Uchaguzi 2020 Tarehe 28/10/2020: Siku ya kuweka Historia kuu Tanzania

Naomba ukumbuke pia Chato ni sehemu ya Tanzania, hivyo inayohaki ya kujengwa na kuendelezwa kama sehemu zingine! Usisahau kuna utalii mkubwa wa Burigi, jirani na Geita, ni eneo la kimkakati kukuza uchumi.
Hata kama ni sehemu ya Tanzania hapapaswi kupelekewa miradi kiupendeleo na bila kufuata taratibu
 
Sina uhakika kama ni upendeleo, je taratibu zipi hazikufuatwa?!
Tenda ya ujenzi wa ule uwanja ilifanywaje??? Kampuni pia iliyojenga huo uwanja ilishindaje iyo tender??? Fedha za kujenga ule uwanja zilitengwa katika bajeti ipi ya serikali???
 
Tenda ya ujenzi wa ule uwanja ilifanywaje??? Fedha za kujenga ule uwanja zilitengwa katika bajeti ipi ya serikali???
Sijui sana kwa sababu si sehemu ya jukumu langu. Lakini ninadhani direct procurement ni sehemu ya mannuzi, pia Waziri wa Fedha anao uwezo wa kufanya reallocation kupitia Vote 21 nadhani kwa vyovyote itakuwa imefanyika.
 
Ndo ifanye hivyo kwa uwanja wa ndege wa kijijini kwa Raisi??? Kuna ulazima gani wa kufanya hivyo tena kuipa tender kampuni ya mume mwenza wa Raisi??
 
Mapema sana naenda kumuondoa mkoloni
Safi sana . Tukapige kura kwa nguvu kesho kumsimika mpakwa mafuta wa Mungu Tundu Antiphas Lissu kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025
 
Ndo ifanye hivyo kwa uwanja wa ndege wa kijijini kwa Raisi??? Kuna ulazima gani wa kufanya hivyo tena kuipa tender kampuni ya mume mwenza wa Raisi??
Iwe unajua shule zilianzia bukoba ,yashoma tukiambiwa lazima tuchanganye naza kwetu! Chato siyo kijiji ni makao makuu ya wilaya, achana na uzushi. Mimi sijui kama aliyepewa ni mume mwenzake, lakini pia hata kama ndivyo nadhani kapewa kwa sifa zake siyo kwa kuwa mume mwenza, ninwazi anao waume wenza wengi,kwa nini yeye. Mayanga Contractors ni kampuni daraja la kwanza ina deserve! Tusiamini kila tunachoambiwa na kina Tundulisu lazima kuchambua kama karanga, wahulila!
 
Unasema chato ni makao wakuu ya wilaya, Bukombe ni Makao Makuu ya nini?? Biharamulo ni Makao Makuu ya nini???

Hiyo Mayanga Construction unajua kuna barabara wamepewa kigoma hawajamaliza kuijenga kwa miaka zaidi ya 8???? Ina ubora gani wa kupewa kujenga uwanja Chato???
 
Pole macho yako hayaoni jema lolote la JPM! Toa tano tukamilishe Tanzania ya viwanda!
 
Class one contractor! Kila mradi ni unique sijui hiyo ya Kigoma ina shida gani! Hata Hai ni makao makuu ya Wilaya tunacho kiwanja cha ndege cha KIA mbona siyo isssue,tusiwe na double standard!
 
Pole macho yako hayaoni jema lolote la JPM! Toa tano tukamilishe Tanzania ya viwanda!
Viwanda gani ???? Hivi vya chereani 10?????

Kwa maendeleo ya kweli ya watanzania, uhuru wa kweli na haki kweli, lazima tumchague Tundu Antiphas Lissu kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania hapo kesho.
 
Class one contractor! Kila mradi ni unique sijui hiyo ya Kigoma ina shida gani! Hata Hai ni makao makuu ya Wilaya tunacho kiwanja cha ndege cha KIA mbona siyo isssue,tusiwe na double standard!
Double standard ipi??? Kuna uniqueness ipi kwenye ile barabara hadi watumie miaka karibu 10 na haijakamilika hadi leo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…