Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Anzia serikali ya kijiji/mtaa unakoishi mpaka kwenye kamati ya ulinzina usalama ya wilaya unakoishi wakipitisha basi unapewa kibali unakwenda duka la silaha mzinga kule morogoro au tanganyika arms dar au moshi.
 
Kwaza unaenda duka la silaha unachagua bunduki/ bastola, then unalipia unaacha hapo, unaenda kwa Mwenyekiti wako wa kijiji anakupa barua ya utambulisho, then unaenda kwa ofisi ya mkuu wa wilaya, kuomba kibali, utajadiliwa na kamati ya Ulinzi na usalama, wakiridhika wanakupa kibali, unaenda kuchukua silaha yako ulioilipia tayari.
Wakikukataa unaenda kuchukua hela yako dukani.
 
Kuna mikoa mabayo watu wana miaka mitano na kamati za ulinzi zimekalia fomu
 
bula vi konekshen, kacheo kazito au pesa hio bunduki utailipia leo dukani lakini ukaja kuichukua 2027 au ukakataliwa kabisa ukaenda kuchukua pesa yako enzi hizo haina thamani kama leo.

Anyway, kunaulazima sana wa kuimiliki??
 
Huku mbele tuna mashine za ukweli
FB_IMG_1608925656652.jpg
FB_IMG_1608925643046.jpg
 
Ukiona urasimu bongo mkubwa kama ilivyo jadi,sema nikupe bastola ya kijadi.Haina usajili,leseni haina wala hakuna atakayejua kama unayo.Bastola hiyo ni kwa ajili ya kuzuia wezi tu si kuua wala kwenda kuibia.

Ni kimti fulani unaweka home kwako basi,wezi wakija nyumba hawaioni basi,kama una mshiko mkubwa,basi unanusa kijiti chako,vibaka/wezi hawakuoni.Hizo za kisasa balaa.
wewe kweli nyambuda! yaani unatumia isa kufidunda kuno viti ing'wale kukikogha!!!!
 
Hivi kama haya ni bei gani najitaji moja lenye darubini la kujirinda tu home
FB_IMG_1592158794970.jpg
 
Kwaza unaenda duka la silaha unachagua bunduki/ bastola, then unalipia unaacha hapo, unaenda kwa Mwenyekiti wako wa kijiji anakupa barua ya utambulisho, then unaenda kwa ofisi ya mkuu wa wilaya, kuomba kibali, utajadiliwa na kamati ya Ulinzi na usalama, wakiridhika wanakupa kibali, unaenda kuchukua silaha yako ulioilipia tayari.
Wakikukataa unaenda kuchukua hela yako dukani.
Nchi zetu zipo nyuma sana aisee
 
na smell smell mtu anataka kudito watu....kijana angaliaaaa!!!!mie ushauri wangu ingia gym kula nondo la nguvu ukitoka kachukue tizi la karate self defense tosha kabsaaaa tuone ka kuna mtu atakusumbua wala kukugusa!!
Karate itapambana na risasi?mkuu?
 
Habari zenu wakuu.

Mwenye uelewa wa haya mambo ya kumiliki silaha hasa hizi ndogo kama bastola kwa ajili ya ulinzi binafsi naomba msaada wa kunijulisha taratibu zake zinavyokuwa.

Nazihitaji sana kwa sasa, nataka kufahsmu wapi pa kuanzia
 
Unawasilisha ombi lako kwa kamati ya Ulinzi (na usalama) ya Wilaya kipitia OCD then Kamati ya Ulinzi na Wilaya inakujadili na kukupendekeza kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa. Huo ndio utaratibu kwa ufupi.
 
Naandika barua?
 
1. Naenda kanunue SILAHA kwanza au ujue ni Aina gani ya bunduki unavyo taka kumiliki na specification zake
2. Naenda Kituo cha Polisi kuanzia ngazi ya Wilaya sio vituo vidogo kaombe fomu ya kumiliki silaha inatolewa bure
3. Utajaza taarifa zako binafsi ikiwa pamoja na taarifa za bunduki, Aina na muundo wakepamoja na maker. Pia utaeleza matumizi ya bunduki hiyo
4. Utapeleka fomu kwa mtendaji wa kijiji, kamati itakaa kukujadili na kuandika muhtasari wa kikao pamoja nawajumbe kusaini kwenye fomu yako ya maombi
5 utapeleka fomu kwa mtendaji wa KATA, nao watafanya kama mtendaji wa kijiji
6. Utapeleka fomu kwa OCD -Mkuu wa Polisi Wilaya husika ulipo chukulia fomu nae ataiwadilisha kwa Mkuu wa Wilaya ambeye ndie mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wataijadili kwenye kikao na kutia saini kwenye fomu hiyo na kuituma kwa RPC - Kamanda wa Polisi Mkoa
7. Fomu hiyo itajadiliwa tena kwenye kamati ya ulinzi na usalama Mkoa ikiongozwa na RC baada ya hapo fomu hiyo itatumwa kwa DCI kwa hatua ya mwisho.
 
Back
Top Bottom