupu?

Serikali wapuuzi watupu! How. Unakunyaa hapa kwa Amani. Unalindiwa usalama wako na mama yako na baba yako na wadada na mume wako. Then unaita wapuuzi.

Kuambiwa hapa Kuna ulinzi wa Siri za mtu zisikufanya kuwa mwepesi ku advertise your stupidness.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ndio maana huwa tuna msemo mtu yeyote akifa awe tajiri au maskini lazima tuseme “Maskini Fulani kafariki”
Unaondoka mazima bila kitu


Sent from my iPhone using Tapatalk
Mkuu hapo neno masikini huwa linatumika visivyo. Hiyo inatokana na direct translation from 'poor somebody' kwa maana ya kuonesha sympath ila waswahili wanasema 'masikini fulani', badala yake ilitakiwa useme marehemu(wa kuhurumiwa/showing sympath) fulani.

Pia ni kama wale wanaotumia 'mwisho wa siku' kutafsiri 'at the end of the day' badala ya kutumia mwishowe ama hatimaye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inna lillah wainna ilahy rajiuun
 
 
Ni kweli jamani?

Maana siku ya leo ni ya mashaka sana maana wapumbavu na wajinga wengi wapo mitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…