Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Yaani kipato cha elfu 10 tu unataka kujilinda kwa bastola, mkuu masihara hayo, mimi nadhani MANATI ingekutosha kwa sasa.

suala la ulinzi co hadi uwe na kipato kikubwa' ingefaa kila mwananchi apewe bordgurd kama baadhi ya viongoz wetu sawa. Ila kwakuwa haiwezekani, na wezi wanaweza kunivamia hata usiku pasipo kujua nina hela au sina na hapo hata ukiita police hawawezi kuja, bora kuwa na cha moto wakishtua na wewe unashtua mkuu'
 
Kumiliki bastola iwe haki ya kila mtu siyo ya wenye vipato vikubwa. Kwanza wenye vipato vya chini ndiyo wana hofu zaidi ya maisha yao. Unafikiri kama unakaa sehemu za washua unaweza kusikia mtu anapiga risasi hewani? Kusema bastola wamiliki wenye hela tuu ni ubaguzi ambao umepitwa na wakati.
 
kumiliki bastola iwe haki ya kila mtu siyo ya wenye vipato vikubwa. Kwanza wenye vipato vya chini ndiyo wana hofu zaidi ya maisha yao. Unafikiri kama unakaa sehemu za washua unaweza kusikia mtu anapiga risasi hewani? Kusema bastola wamiliki wenye hela tuu ni ubaguzi ambao umepitwa na wakati.

exactly!
 
Juzi juzi aliweka strictly hawa wamasai and likely wanaouza sime/mapanga mitaani kwa kusema hizi ni moja ya silaha za jadi...eventually yes ila ina maana haya hawakuwa wanayaona kabla ya hapo? Sishangai kesho akipiga tena bhan hizi dawa 'sa ngufu sa kiume' kwa kigezo kuwa watu wanauana kwa kuwa chanzo ni matumizi ya mitishamba inayochochea homon kwa kiwango kikubwa...
Hahahhahaaha.... yani sikujua kuna mtu mwingine duniani anawaza hivyo hivyo kama mimi, eeeh, unaposema kuanzia leo ni marufuku kuuza majambia, wait a minute, jana kabla ya tamko lako la leo, sheria ya majambia ilikuwa inasemaje?? Na kama kulikuwa hakuna sheria wewe umepata wapi mamlaka ya kutunga sheria mpya ya kuuza majambia?

Kuhusu "dawa sa ngufu sa kiume" ni kweli kabisa kuna siku mtu ata rape mwanamke halafu atasema nilikunywa dawa za wamasai halafu RPC fulani atazipiga marufuku, we ngoja... nchi yetu ni kituko sana, hawa wazee hawaelewi maana ya "Utawala wa Sheria."

Hapo RPC ni mtu au ofisi????!!
Ukiulizwa role ya "DCI" katika huu mchakato uutakuwa na opinion gani??!!!!

Hebu fuatilia vizuri mkuu
We unajua ofisi ya RPC ina watu wangapi ambao wanaweza ku sign off kibali cha kitu kwa niaba ya RPC??? Wanatosheleza kuprocess maombi yote nchi nzima au ndo kuunda urasimu tu ili kutengeneza mazingira ya rushwa? RPC and his signers hawana ulazima wa kuwa kwenye huu mchakato, kufuatilia ombi la kuwa na silaha nchi za watu hii ni kazi ya mid level detective mmoja tu per application.

Eti maombi yapitie kwa mwenyekiti wa kijiji sijui wa kata, mimi natokea Manzese Darajani, Mwenyekiti wa mtaa hapa hajui background ya binadamu yeyote hapa maeneo jinsi palivyo na nyomi la kila aina, Mwenyekiti wa Mtaa au Kamanda Kova apitie maombi ya silaha atasaidia nini? Kazi ya detectives hii.
 
Njoo Detroit.. I'll hook you up, sisi tuna vibali tena vya kubeba concealed weapons... process haichukui siku tatu...

Concealed carry (CCW) (carrying a concealed weapon), is the practice of carrying a handgun or other weapon in public in a concealed manner, either on one's person or in close proximity. Not all weapons that fall under CCW controls are lethal. For example, in Florida, carrying pepper spray in more than a specified volume (2 oz.) of chemical requires a CCW permit, whereas anyone may legally carry a smaller, so-called, “self-defense chemical spray” device hidden on their person without a CCW permit.

