Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
kumbe hadi risasi!
Ndio hata risasi inahitaji license tukikubaliwa kununua tu itakuwa kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe hadi risasi!
lazima uwe na kipato
sasa kama kipato hakipo.hiyo silaha inalinda nini?kama milioni kumi hivi mkuu nitaruhusiwa kumiliki?
Yaani kipato cha elfu 10 tu unataka kujilinda kwa bastola, mkuu masihara hayo, mimi nadhani MANATI ingekutosha kwa sasa.
Well said, ili afatie panga, thn gobole ndiposa bastola itamfaa... Pia akimiliki bastola hatutakawia kusikia kamuufoosaro mtu!!!
kumiliki bastola iwe haki ya kila mtu siyo ya wenye vipato vikubwa. Kwanza wenye vipato vya chini ndiyo wana hofu zaidi ya maisha yao. Unafikiri kama unakaa sehemu za washua unaweza kusikia mtu anapiga risasi hewani? Kusema bastola wamiliki wenye hela tuu ni ubaguzi ambao umepitwa na wakati.
Hahahhahaaha.... yani sikujua kuna mtu mwingine duniani anawaza hivyo hivyo kama mimi, eeeh, unaposema kuanzia leo ni marufuku kuuza majambia, wait a minute, jana kabla ya tamko lako la leo, sheria ya majambia ilikuwa inasemaje?? Na kama kulikuwa hakuna sheria wewe umepata wapi mamlaka ya kutunga sheria mpya ya kuuza majambia?Juzi juzi aliweka strictly hawa wamasai and likely wanaouza sime/mapanga mitaani kwa kusema hizi ni moja ya silaha za jadi...eventually yes ila ina maana haya hawakuwa wanayaona kabla ya hapo? Sishangai kesho akipiga tena bhan hizi dawa 'sa ngufu sa kiume' kwa kigezo kuwa watu wanauana kwa kuwa chanzo ni matumizi ya mitishamba inayochochea homon kwa kiwango kikubwa...
We unajua ofisi ya RPC ina watu wangapi ambao wanaweza ku sign off kibali cha kitu kwa niaba ya RPC??? Wanatosheleza kuprocess maombi yote nchi nzima au ndo kuunda urasimu tu ili kutengeneza mazingira ya rushwa? RPC and his signers hawana ulazima wa kuwa kwenye huu mchakato, kufuatilia ombi la kuwa na silaha nchi za watu hii ni kazi ya mid level detective mmoja tu per application.Hapo RPC ni mtu au ofisi????!!
Ukiulizwa role ya "DCI" katika huu mchakato uutakuwa na opinion gani??!!!!
Hebu fuatilia vizuri mkuu
Njoo Detroit.. I'll hook you up, sisi tuna vibali tena vya kubeba concealed weapons... process haichukui siku tatu...
naomba kujua club za mazoezi ya silaha ziliko tafadhali nahitajizanzibar hawaruhusiwi kumiliki silaha. Club za kujilinda ziko wapi nahitaji mafunzo na kufanya mazoezi kwani nakaribia kumiliki silaha hasa kwa dar es salaam si unajua tena wafanya biashara lolote linaweza kutokea popote.
Ukiwa unamiliki bastola lazima ujue kuitumia vizuri, isije ikakudhuru mwenyewe kwa kujipiga risasi, au kuingia katika hali ya kuhatarisha maisha yako. Unapomiliki silaha, hasa ya kujilinda inabidi ujue sheria vizuri, na ni yepi yatakayokusibu ukiwa umejeruhi/kuua mtu. Hivyo ni vizuri kuifahamu silaha yako vizuri, kwenda range mara kwa mara, na ikiwezekena kujiunga na club za kufanya mazoezi ya kujilinda. Huko utafundishwa namna ya kufanya pindi utakapojikuta katika hali ambayo itabidi uchomoe bastola yako.
mfano; nikipata semi auto M92 Beretta yenye uwezo wa rounds 12 au 15 inatosha, au kuna 'limit' ya silaha ya aina gani naruhusiwa kuwa nayo? natamani kuagiza nje lakini nahofia nisijebanwa na sheria za uingizaji silaha...
Good reliable gun. Ila stopping power yake sio kubwa, risasi za 9mm zinapenya, stopping power yake sio kubwa sana unless umelenga sehemu nyeti. Silaha ya kujilinda ningeshauri kuwa na bastola inayotumia risasi .45 ACP, k.m. Heckler & Koch USP.
Ukiona urasimu bongo mkubwa kama ilivyo jadi,sema nikupe bastola ya kijadi.Haina usajili,leseni haina wala hakuna atakayejua kama unayo.Bastola hiyo ni kwa ajili ya kuzuia wezi tu si kuua wala kwenda kuibia.
Ni kimti fulani unaweka home kwako basi,wezi wakija nyumba hawaioni basi,kama una mshiko mkubwa,basi unanusa kijiti chako,vibaka/wezi hawakuoni.Hizo za kisasa balaa.