Uchaguzi 2020 Tarime: Tundu Lissu ampiga marufuku Kassim Majaliwa kufanya kampeni, Yadaiwa anavunja maadili ya uchaguzi

Uchaguzi 2020 Tarime: Tundu Lissu ampiga marufuku Kassim Majaliwa kufanya kampeni, Yadaiwa anavunja maadili ya uchaguzi

Kwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?

Akili za kinyumbu tu.
Na matako wazi tumia akili siyo kukaririshwa ujinga. Lissu anasema wakishinda lazima watangazwe siyo kuwa lazima atangazwe hata kama ameshindwa.
 
Kila mgombea ana ratiba yake iliyoandaliwa ma NEC, Mama Samia ana ratiba yake, Mwalimu ana ratiba yake, Magufuli ana ratiba yake vivyo hivyo na Lissu.

Haya tuambie ratiba ya Majaliwa nani ameipanga ama iko wapi.?

Majaliwa anaruhusuwa kuambatana na Magufuli ama Mama Samia ila sio yeye kuandaa mikutano binafsi.
Hatuongelei ratiba. Tunaongelea je ni Halali kisheria au sio halali. Wewe unakuja na mada nyingine. Anzisha Uzi wake tutaijadili huko.
 
Kwenye hili sidhani kama Lissu yuko sahihi.

Godbless Lema alikuwepo kwenye uzinduzi wa kampeni za Lissu Dar na alimpigia kampeni wakati ni mgombea Arusha...
Mi nadhani wakati mwingine Lissu anaamua kuwavuruga watoke kwenye reli tu....wawe busy kujadili lakini yeye anaendelea na mambo yake.
 
Kwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?

Akili za kinyumbu tu.
Kwani kuandamana unapoona umeonewa ni kosa kisheria? Sheria zetu zinaruhusu maandamano. Nenda shule ukajielimishe au jitahidi uwe unaongea na watu wenye akili timamu, utaeleimika angalao kwa kiasi fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgombea Urais kupitia Chadema Mh Tundu Lissu amemuonya Kasimu Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi...
Kassim majaliwa hampigii kampeni Raisi kama waziri mkuu ikumbukwe yule ni mjumbe wa kamati kuu ccm na ikumbukwe ccm wana taratibu zao kipindi cha kampeni na moja ni wajumbe wote wa kamati kuu za ccm kumnadi mgombea wao ambae kimsingi ndiye mbeba ilani ya chama chao.

So don't confuse uwazir mkuu na ujumbe wake katika kamati kuu ya ccm,u should remember that
 
Kama angalikua si mjumbe wa kamati kuu ya CCM angekuwa amevunja sheria ,lakn kwa hapo hakuna sheria ina mbana mana ana mpgia kama mjumbe na so kama pm
 
Ndio ukweli wenyewe wakumfanyia kampeni Rais ni mgombea mwenza mama Samia Suluhu
Hakuna kiingereza cha "Lissu The Greatest", ni "Lissu The Great", ukiandika Lissu The Greatest lazima umalizie na sifa yake yoyote. Mfano ungeandika: "Lissu The Greatest Politician". Au "Lissu The Greatest Lawyer"

Kila siku mnakandia watu hawajui kiingereza kumbe na nyie Grammar ni ZERO.
Hahahahaa ila akili zetu zimekua za hovyo unanzaje kujivunia kujua kiingeleza na kinyaturu hujui vizuri
Hii ni aibu kubwaaa sanaa
Tujifunze kupenda vyetu kwanza
 
Mgombea Urais kupitia Chadema Mh Tundu Lissu amemuonya Kasimu Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi...
Huyu ndo Lissu kama Lissu!! Mpakwa mafuta wa Mungu aliyemfanya pia kuwa nguli wa sheria

CCM lazima wapoteane dadekiii 😂😂😂😂😂
 
CCM na Magufuli yake Hawajui Wana deal na mtu ambaye yuko above their level! Kassim Majaliwa alikuwa Mbunge kwene Bunge lilopita na aliteuliwa kuwa PM. Baada ya Bunge la JMT kuvunjwa Majaliwa is NO LONGER A Prime Minister...
Kwani baraza la mawaziri limevunjwa lini kijana mzalendo
 
Kwenye hili sidhani kama Lissu yuko sahihi.

