Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

mi namiliki deagle kama unataka nikuazime afu utanirudishia.
 
Nenda duka la kununua silaha, lolote iwe Dar es Salaam, Moshi, Arusha, au Morogoro. Uliza Maduka ya Kampuni ya Mzinga (Mzinga Corporation Ltd- hawa ni For service hivyo wao bei zao ni rahisi. Au uliza maduka ya kampuni ya Tanganyika Arms-hawa ni For business, hivyo ni ghali kidogo.

Taratibu za umiliki:
Unachagua inayokufaa- Ningekushauri ununue LUGER CZ 75B,9mm, KUTOKA CHEC REPUBLIC (JAMHURI YA CHEC) hii ni semi-automatic nzuri sana, inachukua hadi rounds 18. Ukishalipia unapewa vitu vinne: 1.risiti ya njano (hizi zinatumika kwa manunuzi au malipo ya serikalini. 2.Unapewa nakala tatu, moja ni copy ya leseni ya muuzaji, na nyingine ni ya majumuisho ya silaha zilizoingizwa nchini, namba zake pamoja na hiyo yako inakuwa humo. Baada ya hapo nenda Polisi upewe fomu ya manunuzi ya umiliki wa silaha, ijaze na uambatanishe na zile copy ulizopewa. Zote kwa ujumla toa nakala nne, halafu peleka kwa mtendaji wa kata au kujiji unachoishi wao watakaa kama kamati kujadili ombi lako.

Wakilipitisha watasaini na kuandika MAPENDEKEZO, halafu utazipeleka kwa OCD, hapo utasubiri kamati ya ulinzi na usalama ya wilayaikuite na ikuhoji (of fcourse mtakuwa wengi na maswali yaulizwayo ni kama matano hivi. Baada ya hapo utasubiri kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wako ikuite kwa usaihli kama vile kule kwa OCD...kumbuka usaili haufanyiki polisi, bali eneo maalum KWA DC NA KWA RC maana wao ndio wenyeviti wa kamati zao.

Baada ya hapo subiri kuitwa...utaitwa kwa kupigiwa simu au kutumiwa ujumbe katika simu yako au vyote viwili.

Baada ya kuitwa utapewa barua ya ombi lako kukubaliwa, na utaenda nayo hadi pale dukani uliponunua silaha yako, utawaonesha wataitoa copy, then watakupatia silaha yako. watakuelekeza pia jinsi ya kutumia na kuweka appointment siku ya kwenda kukusaili kivitendo. Endapo ombi lako litakataliwa katika hatua ya mwisho, utaandikiwa barua n Jeshi la polisi kukufahamisha sababu za ombi lako kukataliwa, utaipeleka katika duka lile uliponunua silaha na kurudishiwa fedha zako(ingawa hili ni nadra sana kutokea hadi kuwe na sababu maalum).

Hapo utakuwa unasubiri leseni ya umiliki wa silaha yako toka makao makuu Dar, itakayokuwa imesainiwa na DCI9 Director of Criminal Investigation)...Endelea kutumia silaha yako............Ziada tu......Nenda katika ofisi za forensic (alama za vidole) na uisajili...Ofisi hizi zipo kila makao makuu ya Polisi mkoa.

Hadi hapa ninaamini utakuwa umenielewa vizuri sana mwanajamii mwenzangu..ila kama utakuwa na swali lolote usisite kunitumia email nikushauri zaidi tumia email hii. thanda.rsa@gmail.com au uliza wana jamii walio karibu na wewe watakusaidia.

Kama kuna anayeuza type hiyo niliyoitaja, naomba awasiliane kwa namba +255 (767) 130 0709 au +255(787) 130 0707 atapokelewa kwa moyo mkunjufu.....taja na bei!!

Karibu!!!
 
Maoni yote ni mazuri, ila inategemeana na sheria ya nchi au jimbo husika... sidhani kama sheria za Atlanta na zile za Detroit ni sawa, zinatofautiana...ndio maana hata South Africa kila jimbo lina gavana wake na serikali za majimbo zina nguvu kubwa ya umma. Kuna mawaziri wa kila idara na wanaripoti kwa waziri mkuu wa jimbo husika. Sheria za umiliki wa silaha kwa kila jimbo pia ni tofauti. Naamini katika uzoefu wangu na elimu kuhusu silaha na matumizi yake ni tata na huvutia na kusababisha kiwango cha uhalifu kuzidi. Egoli (JHB) panatisha kwa uhalifu. Epitoli (Pretoria) napo hapafai.

