Uchaguzi 2020 Tarime: Tundu Lissu ampiga marufuku Kassim Majaliwa kufanya kampeni, Yadaiwa anavunja maadili ya uchaguzi

Uchaguzi 2020 Tarime: Tundu Lissu ampiga marufuku Kassim Majaliwa kufanya kampeni, Yadaiwa anavunja maadili ya uchaguzi

Hata jafo alivunja sheria kutangaza ajira
Baada ya bunge kuvunjwa automatic uwaziri mkuu hufa hata mawaziri hupaswa kuwaachia wizara makatibu wakuu, lakini chini ya utawala huu wa kidikteta bado waziri mkuu yupo kazini na mawaziri wapo kazini pia, hakuna kufuata Sheria katiba ya Tanzania wanajifanyia mambo kienyeji
 
Otherwise Kama anatumia mwamvuli wa uwaziri mkuu. Ila Kama anatumia mwamvuli wa kada na mjumbe wa kamati kuu ya ccm Sheria Wala maadili ya tume hayambani hata kidogo. Endapo anajiamini Hana haja ya kampeni Jimboni kwake Basi habanwi kumwombea kura magufuli popote Tanzania.

Ni kifungu gani cha sheria kinamzuia Kassim Majaliwa asimfanyie kampeni JPM vivyo hivyo ni sheria ipi inamruhusu Kassimu kumfanyia kampeni JPM tukimalizana hapo nadhani tutakuwa tumewekana sawa bila kokoro
 
Ivi nyie mlisoma wapi .. vichwa vigumu visivyo elewa.

Unaruhusiwa kuwa kwenye msafara , lakini huruhusiwi kuwa na msafara wako kwa ajili ya kampeni za Rais.

Majaliwa ana msafara wake nje ya mgombea mwenza na Rais.

Tuambie mwana chama yupi wa chadema anazunguka nje ya jimbo lake kumnadi Lissu?
Kwenye hili sidhani kama Lissu yuko sahihi.

Godbless Lema alikuwepo kwenye uzinduzi wa kampeni za Lissu Dar na alimpigia kampeni wakati ni mgombea Arusha...
 
Waziri mkuu yupi.. bunge limevunjwa...
Huyu mtu wa ajabu kweli; akiwa Musoma amezusha uwongo kuwa wakurugenzi wameitwa Dodoma kupewa maagizo na Magufuli: uongo mkubwa! Sasa leo leo anatamka sheria isiyokuwepo kabisa; yaani ameanza anaonyesha kuwa ni mbabaishaji. Sheria ya uchaguzi inayoruhusu wagombewa kufanya kampeini inasema hivi.

View attachment 1583100
hakuna sehemu inasema kuwa Waziri Mkuu hawezi kuwa agent wa mgombea urais kwenye kampeini.
 
Waziri mkuu yupi.. bunge limevunjwa...
Soma Katiba; bunge kuvunjwa haina maana kuwa serikali nayo inakufa! Je una maana kuwa leo hii tukishambuliwa na nchi jirani hatutajibu mapigo kwa vile bunge limevunjwa?
 
Mgombea Urais kupitia Chadema Mh Tundu Lissu amemuonya Kasimu Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi...
Kwenye Kampeni za Chama kuna Timu za Kampeni zinazoundwa kumnadi kila kona ya nchi Rais, hizi ni zile za Kitaifa. Tundu Lissu raia wa Kenya naona amechanganyikiwa kisawasawa anaona deni alilikopa atalirudishaje kwani kila Kona anapata Makofi na hana pa kutokea.
Update kila anapopita anaharibu kura.
 
Mimi si mmoja wao wa kujadili ya kusikia, watu au matukio. Hoja kwa hoja na siyo vioja.

Wapiga kura siyo wajinga kiasi hicho. Mmoja mmoja anaporudi nyumbani kwake anachambua pumba na mchele.

MNA MGOMBEA JASIRI WA KUSEMA UWONGO UWE UKWELI, MATUSI YAWE HOJA
Tutajie hilo tusi ili na sisi tuamini anatukana
 
Mgombea Urais kupitia Chadema Mh Tundu Lissu amemuonya Kasimu Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi...
Majaliwa ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM

Wajumbe wa kamati kuu ya CCM wamesambazwa nchi nzima kufanya kampeni
 
Kwa kuwa ccm ni wavunjaji wa sheria wazoefu najua hawatatii na kimajaliwa kitaendelea kufanya kampeni za urais,
Cha kufanya na sisi ni kumchukua Mchungaji msigwa au Lema nao wapite mtaa kwa mtaa wakimpigia kampeni Tundu Lissu, halafu tusikie fyoko fyoko mnavunja sheria za uchaguzi
Kwani hawajafanya ? Mbona wanafanya
 
Yani wewe kweli tabu Tena tupu. Unaijua Sheria ya vyama vya siasa.? Swala la kumnadi mgombea na kumuombea Kura ni mkakati wa chama husika. Endapo Wana bajeti ya kutumia hazina walizonazo chama kinaweza kusambaza watu nchi nzima ilimradi iwe ndani ya muda ulioruhusiwa.

Unakumbuka wakati Chadema wanalalamika magu alivowazuia wabunge kufanya siasa nje ya majimbo Yao? Chadema walikuwa very right kisheria lkn jiwe akitumia ubabe Kama kawaida yake na kuwakandamiza Chadema. Kisheria kampeni ni mkakati wa chama sio lazima kuandamana na mgombea.

That is why mataga yalipoona yanazidiwa na Lissu Sasa wabafungulia hazina Yao kuanzia kina Kikwete, Mawaziri wakuu na makatibu wakuu wa CCM wastaafu utaanza kuwaona wakizurura huku na huko. Sheria haiwabani hapa mwanasheria nguli akijifanya nyokooo itamcost. Tabutupu
 
Otherwise Kama anatumia mwamvuli wa uwaziri mkuu. Ila Kama anatumia mwamvuli wa kada na mjumbe wa kamati kuu ya ccm Sheria Wala maadili ya tume hayambani hata kidogo. Endapo anajiamini Hana haja ya kampeni Jimboni kwake Basi habanwi kumwombea kura magufuli popote Tanzania.
Kila mgombea ana ratiba yake iliyoandaliwa ma NEC, Mama Samia ana ratiba yake, Mwalimu ana ratiba yake, Magufuli ana ratiba yake vivyo hivyo na Lissu.

Haya tuambie ratiba ya Majaliwa nani ameipanga ama iko wapi.?

Majaliwa anaruhusuwa kuambatana na Magufuli ama Mama Samia ila sio yeye kuandaa mikutano binafsi.
 
Back
Top Bottom