Concealed-Weapon.jpeg
9757722-large.jpg
121213093750_concealed_weapon_gun_ap.JPG
concealed-carry.jpg
concealed_weapon_permit_miami.jpg
 
kupata kibali kwa kweli ni issue. hata kama unapesa bado sio rahisi ki hivyo. kwa wale wenye connection ni rahisi.
 
zanzibar hawaruhusiwi kumiliki silaha. Club za kujilinda ziko wapi nahitaji mafunzo na kufanya mazoezi kwani nakaribia kumiliki silaha hasa kwa dar es salaam si unajua tena wafanya biashara lolote linaweza kutokea popote.

Ukiwa unamiliki bastola lazima ujue kuitumia vizuri, isije ikakudhuru mwenyewe kwa kujipiga risasi, au kuingia katika hali ya kuhatarisha maisha yako. Unapomiliki silaha, hasa ya kujilinda inabidi ujue sheria vizuri, na ni yepi yatakayokusibu ukiwa umejeruhi/kuua mtu. Hivyo ni vizuri kuifahamu silaha yako vizuri, kwenda range mara kwa mara, na ikiwezekena kujiunga na club za kufanya mazoezi ya kujilinda. Huko utafundishwa namna ya kufanya pindi utakapojikuta katika hali ambayo itabidi uchomoe bastola yako.
naomba kujua club za mazoezi ya silaha ziliko tafadhali nahitaji
 
Habari
wakuu ninaomba mwenye kujua namna ambayo nitaweza nunua chombo hicho kwa uhalali. Ni kwa ajili ya ulinzi wa mali na self defence tafadhali shauri ipasavyo
 
Nimefurahia wote waliochangia,naomba nijuzwe sheria ya mtu kujilinda mwenyewe kwa kutumia silaha za moto kwa tanzania inasomekaje.mfano wajanja walikuja kwenye duka langu la mpesa na mapanga wakachukua mzigo tena nilikopa bank wakaondoka nao..

Je sheria inasemaje kama nina bastola,naruhusiwa kumpiga wapi?

je inakuwaje katika kujihami nikamjeruhi mtu mwingne labda mpita njia.

Je sheria inasemaje nikiamua kumkimbiza mhalifu sehemuyenye watu wengi kama mtaa wa kongo.

Nauliza haya mana nimeibiwa mara mbili ila marafiki zangu ambao wako kwenye vyombo vya usalama wananikataza nisimiliki bastola
 
mfano; nikipata semi auto M92 Beretta yenye uwezo wa rounds 12 au 15 inatosha, au kuna 'limit' ya silaha ya aina gani naruhusiwa kuwa nayo? natamani kuagiza nje lakini nahofia nisijebanwa na sheria za uingizaji silaha...

Good reliable gun. Ila stopping power yake sio kubwa, risasi za 9mm zinapenya, stopping power yake sio kubwa sana unless umelenga sehemu nyeti. Silaha ya kujilinda ningeshauri kuwa na bastola inayotumia risasi .45 ACP, k.m. Heckler & Koch USP.

seems like ur talking from the internet, wapi hapa bongo utapata koch gun? je price yake ataiweza! my friend nenda pale tanganyika arm nunua revolver yako ya kawaida tu nzuri au kuna chinese type pia si mbaya kwa kama laki 5 ivi then unaenda polisi na copy ya risit watakupa utaratibu wa kufanya after that ukikamilisha unarudhisha pale tanganyika arm unapewa silaha yako simple!!!!
 
Ukiona urasimu bongo mkubwa kama ilivyo jadi,sema nikupe bastola ya kijadi.Haina usajili,leseni haina wala hakuna atakayejua kama unayo.Bastola hiyo ni kwa ajili ya kuzuia wezi tu si kuua wala kwenda kuibia.

Ni kimti fulani unaweka home kwako basi,wezi wakija nyumba hawaioni basi,kama una mshiko mkubwa,basi unanusa kijiti chako,vibaka/wezi hawakuoni.Hizo za kisasa balaa.

Wenyewe pia huko wanakuwa wamepitia kwa Babu xao Mpaka wanapokuja huko
 
Kuna jambo nimefanyiwa limeniuma sana.nijuzeni bei ya bastola,iwe mpya au used.MUHIMU SANA HII
 
Back
Top Bottom