Vijana wengi SA wana silaha kuliko polisi, wengine huzikodi kwa wahuni ili kuendelea kupata riziki. Baada ya kuvunjwa "Scorpion" hali ndo imekuwa mbaya.

Kwa mahali kama USA, si uporaji tu, bali ni ulipizaji visasi uliojaa chuki. ...haya niliyaona kule Buffalo, NY mwaka 2006.
 
mfano; nikipata semi auto M92 Beretta yenye uwezo wa rounds 12 au 15 inatosha, au kuna 'limit' ya silaha ya aina gani naruhusiwa kuwa nayo? natamani kuagiza nje lakini nahofia nisijebanwa na sheria za uingizaji silaha...

Good reliable gun. Ila stopping power yake sio kubwa, risasi za 9mm zinapenya, stopping power yake sio kubwa sana unless umelenga sehemu nyeti. Silaha ya kujilinda ningeshauri kuwa na bastola inayotumia risasi .45 ACP, k.m. Heckler & Koch USP.

nina pistol CZ ya czech republic, risasi 10, 9mm , silver color, bei nzuri tu. tuwasiliane 0767102102
 
There is unseen power which if you could apply its potentials then no one could ever fire at you even if he will fire, the intention will not materialize.... believe it or not the truth will remain at quo.... the principle is to know how you have to combine chapters in book of Psalms (KJV) and at what time. Even if you could surfer collateral damage it does not equate to what could have to happen to you even if under fire arms defense.Ignore circumstances which are reading to such principles not to be effective and this is especially when you don't follow the instructions which are mandatory for protection to be effective (improper maintenance of Elohim (אֱלֹהִ֔י&#1501😉 guidance or when a certain timeline event (basically in prophesy) has to be fulfilled . Just consider how many have been put to death with there fire arms defense . If you want this combination of verses and its instruction I can give it to you

kwani ni wangapi wamekufa kwa upanga? please cosider this.
 
Kama kuna anayeuza
CZ 75B LUGER, 9MM,
16-18 ROUNDS,
CHEC REPUBLIC
Rangi Iwe Silver au Black,
UZITO ikiwa na Magazine (1.2 KG)

Piga simu namba 0767 130 709 au 0787 130 707....utapokelewa.
 
Loy Mix, usijitafutie matatizo........unaazimisha pistol? Deagle inatengenezwa nchi gani?,........endelea na utani kuhusu silaha,,,,,,unalikumbuka neno hili katika ile form ya maombi ya unyenyekevu? "KWA AJILI ULINZI BINAFSI NA MALI ZANGU"..Sasa leo kwanini kutaka kuazima mtu mwingine? I am:shocked:shocked:shocked:
 
Nenda duka la kununua silaha, lolote iwe Dar es Salaam, Moshi, Arusha, au Morogoro. Uliza Maduka ya Kampuni ya Mzinga (Mzinga Corporation Ltd- hawa ni For service hivyo wao bei zao ni rahisi. Au uliza maduka ya kampuni ya Tanganyika Arms-hawa ni For business, hivyo ni ghali kidogo.

Taratibu za umiliki:
Unachagua inayokufaa- Ningekushauri ununue LUGER CZ 75B,9mm, KUTOKA CHEC REPUBLIC (JAMHURI YA CHEC) hii ni semi-automatic nzuri sana, inachukua hadi rounds 18. Ukishalipia unapewa vitu vinne: 1.risiti ya njano (hizi zinatumika kwa manunuzi au malipo ya serikalini. 2.Unapewa nakala tatu, moja ni copy ya leseni ya muuzaji, na nyingine ni ya majumuisho ya silaha zilizoingizwa nchini, namba zake pamoja na hiyo yako inakuwa humo. Baada ya hapo nenda Polisi upewe fomu ya manunuzi ya umiliki wa silaha, ijaze na uambatanishe na zile copy ulizopewa. Zote kwa ujumla toa nakala nne, halafu peleka kwa mtendaji wa kata au kujiji unachoishi wao watakaa kama kamati kujadili ombi lako.

Wakilipitisha watasaini na kuandika MAPENDEKEZO, halafu utazipeleka kwa OCD, hapo utasubiri kamati ya ulinzi na usalama ya wilayaikuite na ikuhoji (of fcourse mtakuwa wengi na maswali yaulizwayo ni kama matano hivi. Baada ya hapo utasubiri kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wako ikuite kwa usaihli kama vile kule kwa OCD...kumbuka usaili haufanyiki polisi, bali eneo maalum KWA DC NA KWA RC maana wao ndio wenyeviti wa kamati zao.

Baada ya hapo subiri kuitwa...utaitwa kwa kupigiwa simu au kutumiwa ujumbe katika simu yako au vyote viwili.

