Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mfano; nikipata semi auto M92 Beretta yenye uwezo wa rounds 12 au 15 inatosha, au kuna 'limit' ya silaha ya aina gani naruhusiwa kuwa nayo? natamani kuagiza nje lakini nahofia nisijebanwa na sheria za uingizaji silaha...
Good reliable gun. Ila stopping power yake sio kubwa, risasi za 9mm zinapenya, stopping power yake sio kubwa sana unless umelenga sehemu nyeti. Silaha ya kujilinda ningeshauri kuwa na bastola inayotumia risasi .45 ACP, k.m. Heckler & Koch USP.
There is unseen power which if you could apply its potentials then no one could ever fire at you even if he will fire, the intention will not materialize.... believe it or not the truth will remain at quo.... the principle is to know how you have to combine chapters in book of Psalms (KJV) and at what time. Even if you could surfer collateral damage it does not equate to what could have to happen to you even if under fire arms defense.Ignore circumstances which are reading to such principles not to be effective and this is especially when you don't follow the instructions which are mandatory for protection to be effective (improper maintenance of Elohim (אֱלֹהִ֔ים😉 guidance or when a certain timeline event (basically in prophesy) has to be fulfilled . Just consider how many have been put to death with there fire arms defense . If you want this combination of verses and its instruction I can give it to you
Nenda duka la kununua silaha, lolote iwe Dar es Salaam, Moshi, Arusha, au Morogoro. Uliza Maduka ya Kampuni ya Mzinga (Mzinga Corporation Ltd- hawa ni For service hivyo wao bei zao ni rahisi. Au uliza maduka ya kampuni ya Tanganyika Arms-hawa ni For business, hivyo ni ghali kidogo.
Taratibu za umiliki:
Unachagua inayokufaa- Ningekushauri ununue LUGER CZ 75B,9mm, KUTOKA CHEC REPUBLIC (JAMHURI YA CHEC) hii ni semi-automatic nzuri sana, inachukua hadi rounds 18. Ukishalipia unapewa vitu vinne: 1.risiti ya njano (hizi zinatumika kwa manunuzi au malipo ya serikalini. 2.Unapewa nakala tatu, moja ni copy ya leseni ya muuzaji, na nyingine ni ya majumuisho ya silaha zilizoingizwa nchini, namba zake pamoja na hiyo yako inakuwa humo. Baada ya hapo nenda Polisi upewe fomu ya manunuzi ya umiliki wa silaha, ijaze na uambatanishe na zile copy ulizopewa. Zote kwa ujumla toa nakala nne, halafu peleka kwa mtendaji wa kata au kujiji unachoishi wao watakaa kama kamati kujadili ombi lako.
Wakilipitisha watasaini na kuandika MAPENDEKEZO, halafu utazipeleka kwa OCD, hapo utasubiri kamati ya ulinzi na usalama ya wilayaikuite na ikuhoji (of fcourse mtakuwa wengi na maswali yaulizwayo ni kama matano hivi. Baada ya hapo utasubiri kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wako ikuite kwa usaihli kama vile kule kwa OCD...kumbuka usaili haufanyiki polisi, bali eneo maalum KWA DC NA KWA RC maana wao ndio wenyeviti wa kamati zao.
Baada ya hapo subiri kuitwa...utaitwa kwa kupigiwa simu au kutumiwa ujumbe katika simu yako au vyote viwili.
Baada ya kuitwa utapewa barua ya ombi lako kukubaliwa, na utaenda nayo hadi pale dukani uliponunua silaha yako, utawaonesha wataitoa copy, then watakupatia silaha yako. watakuelekeza pia jinsi ya kutumia na kuweka appointment siku ya kwenda kukusaili kivitendo. Endapo ombi lako litakataliwa katika hatua ya mwisho, utaandikiwa barua n Jeshi la polisi kukufahamisha sababu za ombi lako kukataliwa, utaipeleka katika duka lile uliponunua silaha na kurudishiwa fedha zako(ingawa hili ni nadra sana kutokea hadi kuwe na sababu maalum).
Hapo utakuwa unasubiri leseni ya umiliki wa silaha yako toka makao makuu Dar, itakayokuwa imesainiwa na DCI9 Director of Criminal Investigation)...Endelea kutumia silaha yako............Ziada tu......Nenda katika ofisi za forensic (alama za vidole) na uisajili...Ofisi hizi zipo kila makao makuu ya Polisi mkoa.
Hadi hapa ninaamini utakuwa umenielewa vizuri sana mwanajamii mwenzangu..ila kama utakuwa na swali lolote usisite kunitumia email nikushauri zaidi tumia email hii. thanda.rsa@gmail.com au uliza wana jamii walio karibu na wewe watakusaidia.
Kama kuna anayeuza type hiyo niliyoitaja, naomba awasiliane kwa namba +255 (767) 130 0709 au +255(787) 130 0707 atapokelewa kwa moyo mkunjufu.....taja na bei!!
