Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Nahitaji kumiliki bastola kihali, kipato changu kwa siku hakizidi tsh 10,000/= kwa siku. Wadau mnisaidie je naweza kuimiliki? Nifuate utaratibu gani?[/QUOTE Unauzoefu wa kumiliki silaha yeyote maana nyie chagga boys hamuachi kujilipua pindi mkiachwa na mademu wenu. Ni bora uanze na manati au kisu kile kilichopo kwenye kata kucha. Kwaushauri zaidi nenda Tanganyika Arms pale karibu na Benki ya Exim Moshi. Kuna silaha nyingi sana

hahaha' mm nataka kitu portable sitak magobole aise' tena nasikiaga kuna silencer yaani ukishoot haitoi mlio'
 
hizo process zote zinaanza kabla hajanunua au akiishanunua ndo anaomba kibali? Hebu mfafanulie kaka.

Watu wote wasiokuwa wafanyakazi wa vyombo vya ulinzi na usalama ambao unawaona wanamiliki silaha kihalali ina maana walipitia process zote hizi kabla ya kupewa umiliki...
 
unatisha' umeamua kukichomoa kabisa ukakipiga picha' nataka kama hiki hiki.....'

Fuata tu taratibu mkuu...kwa sababu ya ulinzi binafsi hii kitu ni muhimu sana maana binadamu hatuaminiani tena,zamani mtu alihitaji rungu tu kwa ajili ya kujilinda na wanyama waharibifu wa mazao ila sasa imekuwa tofauti...inabidi kujihami zaidi na binadamu wenzio kulko wanyama wa mwituni
 
Ndugu yangu, lakini haya masharti si ndo yalikuwa hivi siku zote? Yamekazwa wapi katika hizo stages? Ila sikujua kwamba mwisho wa siku RPC ndio anapitisha maombi. RPC ni mtu mkubwa mno kupitia maombi ya sijui Horseshoe anaomba bastola, hivi hawana kazi za maana hawa watu jamani?

Na tunaposema wakiona unahitaji ndio watakupa kwa nini isiwe kwenye sheria ya wazi ni wakati gani unaonekana unahitaji? Nasikia mpaka uwe na kipato / mfanyabiashara mkubwa. Hivi jambazi akikuingilia Boko Bunju huko kama walivyomfanya Dr. Mvungi jambazi anakuwa amefanya research ya salary slip yako?

Halafu utaratibu wa kumiliki bunduki kwa nchi za wenzetu hauwezi kubadilika badilika ovyo kwa sababu eti visa vya kimapenzi vimezidi. Visa vyenyewe vitatu, na hakuna aliyefanya research kujua vimezidi by how much and why. Wanawake wanafyekwa mapanga na wame zao ma heathen upcountry huko kiiiiila siku, mbona wasiminye kumiliki mapanga? Wamekufa watoto shuleni jimbo la Connecticut USA nchi ikalia weee halafu wakabadili sheria. Hapa kwetu Kamanda Kova ana uwezo wa kuamua the gun law of the month. I am very frustrated na gun law ya Tanzania, vitu vyooote hapa kwetu havi make sense, why?

Mzee Kova ni askari wa aina yake...ana maamuzi yake ambayo hata katuni ya bwana Kingo inaweza kumcheka kwa kutafuta suluhu ya mbaali kwa matatizo yaliyotakiwa suluhu ya papo kwa papo...

Juzi juzi aliweka strictly hawa wamasai and likely wanaouza sime/mapanga mitaani kwa kusema hizi ni moja ya silaha za jadi...eventually yes ila ina maana haya hawakuwa wanayaona kabla ya hapo? Sishangai kesho akipiga tena bhan hizi dawa 'sa ngufu sa kiume' kwa kigezo kuwa watu wanauana kwa kuwa chanzo ni matumizi ya mitishamba inayochochea homon kwa kiwango kikubwa...
 
Kwani imekuwa panga kila mtu anaweza nunua?
 
Yaani kipato cha elfu 10 tu unataka kujilinda kwa bastola, mkuu masihara hayo, mimi nadhani MANATI ingekutosha kwa sasa.
 
Ndugu yangu, lakini haya masharti si ndo yalikuwa hivi siku zote? Yamekazwa wapi katika hizo stages? Ila sikujua kwamba mwisho wa siku RPC ndio anapitisha maombi. RPC ni mtu mkubwa mno kupitia maombi ya sijui Horseshoe anaomba bastola, hivi hawana kazi za maana hawa watu

Na tunaposema wakiona unahitaji ndio watakupa kwa nini isiwe kwenye sheria ya wazi ni wakati gani unaonekana unahitaji? Nasikia mpaka uwe na kipato / mfanyabiashara mkubwa. Hivi jambazi akikuingilia Boko Bunju huko kama walivyomfanya Dr. Mvungi jambazi anakuwa amefanya research ya salary slip yako?

Halafu utaratibu wa kumiliki bunduki kwa nchi za wenzetu hauwezi kubadilika badilika ovyo kwa sababu eti visa vya kimapenzi vimezidi. Visa vyenyewe vitatu, na hakuna aliyefanya research kujua vimezidi by how much and why. Wanawake wanafyekwa mapanga na wame zao ma heathen upcountry huko kiiiiila siku, mbona wasiminye kumiliki mapanga? Wamekufa watoto shuleni jimbo la Connecticut USA nchi ikalia weee halafu wakabadili sheria. Hapa kwetu Kamanda Kova ana uwezo wa kuamua the gun law of the month. I am very frustrated na gun law ya Tanzania, vitu vyooote hapa kwetu havi make sense, why?

Hapo RPC ni mtu au ofisi????!!
Ukiulizwa role ya "DCI" katika huu mchakato uutakuwa na opinion gani??!!!!

Hebu fuatilia vizuri mkuu
 
Kwahiyo mkuu; unataka ikifika mwaka mpya uitumie hiyo bastola yako kumstaarabisha huyo mwanajeshi??!!

Nahitaji kumiliki bastola kihali, kipato changu kwa siku hakizidi tsh 10,000/= kwa siku. Wadau mnisaidie je naweza kuimiliki? Nifuate utaratibu gani?
Kuna mwanajeshi pale mtaani kwetu siyo mstaarabu, kwa miaka mingi sasa, kila mwaka mpya anapiga risasi hewani, analeta hofu kwa raia ambao wanaogopa risasi'
 
Naendelea kufuatilia kama kuna RPC atakayeniambia niende kwake moja kwa moja animilikishe maana hizo process naona haziendi bila rushwa na kipato changu ni kidogo kuhonga stage zote'
 
mkuu bastola kama upo dar haifai kwani utawauwa sana madereva wa daladala kutokana na kuchomekewa bora uwe mpole tu ununue gobole uliweke homu..
 
mkuu bastola kama upo dar haifai kwani utawauwa sana madereva wa daladala kutokana na kuchomekewa bora uwe mpole tu ununue gobole uliweke homu..

nipo arusha mkuu, huku hakuna wanaojilipua kwa bastola'
 
Kanunue kwanza mzinga au tanganyika arms andaa kabisa 2.5 hadi 3 mil! Utaiacha hapo uanze mchakato wa kutafuta kibali kama miezi 6 hivi unaweza kuwa nacho mkononi ! Kuna process hivi karefu na urasimu kidogo! Usisahau utumwa kutembea nacho kila siku kila saa huruhusiwi kuacha home kamwe !
 
Ukiwa na majibu sahihi utamiliki pistol peke yake halafu utahitaji tena licence ya kumiliki risasi hapo iko kazi kidogo
 
Back
Top Bottom