Godbless Lema alikuwepo kwenye uzinduzi wa kampeni za Lissu Dar na alimpigia kampeni wakati ni mgombea Arusha...
Tukiwaambia Lisu ni debe tupu wafuasi wake mnatukana!

Yani wafuasi wa Lisu humuona huyo mtu wao kama Mungu
 
Kwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?

Akili za kinyumbu tu.
Mtajua hamjui mwaka huu dadekiiii. Huyo ndo Lissu kama Lissu, mpakwa mafuta wa Mungu😂😂
 
Tukiwaambia Lisu ni debe tupu wafuasi wake mnatukana!

Yani wafuasi wa Lisu humuona huyo mtu wao kama Mungu
Kanuni za Tume zina sema mawaziri hawatakiwi kujihusisha na Kampeni. Majaliwa ni waziri mkuu bado na anafanya kampeni na bado anatoa maagizo kwenye kampeni zake kama waziri mkuu.

Sasa tume ianze na majaliwa 😂😂😂

Huyo ndo Lissu dadekiii
 
Huyu mtu wa ajabu kweli; akiwa Musoma amezusha uwongo kuwa wakurugenzi wameitwa Dodoma kupewa maagizo na Magufuli: uongo mkubwa! Sasa leo leo anatamka sheria isiyokuwepo kabisa; yaani ameanza anaonyesha kuwa ni mbabaishaji. Sheria ya uchaguzi inayoruhusu wagombewa kufanya kampeini inasema hivi.

View attachment 1583100
hakuna sehemu inasema kuwa Waziri Mkuu hawezi kuwa agent wa mgombea urais kwenye kampeini.
Mkuu iyo sheria wafafanulie wapate mwanga kimombo hawajui amini nakwambiaa
 
Kwenye hili sidhani kama Lissu yuko sahihi.

Godbless Lema alikuwepo kwenye uzinduzi wa kampeni za Lissu Dar na alimpigia kampeni wakati ni mgombea Arusha.

Lakini, Kassim Majaliwa bado ni mtanzania, kwa mujibu wa katiba ya nchi ana haki ya kwenda mahali popote nchini.

Na kwa mujibu wa katiba ya nchi Kassim Majaliwa ana haki ya kufanya kazi ya kisiasa aliyotumwa na chama chake kwa sababu chama chake ni chama halali kilichosajiliwa nchini.

Kazi ya kuomba kura ni kazi ya wanachama wote, siyo wagombea peke yao!. It is not about individuals, it is about the party

Miaka michache iliyopita Chadema walikuwa wakilalamika kuzuiwa kufanya siasa nchi nzima, yaani mbunge wa Jimbo X kushiriki siasa za Jimbo Y, Leo Lissu anakubaliana na katazo lilelile la Magufuli ambalo walilipinga kipindi kile?

Labda Lissu anukuu vifungu vya sheria tujionee otherwise hoja yake hii naona haina mashiko
Sidhani Kama Lisu kakurupuka.
 
Katiba na sheria za uchaguzi hazimzuii; na wala hakuna kipengele chochote kinacholimit watu kufanya kampeini za uraisi katika majimbo yao tu. Watu wanaendeshwa na hisia za uwongo tu bila kusoma sheria na katiba inasemaje. halafu Lisu anajua kuwatumia vizuri watu hao ambao wao ni fuata upepeo tu; anawalisha uwongo wao wanameza tu
Watanzania wengi hasa walopo social media wavivu kusoma vitu na kutafuta ukweli ndo mana wepesi kudanganywaa na upepo huo ndo lissu anatembea nao
 
Back
Top Bottom