Uchaguzi 2020 Tarime: Tundu Lissu ampiga marufuku Kassim Majaliwa kufanya kampeni, Yadaiwa anavunja maadili ya uchaguzi

Uchaguzi 2020 Tarime: Tundu Lissu ampiga marufuku Kassim Majaliwa kufanya kampeni, Yadaiwa anavunja maadili ya uchaguzi

Aache kuweweseka NEC wameshatoa ufafanuzi wa kisheria kuhusu hilo, na wametufumbua macho kufanya tujue kwamba huyo mnaemsifia kuwa ni nguli wa sheria kumbe ni KILAZA MMOJA MZURI TU
 
Ndio ukweli wenyewe wakumfanyia kampeni Rais ni mgombea mwenza mama Samia Suluhu
Sikutegemea kama watu hawajasoma kanuni za tume ya uchaguzi. Pengene tafuteni timu ya kampeni ya wagombea. Hapo utapata jibu kama ni kinyume au la. Kama sheria imepita kando tafuta mtu wa kutafsiri sheria. Vinginevyo hata lissu atakuwa tapeli wa sheria.
 
Aache kuweweseka NEC wameshatoa ufafanuzi wa kisheria kuhusu hilo, na wametufumbua macho kufanya tujue kwamba huyo mnaemsifia kuwa ni nguli wa sheria kumbe ni KILAZA MMOJA MZURI TU

Hakuna lolote hapo!
Kinachoendelea hapa ni juhudi za maksudi za NEC katika kudhibiti KAMPENI ZA TUNDU LISSU baada ya kuona ni tishio kwa Utawala wa CCM.
 
Aache kuweweseka NEC wameshatoa ufafanuzi wa kisheria kuhusu hilo, na wametufumbua macho kufanya tujue kwamba huyo mnaemsifia kuwa ni nguli wa sheria kumbe ni KILAZA MMOJA MZURI TU
Ni wapi ambapo ufafanuzi wa tume umesema Majaliwa karuhusiwa kufanya kampeni ?
 
Ni wapi ambapo ufafanuzi wa tume umesema Majaliwa karuhusiwa kufanya kampeni ?

Kulingana na sheria na Kanuni za Tume ya Uchaguzi waliozitengeneza wenyewe: Majaliwa Kassim Majaliwa Kama Mgombea wa Ubunge Jimbo lake la Ruangwa anatakiwa kuwa Jimboni kwake Ruangwa na si Vinginevo!!!
Anachofanya Kassim Majaliwa kwa sasa kuzungukwa nji nzima kumpigia Kampeni Magufuli Ni UKIUKWAJI MKUBWA WA SHERIA NA KANUNI ZA UCHAGUZI✌✌
 
Mkuu michango yako humu JF ni ya kiwango cha juu mno! Kwanza heshima kwa hilo. Hoja ya msingi kwenye kesi hii (cited) Lissu Vs Majaliwa, 2020 ni kwamba maadili ya uchaguzi mkuu 2020 yanakataza viongozi wa serikali (mawaziri, RC's, DC's, n.k.) kuwafanyia kampeni wagombea.

Sasa kama Kassim Majaliwa, uwaziri mkuu wake ulishakoma then Lissu atakuwa amepotoka ila kama Kassim Majaliwa bado ni Waziri Mkuu wa JMT, Lissu ana hoja ya msingi kwa kuzingatia maadili yaliyotolewa na NEC yenyewe na ambayo kila mmoja anatakiwa kuyazingatia.

Msikilize Mhe. Tundu Lissu mwenyewe akifafanua hili la Majaliwa Kassim Majaliwa jinsi anavokiuka sheria na Kanuni za Tume ya CCM:Anzia dk. ya 27 ya video clip hii:

Kulingana na sheria na Kanuni za Tume ya Uchaguzi waliozitengeneza wenyewe: Majaliwa Kassim Majaliwa Kama Mgombea wa Ubunge Jimbo lake la Ruangwa anatakiwa kuwa Jimboni kwake Ruangwa na si Vinginevo!!!
Anachofanya Kassim Majaliwa kwa sasa kuzungukwa nji nzima kumpigia Kampeni Magufuli Ni UKIUKWAJI MKUBWA WA SHERIA NA KANUNI ZA UCHAGUZI[emoji111][emoji111]
Vipi kuhusu Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT wakati anazunguka mikoa ya kusaini kuwanadi Wabunge wake na Madiwani yeye hakupaswa kuwa Jimboni au yeye hagombei tena?
 
Back
Top Bottom