Kwa hiyo mkapa alisaini kitu asichokijua? Sheria hiyo imetakataza usalama wa Taifa wasikamate sasa basi kumbe mkapa nae alikuwa mbumbumbu?Nimesema CPA inampa raia yoyote uwezo wa kumkamata mhalifu yoyote anayefanya kosa mbele yake na kumfikisha kwa Polisi ambaye ata mkamata upya ndivyo sheria inavyosema sasa huyo Zitto anasema umbumbumbu tu. Sheria inayohusiana na ukamataji ni CPA kwa makosa ya Jinai na wala si sheria ya Usalama wa Taifa.
Yaani leo wa upande wako( pengine fan wako) yamemkuta ndio unatupigia magoti tuungane tuache uvyama pembeni?? Mbona mnapokula keki ya taifa na kutuumiza wapinzani hiyo busara inakuwaga wapi?
Hahahahahahahahahaha, bila kufanya hivyo Wakurya wangefungua Bucha kubwa. Ila na jamaa wenyewe waoga balaa.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ukiwawahi wanaji introduce Nina wasi wasi na mafunzo yao mbona wepesi sana au ndo vijana wale waHuni wahuni wa uvccm
Mende akiangusha kabati fundi hana budi kurudi vetaHahahahahahahahahaha, bila kufanya hivyo Wakurya wangefungua Bucha kubwa. Ila na jamaa wenyewe waoga balaa.
Unampinga RC Malima siyo?hao watakuwa ni polisi tu...usalama wa taifa huwezi kuwa na mbinu hizo za kizaman
Hii ndiyo raha ya JAMII FORUMS jamani....Hiyo nayo ioneniView attachment 800180
Haya majamaa ya kuteuliwa huwa .yanajisahau yakikalia kiti .Yanakuwa na kiburi sana ,sasa ngoja yapigwe chini ndio yanatafuta huruma ya watanzania wasahaulifu.Hivi hakumbuki alivyodhalilishwa na baadaye kugawiwa u-RC? Ngoja, mpaka atokwe damu masikioni.
Wanasiasa wa matukio ndio wengi Tanzania.Huenda hata huyu Heche nae anakula keki ya Taifa sio mpinzani hii busara inakuwaga wapi?
usalama sio law enforcement agencyNimesema CPA inampa raia yoyote uwezo wa kumkamata mhalifu yoyote anayefanya kosa mbele yake na kumfikisha kwa Polisi ambaye ata mkamata upya ndivyo sheria inavyosema sasa huyo Zitto anasema umbumbumbu tu. Sheria inayohusiana na ukamataji ni CPA kwa makosa ya Jinai na wala si sheria ya Usalama wa Taifa.
Na ukiwawahi wanajulikana hapohapo….fasta wanatoan vitambulishoDawa ya wasio julikana ni kuwawahi