Uchaguzi 2020 Tarime: Tundu Lissu ampiga marufuku Kassim Majaliwa kufanya kampeni, Yadaiwa anavunja maadili ya uchaguzi

Uchaguzi 2020 Tarime: Tundu Lissu ampiga marufuku Kassim Majaliwa kufanya kampeni, Yadaiwa anavunja maadili ya uchaguzi

CCM na Magufuli yake Hawajui Wana deal na mtu ambaye yuko above their level....!!!
Kassim Majaliwa alikuwa Mbunge kwene Bunge lilopita na aliteuliwa kuwa PM. Baada ya Bunge la JMT kuvunjwa Majaliwa is NO LONGER A Prime Minister.
CCM, Tume na Msajili wanalijua hili ndo maana mara nyingi kwenye mikutano yake wanamwita MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM na siyo kama Waziri Mkuu....lakini ukimskili bado anatoa maelekezo kama PM.... hapo ndipo anapokiuka sheria ya Uchaguzi.... !!!
Hapo uliposema he is no longer a PM panaonyesha katiba ya nchi huijui vizuri
 
Sheria haiduhusu mtu yeyote nje ya msafara wa Mgombea Urais na mwenza wake kuzinguka kufanya kampeni nje ya eneo lake.

Majaliwa anaruhusiwa kuwa kwenye msafara wa mgombea Urais na si vinginevyo.

Nothing less nothing more[emoji111]
Sheria iko kimya kuhusu Hilo. Vilevile Haijanikataza mm Kama mwananchi kuzunguka nchi nzima kumuombea mgombea urais kura.
 
CCM na Magufuli yake Hawajui Wana deal na mtu ambaye yuko above their level....!!!
Kassim Majaliwa alikuwa Mbunge kwene Bunge lilopita na aliteuliwa kuwa PM. Baada ya Bunge la JMT kuvunjwa Majaliwa is NO LONGER A Prime Minister.
CCM, Tume na Msajili wanalijua hili ndo maana mara nyingi kwenye mikutano yake wanamwita MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM na siyo kama Waziri Mkuu....lakini ukimskili bado anatoa maelekezo kama PM.... hapo ndipo anapokiuka sheria ya Uchaguzi.... !!!
Uhuru na Haki, mgombea wa Urais wa CHADEMA anaohubiri, aache utafsiriwe kwa vitendo la akanushe lawama kwamba kwa miaka 5 upinzani ulinyimwa haki hiyo?

Mtu akiwa mwongo awe na kumbukumbu nzuri.
 
Hakuna kiingereza cha "Lissu The Greatest", ni "Lissu The Great", ukiandika Lissu The Greatest lazima umalizie na sifa yake yoyote. Mfano ungeandika: "Lissu The Greatest Politician". Au "Lissu The Greatest Lawyer"
Kila siku mnakandia watu hawajui kiingereza kumbe na nyie Grammar ni ZERO.
Kwa walivyo wabishi na kujifanya wanajua, lazima atakubishia wakati kakosea au hajui lugha ya mama, wee subiri majibu yake
 
Kwamba zitto naenasipige kampeni nje ya dodoma wala mbowe nje ya hai?? Sijaelewa
 
Sitafuta andiko hilo , ninajua kuliko " people used to die in the lake "
Ndugu kubali tu lugha ya mama kidogo imekupita pembeni ,unajitutumua tu lakini ukweli ndio huo na kukiri kuwa hujui sio kosa kwani Kiingereza wanaokijua kindakindaki ni wachache na tunajifunza kwa makosa, naamini kwa asilimia mia moja hutaandika tena kama ulivyoandika, kama hujui kitu ukubali kukosolewa au kufundishwa , hii ni lugha na sio siasa ambayo unageuza maneno kumridhisha Mbowe, unaambiwa umekosea wewe unarukia kwa mwingine, kama hujui,hujui tu na kama unajua unajua tu.
 
Kwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?

Akili za kinyumbu tu.

Alisema kama akishinda na asipotangazwa
 
Kwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?

Akili za kinyumbu tu.
Hivi unasema wewe si yeye.
 
Alisema kama akishinda na asipotangazwa
Akishinda asipotangazwa utaingia barabarani kudai ushindi wake, au utampa support, yeye kama mwanasheria nguri kudai haki yake The Hague?
 
Mgombea Urais kupitia Chadema Mh Tundu Lissu amemuonya Kasimu Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi..
Baada ya bunge kuvunjwa automatic uwaziri mkuu hufa hata mawaziri hupaswa kuwaachia wizara makatibu wakuu, lakini chini ya utawala huu wa kidikteta bado waziri mkuu yupo kazini na mawaziri wapo kazini pia, hakuna kufuata Sheria katiba ya Tanzania wanajifanyia mambo kienyeji
 
Kwenye hili sidhani kama Lissu yuko sahihi.

Godbless Lema alikuwepo kwenye uzinduzi wa kampeni za Lissu Dar na alimpigia kampeni wakati ni mgombea Arusha.

Lakini, Kassim Majaliwa bado ni mtanzania, kwa mujibu wa katiba ya nchi ana haki ya kwenda mahali popote nchini.

Na kwa mujibu wa katiba ya nchi Kassim Majaliwa ana haki ya kufanya kazi ya kisiasa aliyotumwa na chama chake kwa sababu chama chake ni chama halali kilichosajiliwa nchini.

Kazi ya kuomba kura ni kazi ya wanachama wote, siyo wagombea peke yao!. It is not about individuals, it is about the party

Miaka michache iliyopita Chadema walikuwa wakilalamika kuzuiwa kufanya siasa nchi nzima, yaani mbunge wa Jimbo X kushiriki siasa za Jimbo Y, Leo Lissu anakubaliana na katazo lilelile la Magufuli ambalo walilipinga kipindi kile?

Labda Lissu anukuu vifungu vya sheria tujionee otherwise hoja yake hii naona haina mashiko
 
CCM na Magufuli yake Hawajui Wana deal na mtu ambaye yuko above their level....!!!
Kassim Majaliwa alikuwa Mbunge kwene Bunge lilopita na aliteuliwa kuwa PM. Baada ya Bunge la JMT kuvunjwa Majaliwa is NO LONGER A Prime Minister.
CCM, Tume na Msajili wanalijua hili ndo maana mara nyingi kwenye mikutano yake wanamwita MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM na siyo kama Waziri Mkuu....lakini ukimskili bado anatoa maelekezo kama PM.... hapo ndipo anapokiuka sheria ya Uchaguzi.... !!!
Bado anajiona ni waziri mkuu hajui kuwa uwaziri mkuu ulikoma siku bunge lilipovunjwa
 
Back
Top Bottom