Anieleze nini wakati mimi ndicho nilichosema hicho?Mweleze Kiranga
Kuna watu wengi wana kasumba ya kukimbilia kwenye sheria, kila tatizo wanakimbilia kwenye sheria.Mpumbavu tu huyu ni wa kumpuuza.
Tatizo una mawazo finyu. Tatizo mnafikiria kutunza Mzazi ni kumgharamia Mzazi kifedha. Hapo ndipo mnakosea.Wewe unaeleza dunia ya Waafrika ilivyo, ilivyo leo.
Mimi nakuonesha tatizo la dunia ya Waafrika ilivyo leo.
Kwa nini huelewi kuwa kuzaa ili kutegemea watoto wakutunze wakikua ni ulofa?
Katka dunia hii ya leo ambayo kuna mambo mengi sana, unategemea vipi mtoto akutunze uzeeni wakati mtoto naye anakuwa na maisha yake, anahama, ana matatizo yake, na yeye nafikiria maisha yake ya uzeeni yatakuwaje.
Huoni kuw ahii ni model moja ya kijimajima, kishambashamba, haifanyi kazi katika dunia ya leo?
Nakubaliana nawe kwa 100% mkuu.Hili ni tatizo la kiuchumi.
Hakuna haki bila wajibu. Sheria ni muhimu kwani itaondoa utapeli ambapo MZAZI Ame invest kwa mtoto, mtoto akikua anakutapeliAnieleze nini wakti mimi ndicho nilichosema hicho?
Unajua kusoma kwa ufahamu?
Mimi nakwambia hili si jambo la kuhitaji sheria, tena mkiliwekea sheria mnaliharibu, hata wanaotunza wazazi kwa hiyari itakuwa kama wanatekeleza sheria tu.
Huelewi wapi?
Huko kote nishafikiria.Tatizo una mawazo finyu. Tatizo mnafikiria kutunza Mzazi ni kumgharamia Mzazi kifedha. Hapo ndipo mnakosea.
Exactly.Nakubaliana nawe kwa 100% mkuu.
Hapo kwenye bold ndipo alitakiwa kuanza napo badala ya kukurupuka na hiyo hoja.Wape fursa ya kufanya kazi uone kwanza.
Kweli kabisa...Mimi mwanangu bilionea lakini anijalia kabisa baba yake kisa nna vijibanda uchwara vya Kodi na wake wanneMbunge wa Kinondoni (CCM), Tarimba Abbas amesema Serikali haioni haja ya kuweka sharti la kisheria la watoto wakubwa kuwatunza wazazi wao wasiojiweza.
Akizungumza Bungeni Leo Jumatano Januari 28,2025 Tarimba amesema katika mataifa mengine kuna sheria za lazima kwa watoto kuwalea wazazi wao lakini Tanzania ina sheria ya lazima kwa wazazi kuwalea watoto, hivyo akaomba ipelekwe haraka bungeni sheria hiyo ili iwalazimishe watoto kuwatunza wazazi wao. Huku akipendekeza pia Serikali ikajifunze hilo kwenye mataifa yanayotumia sheria hiyo namna inavyofanya kazi.
Zaidi: Mbunge Ndakidemi ataka kutungwe sheria ya kuwalazimisha watoto kuwatunza wazazi wao wakiwa wazee
Hii ni mara nyingine tena, hoja hiyo kuibuka bungeni, kwani katika Bunge la 12, hoja kama hiyo iliibuliwa na aliyekuwa Mbunge wa Kahama Mjini (CCM), Jumanne Kishimba ambaye alitaka itungwe sheria kwa ajili ya kuwabana watoto wawatunze wazazi wao.
Mzazi ana wajibu wa kumhudumia mtoto, kwa sababu mzazi ndiye aliyeamua kumzaa mtoto.Hakuna haki bila wajibu. Sheria ni muhimu kwani itaondoa utapeli ambapo MZAZI Ame invest kwa mtoto, mtoto akikua anakutapeli
Sasa umekuwaje na wake wanne bila ya kujipanga kujitegemea kwenye maisha ya uzeeni?Kweli kabisa...Mimi mwanangu bilionea lakini anijalia kabisa baba yake kisa nna vijibanda uchwara vya Kodi na wake wanne
Hawa ni mama zake lazima atoe huduma! Mimi mbona nimemlea tangu mchanga,na magodoro yangu kibao kaozesha maana alikuwa kikojozi mashuhuri utotoni.Sasa umekuwaje na wake wanne bila ya kujipanga kujitegemea kwenye maisha ya uzeeni?
Kwani alikuomba umzae?Hawa ni mama zake lazima atoe huduma! Mimi mbona nimemlea tangu mchanga,na magodoro yangu kibao kaozesha maana alikuwa kikojozi mashuhuri utotoni.
au ndio wewe?Kwani alikuomba umzae?
Nitajie nchi Tano zenye sheria hiyo kama hazipo ni kwanini?Hii sheria ni nzuri, watoto nao watunze wazazi kama wao walivyotunzwa wakiwa wadogo. Utakuta kuna wazee wanageuka ombaomba huku wakiwa na watoto wala bata hawajali wazazi wao. Umri unapokuwa mkubwa mzee hawezi tena kukimbiakimbia kufanya mishe za kupata mkate, huo ni umri wa kupumzika na kula shushu za watoto
Unaona maruweruwe wewe.au ndio wewe?
Huyo mtoto akifa kabla yako, huko uzeeni utalelewa na nani?Nia yangu ni kukuonesha kuwa kuzaa na kulea watoto ni kuweka akiba ya uzeeni. Hakikisha mtoto unamlea na kumpata elimu bora, malezi bora, mwandalie Mazingira ya kujiajiri baadaye ili mwisho wa yote akutunze.
Una mawazo ya kimaskini wewe. Halafu nadhani katika maisha yako, hujawahi kujiajiri bali kuajiriwa.Huyo mtoto akifa kabla yako, huko uzeeni utalelewa na nani?
Watoto nao wanazaa na kutunza watoto wao.Hii sheria ni nzuri, kuna namna watoto wanajisahau kuwatunza wazazi wao na kujali mambo yao binafsi zaidi