Karibu!!!
na smell smell mtu anataka kudito watu....kijana angaliaaaa!!!!mie ushauri wangu ingia gym kula nondo la nguvu ukitoka kachukue tizi la karate self defense tosha kabsaaaa tuone ka kuna mtu atakusumbua wala kukugusa!!
Mbu umepata bastola yako kimya kimya no feedback
Kwa maelezo zaidi pitia hapaNenda duka la kununua silaha, lolote iwe Dar es Salaam, Moshi, Arusha, au Morogoro. Uliza Maduka ya Kampuni ya Mzinga (Mzinga Corporation Ltd- hawa ni For service hivyo wao bei zao ni rahisi. Au uliza maduka ya kampuni ya Tanganyika Arms-hawa ni For business, hivyo ni ghali kidogo.
Taratibu za umiliki:
Unachagua inayokufaa- Ningekushauri ununue LUGER CZ 75B,9mm, KUTOKA CHEC REPUBLIC (JAMHURI YA CHEC) hii ni semi-automatic nzuri sana, inachukua hadi rounds 18. Ukishalipia unapewa vitu vinne: 1.risiti ya njano (hizi zinatumika kwa manunuzi au malipo ya serikalini. 2.Unapewa nakala tatu, moja ni copy ya leseni ya muuzaji, na nyingine ni ya majumuisho ya silaha zilizoingizwa nchini, namba zake pamoja na hiyo yako inakuwa humo. Baada ya hapo nenda Polisi upewe fomu ya manunuzi ya umiliki wa silaha, ijaze na uambatanishe na zile copy ulizopewa. Zote kwa ujumla toa nakala nne, halafu peleka kwa mtendaji wa kata au kujiji unachoishi wao watakaa kama kamati kujadili ombi lako.
Wakilipitisha watasaini na kuandika MAPENDEKEZO, halafu utazipeleka kwa OCD, hapo utasubiri kamati ya ulinzi na usalama ya wilayaikuite na ikuhoji (of fcourse mtakuwa wengi na maswali yaulizwayo ni kama matano hivi. Baada ya hapo utasubiri kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wako ikuite kwa usaihli kama vile kule kwa OCD...kumbuka usaili haufanyiki polisi, bali eneo maalum KWA DC NA KWA RC maana wao ndio wenyeviti wa kamati zao.
Baada ya hapo subiri kuitwa...utaitwa kwa kupigiwa simu au kutumiwa ujumbe katika simu yako au vyote viwili.
Baada ya kuitwa utapewa barua ya ombi lako kukubaliwa, na utaenda nayo hadi pale dukani uliponunua silaha yako, utawaonesha wataitoa copy, then watakupatia silaha yako. watakuelekeza pia jinsi ya kutumia na kuweka appointment siku ya kwenda kukusaili kivitendo. Endapo ombi lako litakataliwa katika hatua ya mwisho, utaandikiwa barua n Jeshi la polisi kukufahamisha sababu za ombi lako kukataliwa, utaipeleka katika duka lile uliponunua silaha na kurudishiwa fedha zako(ingawa hili ni nadra sana kutokea hadi kuwe na sababu maalum).
Hapo utakuwa unasubiri leseni ya umiliki wa silaha yako toka makao makuu Dar, itakayokuwa imesainiwa na DCI9 Director of Criminal Investigation)...Endelea kutumia silaha yako............Ziada tu......Nenda katika ofisi za forensic (alama za vidole) na uisajili...Ofisi hizi zipo kila makao makuu ya Polisi mkoa.
Hadi hapa ninaamini utakuwa umenielewa vizuri sana mwanajamii mwenzangu..ila kama utakuwa na swali lolote usisite kunitumia email nikushauri zaidi tumia email hii. thanda.rsa@gmail.com au uliza wana jamii walio karibu na wewe watakusaidia.
Kama kuna anayeuza type hiyo niliyoitaja, naomba awasiliane kwa namba +255 (767) 130 0709 au +255(787) 130 0707 atapokelewa kwa moyo mkunjufu.....taja na bei!!
Karibu!!!
Nadhani maoni haya hapa chini yatakufaa!
Kwa maelezo zaidi pitia hapa
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-taratibu-za-kumiliki-bastola-tanzania-3.html
Au https://www.jamiiforums.com/habari-...jia-gani-halali-kumiliki-bunduki-bastola.html
Bila vibali kwenye ndege ntasemaji scanning ikionekana?
Nikipewa vbali naweza luileta tz ntaikabidhi. Ila kabla ya vibali n
Amuagizia detail ya hiyo silaha yake. Halafu mwenye hii thread hajaweka wazi aina gani ya silaha na kwa mahitaji gani?
Kuna limit kwa raia aina ya silaha kuwanazo.