Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Vijana wa kibongo wakishanunua starlet na kujenga vyumba viwili mivumoni au mavurunza na wao wanataka kumiliki silaha kazi kweli kweli.
 
Maelezo ni marefu lakini ni mazuri. Ikitokea umelipia alafu baada ya huo mzunguko umekosa sifa za umiliki je pesa zako zinarudishwa?
 
Mkuu Consultant,ninachofahamu ni kwamba kama umeinunua nje ya nchi kihalali na unakuja nayo Tanzania,ukifika Airport hawatakuruhusu kupita nayo, utai-surrender pale kwa wahusika wa Ulinzi na Usalama. Kuna maelekezo ambayo utapewa na kuja kuyafanyia kazi kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama kisha ukikamilisha ndio utakabidhiwa silaha yako. Inachukua muda kidogo mpaka kupewa kwani nao itabidi wa-confirm na idara husika za huko ulikotoka nayo ili kujiridhisha. Sasa hiyo ni Silaha unayoimiliki kihalali kutoka nje mlolongo unakuwa hivyo,sasa ukija na yako ya magumashi isiyo na document jibu nadhani utakuwa umeshalipata kuwa itakuwa ni ngumu kupita nayo kwa taratibu za kawaida,labda nayo upite nayo kimagumashi

Ya kimagumashi itakuja kupeleka jela piga ua ni swala la muda tu.
Katika maswala ya silaha za moto jiepushe sana na silaha za kimagumashi, fuata taratibu zilivyo.
 
Habari wanaJF,

Jana asubuhi kuna maofisa wa polisi walikuwa clouds fm wanaelekeza utaratibu wa kuweza kumiliki silaha kihalali, lkn kwa bahati mbaya nilikuta kipindi kiko mwisho hivyo basi naomba kwa mnaojua mtujuze ni utaratibu upi mtu afuate ili aweze kumiliki silaha kihalali.

Pia naomba tupate tafasiri/tofauti ya haya maneno Bunduki, bastola, pisto.
 
Nnavyofahamu mimi
Bunduki = GUNS
Pistol= Bastola

BUNDUKI HUWA KUBWA mfano SMG, AK47.

bastola huwa ni ndogo sana,
 
Bunduki ni zile kubwa ambazo most of them zina kitako ili uweza ku aim coz force inayotumika kusukuma risasi ni kubwa,vlevle bunduki zinapiga kwenye umbali mkubwa kidogo kulinganisha na bastola.. Bastola ni kiswahil na kiingereza ni pistol... Kwa hyo bastola na pisyol ni kitu kimoja sema ni lugha mbili tofauti..bastola reloading time yake ni ya haraka kuliko bunduki... Coz bastola ni ndogo na bunduki ni kubwa
 
Mimi ninavyoelewa bunduki (guns) ni neno au jina la jumla ambalo uwakilisha silaha yoyote inayotoa risasi kwa kutumia nguvu ya baruti. Kwa hiyo inajumuisha mizinga, silaha ndogo ndogo na kubwa kiasi zinazobebeka mkononi kama bastola (ambayo ndiyo uitwa pistol kwa lugha ya malkia) na pia aina nyingine ya bunduki kubwa kama gobore, shotgun (za kuwindia ndege), rifle (za kuwindia wanyama-manual au Semi Automatic Rifle (S.A.R), SMG, AK-47 n.k.

Kwa hiyo pistol aina zote (mfano Glock, Revolver, Beretta n.k), hizo SMG, AK-47 na nyinginezo na hata mizinga kama ile inayopigwa kwenye mapokezi ya viongozi na sherehe za kitaifa (21-gun salutes) zote ziko kwenye category ya bunduki.

Nilisikiliza hicho kipindi cha jana na walitoa namba yao ya simu kwa ajili ya maswali yanayohusu umiliki halali na matumizi sahihi ya silaha ambayo ni 0755 724 662.
 
Habari wanaJF,

Jana asubuhi kuna maofisa wa polisi walikuwa clouds fm wanaelekeza utaratibu wa kuweza kumiliki silaha kihalali, lkn kwa bahati mbaya nilikuta kipindi kiko mwisho hivyo basi naomba kwa mnaojua mtujuze ni utaratibu upi mtu afuate ili aweze kumiliki silaha kihalali.

Pia naomba tupate tafasiri/tofauti ya haya maneno Bunduki, bastola, pisto.

Pistol ni kiingereza,tafsiri yake ni bastola.
Bunduki ni Kama, rifle, short gun ,AK47 na n. k.
Nimekuelezea kadri ya uelewa wangu.
 
Niweke wazi kwanza kwamba hakuna tofauti kati ya Pistol na Bastola.Pistol ni neno la kiingereza na ndiyo kwa kiswahili inayoitwa Bastola.Kwa upande mwingine Bunduki ni neno la kiswahili linalojumuisha aina zote za zilaha nyepesi ikiwemo pistol au Bastola kwa kiswahili na hata nzito zenye mtutu.
Habari wanaJF,

Jana asubuhi kuna maofisa wa polisi walikuwa clouds fm wanaelekeza utaratibu wa kuweza kumiliki silaha kihalali, lkn kwa bahati mbaya nilikuta kipindi kiko mwisho hivyo basi naomba kwa mnaojua mtujuze ni utaratibu upi mtu afuate ili aweze kumiliki silaha kihalali.

Pia naomba tupate tafasiri/tofauti ya haya maneno Bunduki, bastola, pisto.
 
Wakuu naomba kujua taratibu za kufuata kumiliki silaha kihalali, mahali wanapouza na njia za kufuata.

Kama kuna shortcut za vichochoron za kupata sio mbaya mkiniwekea hapa.
 
Chicago unapa in 1 minute.... Nenda Mzinga watakupa maelekezo yote. Ukitaka harak nenda na m2zako wewe wape info zako watamaliza process wao. Wewe utapigiwa simu ukabebe mkwaju wako.
 
Wakuu naomba kujua taratibu za kufuata kumiliki silaha kihalali, mahali wanapouza na njia za kufuata.

Kama kuna shortcut za vichochoron za kupata sio mbaya mkiniwekea hapa.

Achana na habari ya shortcut, inaweza kukugharimu.
 
Babu nimepita hiyo njia sema aliyenifanyia mimi ametangulia mbele ya baba wa mbinguni. Ukifata watakavyo utamaliza kwa masharti ya leseni utamaliza miaka 5. Sbb inaanzia kwa mjumbe wako huko ngazi za juu baba vikao mara 1kwa miezi 6 saa nyingine hakuna vikao kabisa. Sijuwi labda mwendo wa Magu umebadilisha.
 
Back
Top Bottom