hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Sindio š¤£Basi iwekwe na sheria ya kila mtu asiye na uwezo wa kumtunza mtoto mpaka afanikiwe asizae
Sindio š¤£Basi iwekwe na sheria ya kila mtu asiye na uwezo wa kumtunza mtoto mpaka afanikiwe asizae
Sio lazima ni hiyari ya mtuVijana mnapojenga mijengo yenu hakikisheni kuna vyumba vya wazazi wenu kuja kumalizia maisha yao hapo mlipo watakapokuwa wazee wasiweza kukimbizana na mishemishe za maisha
Walikua wapi kujipanga ujanani mafakaHii sheria ni nzuri, watoto nao watunze wazazi kama wao walivyotunzwa wakiwa wadogo. Utakuta kuna wazee wanageuka ombaomba huku wakiwa na watoto wala bata hawajali wazazi wao. Umri unapokuwa mkubwa mzee hawezi tena kukimbiakimbia kufanya mishe za kupata mkate, huo ni umri wa kupumzika na kula shushu za watoto
Inamaana mzee akujenga pa kwenda kumalizia maisha. Mpaka mie mafakaVijana mnapojenga mijengo yenu hakikisheni kuna vyumba vya wazazi wenu kuja kumalizia maisha yao hapo mlipo watakapokuwa wazee wasiweza kukimbizana na mishemishe za maisha
Fainali uzeeniKuna mtu alimtuma huyo mzazi kuzaa ,? Mzazi alipaswa ajipange uzeeni ataishi vip
Waweke tu hizo sheria za kila mzazi mmoja asiye na kazi ahudumiwe na watoto saba wasio na kazi.Huu ujumbe una wenyewe, ujinga mwingi ulianza hivi baadae ukawa sheria.
Unakumbuka "mafao wa spouses"? Ilianza hivi hivi, leo hii ni sheria
Maisha hayamaliziki kwa uzee.Fainali uzeeni
Kama ndio ivyo maanake asilimia zaidi ya 90 washazeeka.Maisha hayamaliziki kwa uzee.
Fainali ya mtu si umri wake, bali ni pale anapoacha kufikiri, kujifunza, na kuwa na maana.
IndeedKama ndio ivyo maanake asilimia zaidi ya 90 washazeeka.
Waweke tu hizo sheria za kila mzazi mmoja asiye na kazi ahudumiwe na watoto saba wasio na kazi.
Na hao watoto saba wasio na kazi, kila mmoja azae watoto saba wasio na kazi.
Hili kimsingi ni tatizo la uchumi ambalo haliwezi kumalizwa na sheria.
Uingereza, Sweden, Norway, Finland hakuna sheria za mtoto kumhudumia mzazi, lakini wazee wanaishi vizuri.
Kwa nini?
Kazi zipo, watu wanafanya kazi. Wakifanya kazi wanakatwa kodi na mafao. Wakiwa wazee wanaishi kwa pensheni zao na social security plans.
Sasa huko Tanzania nchi haina ajira, haina mifumo mizuri ya social net, hao watoto wenyewe unaotaka kuwalazimisha walee wazazi wao hawana uwezo hata wa kuhudumia watoto wao. Hawana uchumi wa kujihudumia wenyewe.
Unawezaje kulazimisha watu wasio na uwezo wahudunie wazazi wao?
Mtu akishindwa kumhudumia mzazi wake, kwa sababu hana kazi hata ya kujihudumia yeye mwenyewe, utamfanya nini?
Utamfunga?
Huu ujinga wanautoa wapi? Hizo nchi nyingi zenye sheria hizi anazozisema ni zipi?
Ndiyo wanataka kutifanya kama China?
Is this a priority? Nini hasa sababu ya pendekezo hilo? To what extent wazazi wa tz wana shida na jambo hilo??Mbunge wa Kinondoni (CCM), Tarimba Abbas amesema Serikali haioni haja ya kuweka sharti la kisheria la watoto wakubwa kuwatunza wazazi wao wasiojiweza.
Akizungumza Bungeni Leo Jumatano Januari 28,2025 Tarimba amesema katika mataifa mengine kuna sheria za lazima kwa watoto kuwalea wazazi wao lakini Tanzania ina sheria ya lazima kwa wazazi kuwalea watoto, hivyo akaomba ipelekwe haraka bungeni sheria hiyo ili iwalazimishe watoto kuwatunza wazazi wao. Huku akipendekeza pia Serikali ikajifunze hilo kwenye mataifa yanayotumia sheria hiyo namna inavyofanya kazi.
Zaidi: Mbunge Ndakidemi ataka kutungwe sheria ya kuwalazimisha watoto kuwatunza wazazi wao wakiwa wazee
Hii ni mara nyingine tena, hoja hiyo kuibuka bungeni, kwani katika Bunge la 12, hoja kama hiyo iliibuliwa na aliyekuwa Mbunge wa Kahama Mjini (CCM), Jumanne Kishimba ambaye alitaka itungwe sheria kwa ajili ya kuwabana watoto wawatunze wazazi wao.
Natural can't reach in that stage, that's tought it self.Is this level of stupidity taught or natural?
Mzazi anayezaa watoto kwa kigezo cha kuja kusaidiwa na hao watoto ni mzazi mpumbavu.
Vipi kama watoto wote wakafa kabla yako?Hii sheria ni nzuri, watoto nao watunze wazazi kama wao walivyotunzwa wakiwa wadogo. Utakuta kuna wazee wanageuka ombaomba huku wakiwa na watoto wala bata hawajali wazazi wao. Umri unapokuwa mkubwa mzee hawezi tena kukimbiakimbia kufanya mishe za kupata mkate, huo ni umri wa kupumzika na kula shushu za watoto
Kwanini ule za watoto za kwako zipo wapi?acheni kutengeneza chain ya umasikini wa kujitakiaHii sheria ni nzuri, watoto nao watunze wazazi kama wao walivyotunzwa wakiwa wadogo. Utakuta kuna wazee wanageuka ombaomba huku wakiwa na watoto wala bata hawajali wazazi wao. Umri unapokuwa mkubwa mzee hawezi tena kukimbiakimbia kufanya mishe za kupata mkate, huo ni umri wa kupumzika na kula shushu za watoto
Ulitumwa kumwagia ndani?Mnaokataa na nyie mtazeeka
Toto umelihangaikia linakutelekeza kwenda kula bata na malaya