Tundapori
JF-Expert Member
- Aug 12, 2007
- 650
- 276
Mkuu ni fouth generation
Je, unajua CLUTCH ya Glock inapokaa? Jitahidi uijue point yake ndo utaifaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni fouth generation
ntakuja mkuu na ka gobore kangu a.k.a aleksandar kalashnikov 47.....teh teh teh!
Je, unajua CLUTCH ya Glock inapokaa? Jitahidi uijue point yake ndo utaifaidi.
Mi nna glock 19 haina cha misfirre wala nini. Nakushauri uchukue hiyo.
Kinachonikera nikienda range ffu ukonga wananilimit risasi tano tu! Mwenye hela awekeze private range atapata hela
![]()
UZI Submachine Gun
nyie wote wauaji tu. Kwani kibaka ukimuacha akachukua fedha akaenda na maisha yake utakuwa umetumia pesa kuokoa maisha. Hakuna anayekuja nyumbani kwa nia ya kumbaka mkeo acheni kuangalia sana picha za kihindi. Hamuitaji hiyo kitu.
mkuu makupa mie cio jambaz ndugu! Nlikua sehem ya turkana kenya na ni eleo la wafugaji.'kule lazma uwe nayo coz kuna wiz wa mifugo xo ndiko nilikoipatia.....na kuja nayo huku kwe2 shamba la bibi!Mkuu basi wewe ni jambazi hiyo ni bunduki ya vita G19 hapo kaka ni kama unafananisha mlima na kichuguu
Naombeni mwongozo kisheria ni taratibu zipi kuzifwata ili niweze kumiliki silaha(bastola) na ni bei gani kwa sasa
Maduka ya kununua bastola dar yapo kama 2 ninayoyafahamu moja lipo pale mitaa ya stesheni, nyuma ya jengo la TRA, linaitwa Tanganyika Arms. Hili ni private(meaning price pia ni kubwa). Pia unaweza kwenda kununua pale Makao Makuu ya Jeshi Upanga kuna duka la Mzinga(bei fresh sana pale ila nyingi ni za kutoka nchi za kisoviet). Vile vile unaweza kuagiza ulaya kama unataka quality like Colt 45 na ikifika unaiclear halafu inahifadhiwa pale Tanganyika Arms mpaka upate kibali(Ila kuwa makini sana hapo maana inabidi jamaa wakutumie serial number ya bastola, wakiiuza na kuleta ingine kazi utakuwa nayo kwenye kuprocess kibali)
Kupata kibali cha kumiliki ndo kimbembe maana procudure inaanzia kwa mtendaji wa kata ambaye anaitisha kikao cha usalama na wanaclear. Ukitoka hapo unaenda polisi wilayani, for clearance, then wilayani, baada ya hapo ni kwa mkuu wa mkoa ambapo unakuwa endorsed na kikao cha usalama cha mkoa. Kwa Dar nasikia kinafanyika mara chache sana. Ukimaliza hapo ndo unaenda Polisi Mkoa then Makao Makuu ya Polisi(Registry, na figure prints department) na finaly kibali kinatoka kwa DCI.KIbali kikitoka unaenda kuchukua "Ngoma yako".
Kuna watu imewachukua zaidi ya mwaka kwa hii process, lakini wengine inachukua miezi 2, depending on your connection.
Goodluck