nguvumali
JF-Expert Member
- Sep 3, 2009
- 4,924
- 1,334
Mimi ndio maana nasema polisi ni mawakala wa wawatawala, wanatumika wakiachwa fukara waliopindukia, halafu kwakua wamepumbazwa na kupumbazika wanadhani ccm ni mali ya dola , na dola ni mali ya CCM.
Huwezi kuamini mtu anaelipwa below 250,000 anaweza kuwatesa watetezi wa maslahi yao, ndio maana rafiki yangu akiishakua karibu na polisi mimi na huyo mtu mbalimbali, kwakua kuwa karibu na polici ni kuwa karibu na watu waliochanganyuikiwa na kuharibikiwa na kuruhusu kutumiwa na wanasiasa hawa hasa CCM.
Yupo Polisi mmoja anaitwa Chagonja, mimi naamini uelewa wake hauko barabara juu ya haki na wajibu wa jeshi katika kusimamia ulinzi na usalama.