OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Jibu hoja siyo matusi. Majaliwa anapiga kampeni za urais kama nani?Kwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?
Akili za kinyumbu tu.
Sheria iko kimya kuhusu Hilo. Vilevile Haijanikataza mm Kama mwananchi kuzunguka nchi nzima kumuombea mgombea urais kura.
Baada ya bunge kuvunjwa automatic uwaziri mkuu hufa hata mawaziri hupaswa kuwaachia wizara makatibu wakuu, lakini chini ya utawala huu wa kidikteta bado waziri mkuu yupo kazini na mawaziri wapo kazini pia, hakuna kufuata Sheria katiba ya Tanzania wanajifanyia mambo kienyeji
Otherwise Kama anatumia mwamvuli wa uwaziri mkuu. Ila Kama anatumia mwamvuli wa kada na mjumbe wa kamati kuu ya ccm Sheria Wala maadili ya tume hayambani hata kidogo. Endapo anajiamini Hana haja ya kampeni Jimboni kwake Basi habanwi kumwombea kura magufuli popote Tanzania.
Kwenye hili sidhani kama Lissu yuko sahihi.
Godbless Lema alikuwepo kwenye uzinduzi wa kampeni za Lissu Dar na alimpigia kampeni wakati ni mgombea Arusha...
Bado anajiona ni waziri mkuu hajui kuwa uwaziri mkuu ulikoma siku bunge lilipovunjwa
Huyu mtu wa ajabu kweli; akiwa Musoma amezusha uwongo kuwa wakurugenzi wameitwa Dodoma kupewa maagizo na Magufuli: uongo mkubwa! Sasa leo leo anatamka sheria isiyokuwepo kabisa; yaani ameanza anaonyesha kuwa ni mbabaishaji. Sheria ya uchaguzi inayoruhusu wagombewa kufanya kampeini inasema hivi.
View attachment 1583100
hakuna sehemu inasema kuwa Waziri Mkuu hawezi kuwa agent wa mgombea urais kwenye kampeini.
Soma Katiba; bunge kuvunjwa haina maana kuwa serikali nayo inakufa! Je una maana kuwa leo hii tukishambuliwa na nchi jirani hatutajibu mapigo kwa vile bunge limevunjwa?Waziri mkuu yupi.. bunge limevunjwa...
Huna akili, Mbowe ni mwenyekiti wa chama Taifa! Na CCM wamtumie mwenyekiti wao wa chama ili amfanyie kampeni Rais wake!Nyani haoni kendezake, mbowe si ni kub ana hadhi ya waziri mkuu kivuli
Kwenye Kampeni za Chama kuna Timu za Kampeni zinazoundwa kumnadi kila kona ya nchi Rais, hizi ni zile za Kitaifa. Tundu Lissu raia wa Kenya naona amechanganyikiwa kisawasawa anaona deni alilikopa atalirudishaje kwani kila Kona anapata Makofi na hana pa kutokea.Mgombea Urais kupitia Chadema Mh Tundu Lissu amemuonya Kasimu Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi...
Au intapentenyuaaa!Sitafuta andiko hilo , ninajua kuliko " people used to die in the lake "
Uzuri wamekutana na msomi mwenye uelewa mpana juu ya taratibu za kisheria sijui watakimbilia wapi? Majaliwa alitumia njia ya kupita bila kupingwa ili amfanyie kampeni rais.Wamekutana na kisiki wakati huu!!
Tutajie hilo tusi ili na sisi tuamini anatukanaMimi si mmoja wao wa kujadili ya kusikia, watu au matukio. Hoja kwa hoja na siyo vioja.
Wapiga kura siyo wajinga kiasi hicho. Mmoja mmoja anaporudi nyumbani kwake anachambua pumba na mchele.
MNA MGOMBEA JASIRI WA KUSEMA UWONGO UWE UKWELI, MATUSI YAWE HOJA
Majaliwa ni mjumbe wa kamati kuu ya CCMMgombea Urais kupitia Chadema Mh Tundu Lissu amemuonya Kasimu Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi...
Kwani hawajafanya ? Mbona wanafanyaKwa kuwa ccm ni wavunjaji wa sheria wazoefu najua hawatatii na kimajaliwa kitaendelea kufanya kampeni za urais,
Cha kufanya na sisi ni kumchukua Mchungaji msigwa au Lema nao wapite mtaa kwa mtaa wakimpigia kampeni Tundu Lissu, halafu tusikie fyoko fyoko mnavunja sheria za uchaguzi
Inachotakiwa kama ni kampeni uzunguke na mgombea sio utafute ulinzi wako uzunguke kwakoKwenye hili sidhani kama Lissu yuko sahihi.
Godbless Lema alikuwepo kwenye uzinduzi wa kampeni za Lissu Dar na alimpigia kampeni wakati ni mgombea Arusha...
Kama mjumbe wa kamati kuu ya CCMjikite kwenye mada , Majaliwa anazunguka nchi nzima kama nani ?
Kila mgombea ana ratiba yake iliyoandaliwa ma NEC, Mama Samia ana ratiba yake, Mwalimu ana ratiba yake, Magufuli ana ratiba yake vivyo hivyo na Lissu.Otherwise Kama anatumia mwamvuli wa uwaziri mkuu. Ila Kama anatumia mwamvuli wa kada na mjumbe wa kamati kuu ya ccm Sheria Wala maadili ya tume hayambani hata kidogo. Endapo anajiamini Hana haja ya kampeni Jimboni kwake Basi habanwi kumwombea kura magufuli popote Tanzania.