Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Hello guyz, i hope mko gud sana. Mimi ni mwananchi wa kawaida kabisa, sina kipato kikubwa wala utajiri, lakini nina wazo la kumiliki silaha ya moto kwa matumizi ya kawaida tu kama raia wa Tanzania. Naomba mwenye uelewa wa jambo hili anijuze process za kupitia nianze mchakato. Nawasilisha...

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app

Nenda polisi kupeleka maombi yako, huko watakuhoji sababu ya wewe kuhitaji silaha ya moto wakishakuhoji watakupa utaratibu unaofuata, nadhani itabidi uende kwa Mwenyekiti wa serikali ya mtaa au Afisa mtendaji wa kata ili taarifa zako wazithibitishe halafu mambo mengine hufuata.
 
Sawa mkuu. In case nawaambia sababu mi kutaka tu kujilinda, naweza kubaliwa?

Back
Top Bottom