Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Style yako ya Narration kitaalamu inaitwa Flashback. Watu wengi hawajaielewa vizuri lkn ukifuatilia kwa makini na kama ni msomaji mzuri wa hizi stories na flow zake huwezi kushangaa

Binafsi nimeilewa vizuri sana story inavyoenda na tuko pamoja. Baadhi ya vitu vilivyonivutia ni jinsi ambavyo Bwana Oleg aliweza kutumikia mashirika mawili ya kijasusi makubwa kwa wakati mmoja yaani KGB na at the same time M16. Napata picha kwanini sasa ilikua ni lazima USSR ianguke rasmi miaka ile maana kuwa na majasusi wakubwa aina ya bwana Oleg na kisha wanatoboa kama si kuvujisha siri zako nyeti kwenda kwa hasimu wako mkuu ni hatari sana.

Ok tunasubiri muendelezo wa kisa hiki mkuu Tobby
 
Akimaliza chai na supu ya paya anakuja.....
 
Mwamba alitafutwa Sana Mpaka akapewa Kazi ya Kujitafuta Mwenyewe..! Ila ndo Hivyo ndege Mjanja....
 
Back
Top Bottom