Mchimwachimego
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 358
- 271
Jipige dole LA Mk***nusaPunguza jazba au mwambie jamaa achomoe ujambe kisha andika vizuri comment yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jipige dole LA Mk***nusaPunguza jazba au mwambie jamaa achomoe ujambe kisha andika vizuri comment yako
Tatizo lipo hivi, Je anaweza kuihakikishia Tume kwamba anapokwenda mikoani anaachana na uwaziri Mkuu na anakwenda kama kada na Mjumbe wa kamati kuu? Je hii inawezekana?
Kama akisema yeye bado ni Waziri Mkuu na nakwenda kutimiza majukumu yake hilo ni sawa, lakini je huko kuwa haongelei masuala ya kumwombea JPM kura?
Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amemuonya Kassim Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi .
Kwa mujibu wa Lissu, Waziri Mkuu Kikatiba hatakiwi kumpiga kampeni mgombea Urais wa chama chake nje ya jimbo lake la uchaguzi ambalo ni Ruangwa tu na ameonya kwamba NEC isipochukua hatua kwenye hili basi itajisimika rasmi kuwa TUMECCM .
Je, Wanasheria mliopo hapa JF hili jambo limekaaje?
Wewe ni kilaza mmoja tu asiyejua kuwa Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA.Nyani haoni kendezake, mbowe si ni kub ana hadhi ya waziri mkuu kivuli
Ratiba ya Tume ni kwa Wagombea tu , huyu ratiba yake ya kampeni imepangwa na nani ? matokeo yake ni kama kilichotokea Ukerewe , Majaliwa akavamia na mwenye ratiba yake Lissu akazimiwa kivuko na wahudumu wa kivuko hicho wakaamriwa kujificha ili Lissu asivukeWakati wote anakuwa na vyote.
1. Maadam serkali bado iko madarakani na haijakoma hadi itakapotangazo serkali nyingine.
2. Maadam ni mjumbe wa Nec ya ccm na anevaa kijani
Hii ni complicated hata Lishu anajua ila anatafuta mahali ambabaishe kwa desturi ya wanasheria
Ratiba za tume ni kwa wagombea urais nchi nzima na wabunge na madiwani kwenye majimbo na kata zao , huyu Majaliwa huko anakoenda ni kama nani ? wajumbe wa kamati kuu waendelee na vikao vya ndani vya mikakati tu na kuhudhuria majukwaa ya wagombea basi , Huyu Majaliwa akiendelea na kiherehere chake atakamatwa baada ya uchaguziMajaliwa ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM
Wajumbe wa kamati kuu ya CCM wamesambazwa nchi nzima kufanya kampeni
Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amemuonya Kassim Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi .
Kwa mujibu wa Lissu, Waziri Mkuu Kikatiba hatakiwi kumpiga kampeni mgombea Urais wa chama chake nje ya jimbo lake la uchaguzi ambalo ni Ruangwa tu na ameonya kwamba NEC isipochukua hatua kwenye hili basi itajisimika rasmi kuwa TUMECCM .
Je, Wanasheria mliopo hapa JF hili jambo limekaaje?
Na Mbowe alikuwa akizunguka na Lisu kama nani wakati na yeye Mbowe ni mgombea ubunge HaiRatiba za tume ni kwa wagombea urais nchi nzima na wabunge na madiwani kwenye majimbo na kata zao , huyu Majaliwa huko anakoenda ni kama nani ? wajumbe wa kamati kuu waendelee na vikao vya ndani vya mikakati tu na kuhudhuria majukwaa ya wagombea basi , Huyu Majaliwa akiendelea na kiherehere chake atakamatwa baada ya uchaguzi
Key word CONSTITUENCY = Jimbo la Uchaguzi. Hivyo ni sahihi na kweli Kassim Majaliwa ukomo wake ni jimboni. Hakuna jimbo linalojulikana kama Taifa.
Pale anapokuwa katika ziara za kikazi haruhusiwi kufanya kampeni kwasababu atakuwa anasimama kama PM.Ni wakati gani anakuwa PM na wakati gani anakuwa mjumbe wa kamati kuu ?
Anatumia ratiba za ubunge za majimbo anayotembelea, in kama ilivyokuwa jana nilimwona Makongoro Nyerere akimfanyia kampeni Magufuli kupitia mikutano ya kampeni ya ubunge pale Chato.Je, kwenye ratiba ya Tume ya Uchaguzi Waziri Mkuu yumo?mda na mahali? Kwanini Tume imekaa kimya? Huyu anatumia vyombo vya wananchi kunadi mgombea mahali popote! Kwanini Tume hawajawa fair katika hili?
Ni complicated kwako tu. Sheria ya taifa ya uchaguzi inamruhusu waziri kufanya kampeni maadamu asichanganye ziara za kikazi na mikutano ya kampeni.Wakati wote anakuwa na vyote.
1. Maadam serkali bado iko madarakani na haijakoma hadi itakapotangazo serkali nyingine.
2. Maadam ni mjumbe wa Nec ya ccm na anevaa kijani
Hii ni complicated hata Lishu anajua ila anatafuta mahali ambabaishe kwa desturi ya wanasheria
Ni wakati gani anaongea na kutenda kama waziri mkuu?Ni complicated kwako tu. Sheria ya taifa ya uchaguzi inamruhusu waziri kufanya kampeni maadamu asichanganye ziara za kikazi na mikutano ya kampeni.
Kila mkutano una makusudio na malengo yake, na hata vibali vya mikutano hiyo na ratiba za mikutano hiyo hutolewa kwa kuzingatia malengo na makusudio hayo ambayo huwa kwa maandishi, ikiwa lengo la mkutano ni kampeni basi atasimama kama waziri mkuu na kada wa chama, lakini haruhusiwi kufanya mkutano wenye malengo ya kazi za kiserikali na kuuchanganya na kampeni.Ni wakati gani anaongea na kutenda kama waziri mkuu?
Kichekesho anayetembea na spana ni nani na mara ngapi ameshaanguka jukwaani mwili mzima umejaa misumariHuu ni mwiba mpya kwa mgombea wa chama kimoja cha siasa. Daktari amemshauri kusimama kwa dakika zisizozidi 20 akiwa anafanya kampeni. Sasa wale right men wake wakipigwa spana sijui atafanyaje kampeni.