Baada ya kuitwa utapewa barua ya ombi lako kukubaliwa, na utaenda nayo hadi pale dukani uliponunua silaha yako, utawaonesha wataitoa copy, then watakupatia silaha yako. watakuelekeza pia jinsi ya kutumia na kuweka appointment siku ya kwenda kukusaili kivitendo. Endapo ombi lako litakataliwa katika hatua ya mwisho, utaandikiwa barua n Jeshi la polisi kukufahamisha sababu za ombi lako kukataliwa, utaipeleka katika duka lile uliponunua silaha na kurudishiwa fedha zako(ingawa hili ni nadra sana kutokea hadi kuwe na sababu maalum).

Hapo utakuwa unasubiri leseni ya umiliki wa silaha yako toka makao makuu Dar, itakayokuwa imesainiwa na DCI9 Director of Criminal Investigation)...Endelea kutumia silaha yako............Ziada tu......Nenda katika ofisi za forensic (alama za vidole) na uisajili...Ofisi hizi zipo kila makao makuu ya Polisi mkoa.

Hadi hapa ninaamini utakuwa umenielewa vizuri sana mwanajamii mwenzangu..ila kama utakuwa na swali lolote usisite kunitumia email nikushauri zaidi tumia email hii. thanda.rsa@gmail.com au uliza wana jamii walio karibu na wewe watakusaidia.

Kama kuna anayeuza type hiyo niliyoitaja, naomba awasiliane kwa namba +255 (767) 130 0709 au +255(787) 130 0707 atapokelewa kwa moyo mkunjufu.....taja na bei!!

Karibu!!!

maelezo mazuri sana
 
Daaah...! kweli nitaweza? ninahitaji silaha kwa ajili ya kujilinda coz mtaani kwangu vibaka wananyima usingizi,mara wamevunja vioo vya gari wanaiba radio,mara wamevunjaa mlango wameiba simu na vinginevyo,kinachonikela baada ya kupigwa kisha wakakuacha lazima wakucharange mapanga ila wakijua una MANATI YA MZUNGU hata kusogea hawasogei,nikiwa nayo sitaki kuua mtu nataka kuwatisha hao vibaka tu kwa kupiga juu ili wasije
 
na smell smell mtu anataka kudito watu....kijana angaliaaaa!!!!mie ushauri wangu ingia gym kula nondo la nguvu ukitoka kachukue tizi la karate self defense tosha kabsaaaa tuone ka kuna mtu atakusumbua wala kukugusa!!

Hayo kwa vijana ukifika 50 kuanza kujifunza karate, mmh
 
Mbu umepata bastola yako kimya kimya no feedback

.....hahaha, unataka nitembee nayo kama Action heroes wa miaka ile tunakua, kina Clint Eastwood, Lee Van Cleef, Yuri Byner, Bud Spencer na Terrence Hill?

Hapana bana, ....ni kwa self defence pekee, sio "status" kama vijana wa Bongo movie 😉
 
Last edited by a moderator:
Nimependa sana mada hii, but kwa uzoefu ukiwa na pipe hom ujue pia uko vulvenarable kwa majambazi ambao wao huwa wanatafuta hizo pipes kwa ajili ya kazi zao na inasemekana katika iyo process ya maombi hao wanaokujazia fomu , mtendaji, wilayani en so forth ndo wanawachoma watu kwa kuwapa jamaa kontakt kuwa nyumba flani chombo kipo so jamaa wanakuvamia ili waichukue, wengi hua wanaombea hiyo kitu( bastola) katika maeneo ambayo siyo wanayo ishi ili kujipa secrecy ya kumiliki iyo pipe. so u need to be very carefull muzee, Otherwise mkuu bongo lander naomba habari zaidi kuhusu mshale wa kisasa mi nauhitaji
 
nimetafakari kwa takribani miezi sita moyoni mwangu nimeazimia kumiliki silaha ya moto aina ya bastola, ninachoomba toka kwenu wajuzi nipeni utaratibu wa kuomba kibali na ni wapi maduka yalipo katika miji ya mwanza na Dar es salaam.
Pia nijulisheni na bei zake.
 
Nadhani maoni haya hapa chini yatakufaa!

Nenda duka la kununua silaha, lolote iwe Dar es Salaam, Moshi, Arusha, au Morogoro. Uliza Maduka ya Kampuni ya Mzinga (Mzinga Corporation Ltd- hawa ni For service hivyo wao bei zao ni rahisi. Au uliza maduka ya kampuni ya Tanganyika Arms-hawa ni For business, hivyo ni ghali kidogo.

