Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Mhh, i dont get it better. Hizi vitu mimi huwa sipendi hata kujihusisha nazo

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
NCHI wameifanya MTI,
Mjenzi anauona MBAO,
Ndege ataona MAKAZI,
Mkulima ataona MAZAO,
Mganga Ataona DAWA na
Mpishi atauona KUN...🙊

Seremala atauona samani
Mjenzi atauona kenchi
Mwalimu atauona bakora
Mvuvi atauona mtumbwi.
Mpishi atauona mwiko.
Mpita njia atauona kivuli.
 
Sawa mkuu. In case nawaambia sababu mi kutaka tu kujilinda, naweza kubaliwa?

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app

Wewe usihofu nenda tu katoe sababu inayofanya uhitaji hiyo silaha, kukukubalia au kukukatalia hiyo ni juu yao.

Hata kujilinda ni sababu ya mtu kuhitaji silaha pia, wapo watu mfano matajiri, wafanya biashara, wanasiasa nk wanamiliki bastola kwa ajili ya kujilinda, kinachotakiwa tu waridhike na hijitaji lako, ila watakuhoji kishenzi ili wajiridhishe ni lazima ujiandae haswa, hofu yao ni kwamba hiyo silaha ukiipata isijekutumika kinyume.
 
Nimekupata vyema sana. So naenda ngazi ya kituo au polisi Wilaya?

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Habarini wana jukwaa, naamini mko safi na maisha yanaeendeleaa na harakati zake.

Nimekuja na dukuduku linalonitesa kwa muda sasa juu ya hizi bidhaa na upatikanaji wake. Nahitaji kufahamu hatua za awali kabisa japo mwanzo niliambiwa inabidi nianze kwa mtendaji wa mtaa, lakini ilikuwa muongozo tu wa kupata kibali.

Nahitaji bidha hizi bastola ndogo ya mkononi, shoti ya umeme(teaser) na spray ile ya kupulizia kwenye macho ilikumfanya adui asione.

Nimeona niandike huu uzi baada ya kunusurika kutapeliwa na jamaa zangu waliopo South Africa ambao waliniakikishia upatikanaji wa izo bidhaa, na pili ni kuwa nataka ni miliki hizo bidhaa kihalali kabisa na niwe na vibali vyote.

Mwenye kufahamu mahala ntakapo zipata kwa kununua.
 
Back
Top Bottom