KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Yaani wewe ulitaka jambo liwe rahisi tu kwa KGB (Rassia)ili hali anayetafutwa ni (KGB + M16 + M15)Oleg?.Ndugu zangu ni kwamba hapa tunababwaja tu lakini ukweli ni kwamba hawa KGB walionyesha udhaifu uliopindukia mipaka ama kwa lugha nyepesi udhaifu kiwango cha laMi[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unaweza kuwauliza covid wakupe muongozoNatamani kuwa double agent ccm na chadema
Kama Haji Manara vile..double agent simba na yangaNatamani kuwa double agent ccm na chadema
19? Nawataman sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unaweza kuwauliza covid wakupe muongozo
Kummaliza afisa kama huyo bila kujiridhisha usaliti wake kikamilifu ikiwemo kujua kama kuna taarifa nyingine muhimu alizokuwa anajiandaa kuvujisha sio afya kwa taasisi.Wangemumaliza tu kuchelewesha chelewesha akawaachia manyoya sasa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kama Haji Manara vile..double agent simba na yanga
Sasa wangekuwa smart matokeo yake ni kufa Kwa USSR na end of cold warKummaliza afisa kama huyo bila kujiridhisha usaliti wake kikamilifu ikiwemo kujua kama kuna taarifa nyingine muhimu alizokuwa anajiandaa kuvujisha sio afya kwa taasisi.
Duh...Kama Haji Manara vile..double agent simba na yanga
Wengi wanafikiria hili jambo ni rahisi hasa Kwa mtu aliyeaminiwa ni very difficultYaani wewe ulitaka jambo liwe rahisi tu kwa KGB (Rassia)ili hali anayetafutwa ni (KGB + M16 + M15)Oleg?.
Je,umefikiriaje juu ya uwezo wa Oleg katika level mafunzo alifikia ukimlinganisha na level za mafunzo za hao wanao mfuatia?.
Mkuu!Hivi mtu unaye muamini na umempa matumaini ya kuwa msaada kwako,tena katika mambo nyeti ya siri,uanafikiri akikusaliti ni rahisi kumudu ili hali anakujua ndani nje?.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Na Mimi naunga mkono hoja hiiNakuandalia 25000 kama tuzo ,tumechoka stori za mapenzi , kuachwa ,kufumaniwa ,nk mkuu fanya hiyohiyo KAZI ,tutakuandalia utaratibu
Mwanaume aina hii ni hovyo sana na mpuuzi.Ngoja tuone na hio inayofata ataicopy sipendi watu design yake wanapenda mtelezo tu
Ilikuwa lazima Ulaya magharibi au SOVIET mmoja lazima aanguke...Sasa wangekuwa smart matokeo yake ni kufa Kwa USSR na end of cold war
Tupo Pamoja Mkuu.[emoji120]Kutokana na watu kupenda heavy duty topics kama hizi za kiintelijensia,nadhani hii ikikamilika tutashusha nyingine HEAVY [emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji108]. Matumaini yangu tutafurahia na kujifunza
Ni kweli si rahisi but it was possible.... Haya mambo hata wenyewe huwa wanajua kwamba huwa yanatokea so usitegemee kwamba huwa hawajiandai kukabiliana nayo. Sema tu huwa ni siri ya nchi lakini hata ungewauliza leo hii ilikwaje Oleg akawatoroka I guess wangejipiga kifua na kusema "we were stupid on this"Yaani wewe ulitaka jambo liwe rahisi tu kwa KGB (Rassia)ili hali anayetafutwa ni (KGB + M16 + M15)Oleg?.
Je,umefikiriaje juu ya uwezo wa Oleg katika level mafunzo alifikia ukimlinganisha na level za mafunzo za hao wanao mfuatia?.
Mkuu!Hivi mtu unaye muamini na umempa matumaini ya kuwa msaada kwako,tena katika mambo nyeti ya siri,uanafikiri akikusaliti ni rahisi kumudu ili hali anakujua ndani nje?.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kabisaaaa. The bold. Hii ungemuuzia yeye angekupa hela ili atupige hela pia huko what'supizi ndio mambo za Habib Hanga(The bold).
Ila ujasusi wa Sasa umejikita kiuchumi zaidi naona aiseeIlikuwa lazima Ulaya magharibi au SOVIET mmoja lazima aanguke...
Lakini ujasusi mpaka leo unaendelea.
Tena siku hizi kwa hali ya juu, tofauti ni kuisha kwa vita baridi..
Sijui kwa nini JF wameanza kuifanya Jf iwe ya watu wachache wajanja wa app zote badala ya kuifanya ya watu wote. Toka nijiunge jf miaka takribani 8 sikuwahi kuichukia,ila trip hii wamenifanya niwaone tofauti kwa kufanya picha zifunguke kwa baadhi tu.Haka ka uzi nataka niambatanishako na tupicha twa baadhi ya matukio lakini changmoto hii app ya jf ila hazifunguki