Taratibu za umiliki:
Unachagua inayokufaa- Ningekushauri ununue LUGER CZ 75B,9mm, KUTOKA CHEC REPUBLIC (JAMHURI YA CHEC) hii ni semi-automatic nzuri sana, inachukua hadi rounds 18. Ukishalipia unapewa vitu vinne: 1.risiti ya njano (hizi zinatumika kwa manunuzi au malipo ya serikalini. 2.Unapewa nakala tatu, moja ni copy ya leseni ya muuzaji, na nyingine ni ya majumuisho ya silaha zilizoingizwa nchini, namba zake pamoja na hiyo yako inakuwa humo. Baada ya hapo nenda Polisi upewe fomu ya manunuzi ya umiliki wa silaha, ijaze na uambatanishe na zile copy ulizopewa. Zote kwa ujumla toa nakala nne, halafu peleka kwa mtendaji wa kata au kujiji unachoishi wao watakaa kama kamati kujadili ombi lako.

Wakilipitisha watasaini na kuandika MAPENDEKEZO, halafu utazipeleka kwa OCD, hapo utasubiri kamati ya ulinzi na usalama ya wilayaikuite na ikuhoji (of fcourse mtakuwa wengi na maswali yaulizwayo ni kama matano hivi. Baada ya hapo utasubiri kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wako ikuite kwa usaihli kama vile kule kwa OCD...kumbuka usaili haufanyiki polisi, bali eneo maalum KWA DC NA KWA RC maana wao ndio wenyeviti wa kamati zao.

Baada ya hapo subiri kuitwa...utaitwa kwa kupigiwa simu au kutumiwa ujumbe katika simu yako au vyote viwili.

Baada ya kuitwa utapewa barua ya ombi lako kukubaliwa, na utaenda nayo hadi pale dukani uliponunua silaha yako, utawaonesha wataitoa copy, then watakupatia silaha yako. watakuelekeza pia jinsi ya kutumia na kuweka appointment siku ya kwenda kukusaili kivitendo. Endapo ombi lako litakataliwa katika hatua ya mwisho, utaandikiwa barua n Jeshi la polisi kukufahamisha sababu za ombi lako kukataliwa, utaipeleka katika duka lile uliponunua silaha na kurudishiwa fedha zako(ingawa hili ni nadra sana kutokea hadi kuwe na sababu maalum).

Hapo utakuwa unasubiri leseni ya umiliki wa silaha yako toka makao makuu Dar, itakayokuwa imesainiwa na DCI9 Director of Criminal Investigation)...Endelea kutumia silaha yako............Ziada tu......Nenda katika ofisi za forensic (alama za vidole) na uisajili...Ofisi hizi zipo kila makao makuu ya Polisi mkoa.

Hadi hapa ninaamini utakuwa umenielewa vizuri sana mwanajamii mwenzangu..ila kama utakuwa na swali lolote usisite kunitumia email nikushauri zaidi tumia email hii. thanda.rsa@gmail.com au uliza wana jamii walio karibu na wewe watakusaidia.

Kama kuna anayeuza type hiyo niliyoitaja, naomba awasiliane kwa namba +255 (767) 130 0709 au +255(787) 130 0707 atapokelewa kwa moyo mkunjufu.....taja na bei!!

Karibu!!!
Kwa maelezo zaidi pitia hapa
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-taratibu-za-kumiliki-bastola-tanzania-3.html
Au https://www.jamiiforums.com/habari-...jia-gani-halali-kumiliki-bunduki-bastola.html
 
wadau
Naomba kwa mwenye ufahamu juu ya vigezo vinavyo tumika ili mtu wa kawaida aweze kumiliki silaha[bunduki] kwa raia wa Tanzania
 
Kutoka Popote duniani kuja na silaha na kuingia nayo kwa halali, hiyo husafirishwa kama parcel ktk ndege na huwez kuja nayo iko kiunoni na hata katika ndege inakua dismantled.

[/B]
Bila vibali kwenye ndege ntasemaji scanning ikionekana?
Nikipewa vbali naweza luileta tz ntaikabidhi. Ila kabla ya vibali n
Amuagizia detail ya hiyo silaha yake. Halafu mwenye hii thread hajaweka wazi aina gani ya silaha na kwa mahitaji gani?
Kuna limit kwa raia aina ya silaha kuwanazo.
 
Nakushauri nunua hapahapa tz huo urasimu ni wa muhimu katka kujiridhisha kwani silaha ni tofauti mkate dukani kwamba unatoa pesa tu!
 
Back
Top Bottom