Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Hata NEC wenyewe hawajuiNi wakati gani anakuwa PM na wakati gani anakuwa mjumbe wa kamati kuu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata NEC wenyewe hawajuiNi wakati gani anakuwa PM na wakati gani anakuwa mjumbe wa kamati kuu ?
Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amemuonya Kassim Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi .
Kwa mujibu wa Lissu, Waziri Mkuu Kikatiba hatakiwi kumpiga kampeni mgombea Urais wa chama chake nje ya jimbo lake la uchaguzi ambalo ni Ruangwa tu na ameonya kwamba NEC isipochukua hatua kwenye hili basi itajisimika rasmi kuwa TUMECCM .
Je, Wanasheria mliopo hapa JF hili jambo limekaaje?

Ndo maana nikashangilia Lissu kuitwa na Tume.Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amemuonya Kassim Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi .
Kwa mujibu wa Lissu, Waziri Mkuu Kikatiba hatakiwi kumpiga kampeni mgombea Urais wa chama chake nje ya jimbo lake la uchaguzi ambalo ni Ruangwa tu na ameonya kwamba NEC isipochukua hatua kwenye hili basi itajisimika rasmi kuwa TUMECCM .
Je, Wanasheria mliopo hapa JF hili jambo limekaaje?
Kwahiyo akishinda halafu asitangazwe unataka afanyeje? Bila shaka inajua kabisa kwa sheria zetu rais akitangazwa na tume hakuna mahali popote utakapokwenda kukata rufaa. Usijifanye hamnazo kwa sababu ya ushabiki wako. Kwanza hajasema yeye atangazwe akishindwa ila akishinda kusiwe na kigugumizi cha kumtangaza vilevile.Kwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?
Unataka utafsiriwe sheria au lugha? Kwani kuwa tofauti ni dhambi,ni busara ukazungumza bila kejeli.Unatupia vifungu badala ya kutafsiri vifungu?Unaelewa kuwa sheria ni tafsiri na wala siyo vifungu?Wewe ni MATAGA?
Mbowe ni Mwenyekiti wa Chama kilichotoa mgombeaNyani haoni kendezake, mbowe si ni kub ana hadhi ya waziri mkuu kivuli
Amesema "Kikatiba" Waziri Mkuu haruhusiwi kutumia cheo chake na resources za Serikali kufanyia kampeni zake binafsi au za mgombea wa udiwani, ubunge au urais.Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amemuonya Kassim Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi .
Kwa mujibu wa Lissu, Waziri Mkuu Kikatiba hatakiwi kumpiga kampeni mgombea Urais wa chama chake nje ya jimbo lake la uchaguzi ambalo ni Ruangwa tu na ameonya kwamba NEC isipochukua hatua kwenye hili basi itajisimika rasmi kuwa TUMECCM .
Je, Wanasheria mliopo hapa JF hili jambo limekaaje?
Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amemuonya Kassim Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi .
Kwa mujibu wa Lissu, Waziri Mkuu Kikatiba hatakiwi kumpiga kampeni mgombea Urais wa chama chake nje ya jimbo lake la uchaguzi ambalo ni Ruangwa tu na ameonya kwamba NEC isipochukua hatua kwenye hili basi itajisimika rasmi kuwa TUMECCM .
Je, Wanasheria mliopo hapa JF hili jambo limekaaje?
Wajinga nyie, mikutano ya kampeni inapangiwa ratiba jee Majaliwa anapangiwa ratiba na NEC?
Hivi kama kila mjumbe wa kamati kuu wa kila chama atafanya mikutano jee haitakuwa fujo hiyo?
Msipende kutetea ujinga!
Kama anajisikia kupiga kampeni aongozane na mgombea wao
Sheria inazungumzia Mawaziri, Wakuu, wa Mikoa na Wilaya ........... KUB hayuko kwenye hilo group!!Nyani haoni kendezake, mbowe si ni kub ana hadhi ya waziri mkuu kivuli
Tatizo lipo hivi, Je anaweza kuihakikishia Tume kwamba anapokwenda mikoani anaachana na uwaziri Mkuu na anakwenda kama kada na Mjumbe wa kamati kuu? Je hii inawezekana?Otherwise Kama anatumia mwamvuli wa uwaziri mkuu. Ila Kama anatumia mwamvuli wa kada na mjumbe wa kamati kuu ya ccm Sheria Wala maadili ya tume hayambani hata kidogo. Endapo anajiamini Hana haja ya kampeni Jimboni kwake Basi habanwi kumwombea kura magufuli popote Tanzania.
Lissu nilimwamini kwamba ni NGULI pale tu alipowafundisha watu Sheria kwamba UGAIDI hadi uitwe ugaini lazima uhusishe watu zaidi ya wawili - wakati kale ka Clip ketu ambako kangepita ilikuwa CDM ifutwe kakawa na sauti za watu wawili.Lissu The Greatest
Returning officer ni nani kwa mujibu wa hii sheria?Na je,katika ngazi ya uraisi, kuna returning officer mwenye mamlaka ya kupanga/kupokea ratiba ya mikutano ya wagombea uraisi au kuidhinidsha watu wa kumpigia kampeni mgombea uraisi?
Usimtukane mwenyekiti wako.Hakuna mwanachama wa Chadema anajua kingereza mkuu, amini hivyo.
Wewe humuoni anavyofanya; anakagua na kuzindua miradi kwa mwamvuli wa Waziri Mkuu halafu hapo hapo anajigeuza mjumbe wa kamati kuu ya CCM kupiga kampeni!Otherwise Kama anatumia mwamvuli wa uwaziri mkuu. Ila Kama anatumia mwamvuli wa kada na mjumbe wa kamati kuu ya ccm Sheria Wala maadili ya tume hayambani hata kidogo. Endapo anajiamini Hana haja ya kampeni Jimboni kwake Basi habanwi kumwombea kura magufuli popote Tanzania.
Wewe ni mwalimu mzuri sana wa grammar, sasa mbona humfundishi bosi wako baba Jeska???Hakuna kiingereza cha "Lissu The Greatest", ni "Lissu The Great", ukiandika Lissu The Greatest lazima umalizie na sifa yake yoyote. Mfano ungeandika: "Lissu The Greatest Politician". Au "Lissu The Greatest Lawyer"
Kila siku mnakandia watu hawajui kiingereza kumbe na nyie Grammar ni ZERO.