Jikite kwenye hoja. Wewe jiulize anapiga kampeni Kama Nani? He huko anakozunguka anaendelea kutoa maagizo na kufanya kazi za kiutendaji wa serikali? Sina upande wowote kwenye hili najaribu kufafanua hoja kuu.Ni wakati gani anakuwa PM na wakati gani anakuwa mjumbe wa kamati kuu ?
Bashiru ally kiziboTutajie mwana ccm yeyote anayejua kingereza kuanzia mwenyekiti hadi bashite.
Hapo uliposema he is no longer a PM panaonyesha katiba ya nchi huijui vizuriCCM na Magufuli yake Hawajui Wana deal na mtu ambaye yuko above their level....!!!
Kassim Majaliwa alikuwa Mbunge kwene Bunge lilopita na aliteuliwa kuwa PM. Baada ya Bunge la JMT kuvunjwa Majaliwa is NO LONGER A Prime Minister.
CCM, Tume na Msajili wanalijua hili ndo maana mara nyingi kwenye mikutano yake wanamwita MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM na siyo kama Waziri Mkuu....lakini ukimskili bado anatoa maelekezo kama PM.... hapo ndipo anapokiuka sheria ya Uchaguzi.... !!!
Sheria iko kimya kuhusu Hilo. Vilevile Haijanikataza mm Kama mwananchi kuzunguka nchi nzima kumuombea mgombea urais kura.Sheria haiduhusu mtu yeyote nje ya msafara wa Mgombea Urais na mwenza wake kuzinguka kufanya kampeni nje ya eneo lake.
Majaliwa anaruhusiwa kuwa kwenye msafara wa mgombea Urais na si vinginevyo.
Nothing less nothing more[emoji111]
Uhuru na Haki, mgombea wa Urais wa CHADEMA anaohubiri, aache utafsiriwe kwa vitendo la akanushe lawama kwamba kwa miaka 5 upinzani ulinyimwa haki hiyo?CCM na Magufuli yake Hawajui Wana deal na mtu ambaye yuko above their level....!!!
Kassim Majaliwa alikuwa Mbunge kwene Bunge lilopita na aliteuliwa kuwa PM. Baada ya Bunge la JMT kuvunjwa Majaliwa is NO LONGER A Prime Minister.
CCM, Tume na Msajili wanalijua hili ndo maana mara nyingi kwenye mikutano yake wanamwita MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM na siyo kama Waziri Mkuu....lakini ukimskili bado anatoa maelekezo kama PM.... hapo ndipo anapokiuka sheria ya Uchaguzi.... !!!
wekeni hivyo vifungu vya maadiliJe, Wanasheria mliopo hapa JF hili jambo limekaaje ?
Kwa walivyo wabishi na kujifanya wanajua, lazima atakubishia wakati kakosea au hajui lugha ya mama, wee subiri majibu yakeHakuna kiingereza cha "Lissu The Greatest", ni "Lissu The Great", ukiandika Lissu The Greatest lazima umalizie na sifa yake yoyote. Mfano ungeandika: "Lissu The Greatest Politician". Au "Lissu The Greatest Lawyer"
Kila siku mnakandia watu hawajui kiingereza kumbe na nyie Grammar ni ZERO.
Mjumbe wa kamati kuu ya ccm...jikite kwenye mada , Majaliwa anazunguka nchi nzima kama nani ?
Ndugu kubali tu lugha ya mama kidogo imekupita pembeni ,unajitutumua tu lakini ukweli ndio huo na kukiri kuwa hujui sio kosa kwani Kiingereza wanaokijua kindakindaki ni wachache na tunajifunza kwa makosa, naamini kwa asilimia mia moja hutaandika tena kama ulivyoandika, kama hujui kitu ukubali kukosolewa au kufundishwa , hii ni lugha na sio siasa ambayo unageuza maneno kumridhisha Mbowe, unaambiwa umekosea wewe unarukia kwa mwingine, kama hujui,hujui tu na kama unajua unajua tu.Sitafuta andiko hilo , ninajua kuliko " people used to die in the lake "
Nyani haoni kendezake, mbowe si ni kub ana hadhi ya waziri mkuu kivuli
Mkuu yule ni mwenyekiti wa chama piaNyani haoni kendezake, mbowe si ni kub ana hadhi ya waziri mkuu kivuli
Kwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?
Akili za kinyumbu tu.
Hivi unasema wewe si yeye.Kwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?
Akili za kinyumbu tu.
Akishinda asipotangazwa utaingia barabarani kudai ushindi wake, au utampa support, yeye kama mwanasheria nguri kudai haki yake The Hague?Alisema kama akishinda na asipotangazwa
Baada ya bunge kuvunjwa automatic uwaziri mkuu hufa hata mawaziri hupaswa kuwaachia wizara makatibu wakuu, lakini chini ya utawala huu wa kidikteta bado waziri mkuu yupo kazini na mawaziri wapo kazini pia, hakuna kufuata Sheria katiba ya Tanzania wanajifanyia mambo kienyejiMgombea Urais kupitia Chadema Mh Tundu Lissu amemuonya Kasimu Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi..
Bunge likivunjwa na baraza la mawaziri huvunjwa hapo hapo lakini kwenye utawala huu wa kienyeji wameendelea kuwepo kazini kwa njia haramu za kishetani kinyume cha Sheria na katibanyie mamluki jikiteni kwenye hoja ya Raia kumpiga marufuku Waziri Mkuu
Majaliwa anazunguka kama waziri mkuu hazunguki kama Raia wa kawaida bado anatumia magari ya SerikaliKwenye hili sidhani kama Lissu yuko sahihi.
Godbless Lema alikuwepo kwenye uzinduzi wa kampeni za Lissu Dar na alimpigia kampeni wakati ni mgombea Arusha..
Bado anajiona ni waziri mkuu hajui kuwa uwaziri mkuu ulikoma siku bunge lilipovunjwaCCM na Magufuli yake Hawajui Wana deal na mtu ambaye yuko above their level....!!!
Kassim Majaliwa alikuwa Mbunge kwene Bunge lilopita na aliteuliwa kuwa PM. Baada ya Bunge la JMT kuvunjwa Majaliwa is NO LONGER A Prime Minister.
CCM, Tume na Msajili wanalijua hili ndo maana mara nyingi kwenye mikutano yake wanamwita MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM na siyo kama Waziri Mkuu....lakini ukimskili bado anatoa maelekezo kama PM.... hapo ndipo anapokiuka sheria ya Uchaguzi.... !!!