Uchaguzi 2020 Tarehe 28/10/2020: Siku ya kuweka Historia kuu Tanzania

2015 nilimpigia ukawa na nilikuwa mwanachama wa chadema mwaminifu...ila nilikuja kukata tamaa baada ya kuona viongozi wetu ni njaa kali na wabinafsi wapenda vyeo!
Uliza wenyeviti wa ccm mikoa ya tanzania bara watakueleza ukweli uliopo ndani ya ccm.hali sio shwari wanajisemea wenyewe.
 
2015 nilimpigia ukawa na nilikuwa mwanachama wa chadema mwaminifu...ila nilikuja kukata tamaa baada ya kuona viongozi wetu ni njaa kali na wabinafsi wapenda vyeo!
Hatuhitaji kura yako
 
Hawakuwa na sera nzuri kama walivyoboresha mwaka huu na watu wakati ule walikuwa na maisha mazuri siyo kama sasa maisha duni hofu na watu kupotezwa
 
2015 nilimpigia ukawa na nilikuwa mwanachama wa chadema mwaminifu...ila nilikuja kukata tamaa baada ya kuona viongozi wetu ni njaa kali na wabinafsi wapenda vyeo!
Umetumia ubunifu mkali sana kuepuka kusema ulinunuliwa kama ng'ombe mnadani
 
20 September 2020
Kawe, Dar es Salaam
Tanzania

Mh.! Gwajima abananishwa maswali magumu na mzee huyu kijiweni, baada ya kumuomba kura

20 September 2020
Arusha, Tanzania

Mdahalo live / Mubashara
SERA ZA CHADEMA NA SERA ZA CCM / 2020 MAKADA WA CHADEMA NA CCM WATABIRI USHINDI WA LEMA NA GAMBO KUPITIA 'HOJA KWA HOJA"

source : Muungwana TV
 
Tarehe 28/10/2020 ni siku Watanzania watavuka bahari ya shamu na kurudi Kanaan. Nchi ya Uhuru, Haki, na Maendeleo ya watu.
 
Amina kwa kweli. Mungu atufanyie wepesi
 
Naam tunakwenda kumchinja jiwe na miamba yake yote, na kokoto zake zote pamoja na changa wake wote
 
Amina Amina. Hamasisha ndugu, jamaa na rafiki kwenda kuweka historia hii kuu mwaka huu. Lazima Jiwe atoke kwa mustakabali wa Tanzania yetu na vizazi vijavyo
 
Mkuu hapa mtaani nimekua wakala mzuri sana mpaka majirani wananipenda maana mtaa mzima nimeubadilisha na wote watampa kura shujaa wetu Lissu

Mademu nao hawapo nyuma, wananibabaikia kweli wakiniona utasikia Malume tupe updates za Lissu
 
Hatimaye tumebakisha siku moja na masaa kadhaa.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Tundu Antiphas Lissu. Mjaalie awe Raisi wetu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2025
 
Mkuu hapa mtaani nimekua wakala mzuri sana mpaka majirani wananipenda maana mtaa mzima nimeubadilisha na wote watampa kura shujaa wetu Lissu

Mademu nao hawapo nyuma, wananibabaikia kweli wakiniona utasikia Malume tupe updates za Lissu
Safi sana ndugu. Ongeza sana kazi ya ushawishi maana tuna siku moja na masaa kadhaa. Asilale mtu wala asirudi nyuma mtu. Tuhamasishane tukapige kura na kulinda kura zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…