King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Vijana wa kibongo wakishanunua starlet na kujenga vyumba viwili mivumoni au mavurunza na wao wanataka kumiliki silaha kazi kweli kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Consultant,ninachofahamu ni kwamba kama umeinunua nje ya nchi kihalali na unakuja nayo Tanzania,ukifika Airport hawatakuruhusu kupita nayo, utai-surrender pale kwa wahusika wa Ulinzi na Usalama. Kuna maelekezo ambayo utapewa na kuja kuyafanyia kazi kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama kisha ukikamilisha ndio utakabidhiwa silaha yako. Inachukua muda kidogo mpaka kupewa kwani nao itabidi wa-confirm na idara husika za huko ulikotoka nayo ili kujiridhisha. Sasa hiyo ni Silaha unayoimiliki kihalali kutoka nje mlolongo unakuwa hivyo,sasa ukija na yako ya magumashi isiyo na document jibu nadhani utakuwa umeshalipata kuwa itakuwa ni ngumu kupita nayo kwa taratibu za kawaida,labda nayo upite nayo kimagumashi
Habari wanaJF,
Jana asubuhi kuna maofisa wa polisi walikuwa clouds fm wanaelekeza utaratibu wa kuweza kumiliki silaha kihalali, lkn kwa bahati mbaya nilikuta kipindi kiko mwisho hivyo basi naomba kwa mnaojua mtujuze ni utaratibu upi mtu afuate ili aweze kumiliki silaha kihalali.
Pia naomba tupate tafasiri/tofauti ya haya maneno Bunduki, bastola, pisto.

Wakuu naomba kujua taratibu za kufuata kumiliki silaha kihalali, mahali wanapouza na njia za kufuata.
Kama kuna shortcut za vichochoron za kupata sio mbaya mkiniwekea hapa.