Tarimba Abbas ataka sheria ya lazima watoto kutunza wazazi wao

Tarimba Abbas ataka sheria ya lazima watoto kutunza wazazi wao

Itungwe Sheria ya wazazi kuwaachia watoto wao urithi wa mali.
 
Hii sheria ni nzuri, watoto nao watunze wazazi kama wao walivyotunzwa wakiwa wadogo. Utakuta kuna wazee wanageuka ombaomba huku wakiwa na watoto wala bata hawajali wazazi wao. Umri unapokuwa mkubwa mzee hawezi tena kukimbiakimbia kufanya mishe za kupata mkate, huo ni umri wa kupumzika na kula shushu za watoto
True
 
Inabidi ipitishwe na sheria kali , kama hauna uwezo wa kumjengea mtoto mazingira mazuri ya kufanikiwa ni marufuku kuzaa.
Ndivyo ilivyo ila nyege hazijawahi kushindwa tangu dunia iundwe daily nyege inachukua ubingwa,
 
Hayo ni maamuzi ya wazazi na Sheria ipo inahusu masuala ya Mirathi, haujui?
Sheria iliyopo ni ya jinsi ya kugawa urithi sio ya kulazimisha wazazi wawaachie wototo urithi.
 
Sheria iliyopo ni ya jinsi ya kugawa urithi sio ya kulazimisha wazazi wawaachie wototo urithi.
Ndio hio inawalazimisha hivyo ukisoma upande wa Waislam utaelewa vizuri ni lazima na sio hiari yaan ule mgawanyo ni lazima uende vile, huyu atapata hivi na huyu atapata hivi n so on ni sheria
 
Kwa Tanzania hii tunaihitaji sana
 
Ulilazimishwa umzae !?

Kwani yeye alikuomba umzae !?

Hizi Akili za kiafrica za kijinga sana
Kwakua siyo busara kutoa taarifa za mgonjwa nataka kusema kwamba naunga mkono hiyo kua sheria.

Japan inafanya kazi kwanini isiwe Tz? Once ikipita na nikaadmit mtu gerezani nitakupa taarifa ya nini kilitokea hadi mbuzi mmoja nikapambania awe wa mfano
 
Sheria itakuwa Hadi znz? Maana kule wazee wanatunzwa kisheria?
 
Sheria iliyopo ni ya jinsi ya kugawa urithi sio ya kulazimisha wazazi wawaachie wototo urithi.
Sasa ndo wasilazimishe pia kutunga Sheria, mtoto lazima ahudumie wazazi wake uzeeni, km huyo mtoto na yeye alitelekezwa udogoni, akalelewa na "ulimwengu" unadhani atakuwa na moyo huo ukubwani akiwa kajipata??
Yaleyale ya Diamond na baba ake
 
Back
Top Bottom