Dr. Slaa pole sana Mkuu,
Tuko pamoja. Aksante kwa kuweka taarifa sahihi. Hata hivyo bado mimi najiuliza kwanini Jeshi la Polisi la CCM lina operate kwa double standard? Igunga kuna Wabunge wa CCM kina Rage walionekana wakihutubia Mikutano ya Kampeni na Bastola zao viunoni lakini hawakukamatwa.kuhojiwa wala kunyang'anywa hizo silaha na au baadaye kurudishiwa kama walivyofanya kwenu?
Huu ni ubaguzi wa kijinga kabisa. Yaani CCM wakiwa na silaha kwenye mikutano ni sawa,lakini CDM wakibeba silaha hata kama wanazimiliki kihalali ni kosa! Huu uhuni lazima utafutiwe dawa na ukomeshwe once and for all. Hatuwezi kuwa na Jeshi la Polisi la kihuni linalotekeleza amri za kijinga kutoka CCM.