Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Utapata majibu ila nakuongezea kidogo ushaur Benda YouTube search active self protection ni channel nzuri Sana mtalaam John anafundisha
 
Teaser na hio spray labda uagize nje ila bastola uwezekano WA kupata hapahapa upo
 
Ndo maana mie Nina manati yangu na risasi zake (a.k.a Mbulunga) shida yangu ni jicho tu basi, siyo lile linaloshadadiwa kule Zanzibar
 
habali zenu wapendwa pasipo kupoteza mda nahtaji nimiliki siraha kihalali na niitumie ktk shughuri zangu za halali za kujiingizia kipato tafadhari sana wapendwa naombeni mnipe mbinu nianzie wapi mpaka nifanikiwe umri miaka 28. bei na taratibu kisheria zipoje.?
 


Wanakuja pia hongera Sana kwa hatua hiyo nzuri.
 
Sure
 
Bora uzi wako umeunganishwa maana unaandika vibaya mno, SIRAHA, MDA, SHORT GUN
 
Shikamoo mods
 
Mtu akitaka kumiliki bastola utaratibu ukoje wakuu. Na je unajinunulia mwenyewe unayoitaka au zipo unalipia wanakupa.
 
Lazima ufanye maombi kwanza ,pia lazima waangalie na vigezo kama umri/ utimamu wa akili / na rekodi yako .

Lazima uwe na wadhamini , pia upate mafunzo rasmi ya matumizi ya silaha , pia kuna Ada ya kulipia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…