mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,649
anaeza akafa kwa njaa huyo......................vp hajala tangu jana anataka hyo silaha kwa matumizi yeeepi?mana ka hajala tangu jana na kisa ndo hicho kuna uwalakiniZa humu members!
Ndugu yangu leo anashindwa kula kisa kaenda kuomba barua ya m/kiti wa mtaa apeleke Mzinga ili achague silaha aandikishwe na kusubiri vikao. Amekataliwa kwa kua hajatoa mlungula...je aende wapi kumlalamikia huyu ?
Tumsaidie ndugu yangu hajala tangu jana.
Nawakilisha.
<br /><font size="3">anaeza akafa kwa njaa huyo......................vp hajala tangu jana anataka hyo silaha kwa matumizi yeeepi?mana ka hajala tangu jana na kisa ndo hicho kuna uwalakini</font>
Uwezo wa polisi kuelewa mambo ni mdogo wao walikua wanataka tu sababu ya kufungua kesi kuubwa wameshindwa .Slaa anatokea Arusha hajaanza kumiliki silaha leo .Silaha ile imetoka mkoa wa Arusha leo wanaonyesha nini labda mbinu zao wanawapa majambazi wamvamie kwa kuonyesha aina ya slaha aliyo nayo si zaidi .
Nadhani ni vema nikaweka kumbukumbu sahihi
1. Dr Slaa hakukamatwa na kukutwa na bastola. Dr Slaa alikuwa ndani ya Fuso wakati mabomu ya machozi yalipoanza kupigwa majira ya saa 10.45 alfajiri. Nilikaa ndani ya gari hadi majira ya saa 12.15 nilipotoka mwenyewe.
2. Nilikabidhi bastola yangu kwa hiari yangu kwa mujibu wa sheria ndiyo maana swala la bastola haliko kwenye kesi waliyonifungulia.
3. Jioni nilipopewa mdhamana nikarudishiwa bastola yangu kwa kuwa ninaimiliki kihalali.

Tupo pamoja Dr wa ukweli ukombozi unakaribia tuna imani na chadema kwa 100% hakuna kulala mpaka kielewekeNadhani ni vema nikaweka kumbukumbu sahihi
1. Dr Slaa hakukamatwa na kukutwa na bastola. Dr Slaa alikuwa ndani ya Fuso wakati mabomu ya machozi yalipoanza kupigwa majira ya saa 10.45 alfajiri. Nilikaa ndani ya gari hadi majira ya saa 12.15 nilipotoka mwenyewe.
2. Nilikabidhi bastola yangu kwa hiari yangu kwa mujibu wa sheria ndiyo maana swala la bastola haliko kwenye kesi waliyonifungulia.
3. Jioni nilipopewa mdhamana nikarudishiwa bastola yangu kwa kuwa ninaimiliki kihalali.
Dr. Slaa pole sana Mkuu,
Tuko pamoja. Aksante kwa kuweka taarifa sahihi. Hata hivyo bado mimi najiuliza kwanini Jeshi la Polisi la CCM lina operate kwa double standard? Igunga kuna Wabunge wa CCM kina Rage walionekana wakihutubia Mikutano ya Kampeni na Bastola zao viunoni lakini hawakukamatwa.kuhojiwa wala kunyang'anywa hizo silaha na au baadaye kurudishiwa kama walivyofanya kwenu?
Huu ni ubaguzi wa kijinga kabisa. Yaani CCM wakiwa na silaha kwenye mikutano ni sawa,lakini CDM wakibeba silaha hata kama wanazimiliki kihalali ni kosa! Huu uhuni lazima utafutiwe dawa na ukomeshwe once and for all. Hatuwezi kuwa na Jeshi la Polisi la kihuni linalotekeleza amri za kijinga kutoka CCM.
Pole sana kamanda:Nadhani ni vema nikaweka kumbukumbu sahihi