Taswira ya Yesu anayehubiriwa ni tofauti na Yesu halisi

Taswira ya Yesu anayehubiriwa ni tofauti na Yesu halisi

Nilichosema ni kuwa watu waliokuwa wamemzunguka na lifestyle lake lilikuwa tofauti na lile ambalo jamii ya kipindi kile ilivyokuwa inaamini mtu kama masiah anapaswa kuwa hivi.
Ukurupukaji wako upo hivi....

Imetuletea mfano wa kahaba, watu wenye dhambi kukaa pamoja na Yesu hadi watu (wayahudi wanafiki) wakawa wanamhukumu kwa hali hiyo.

Hukupitia na kuambatanisha vifungu vyovyote yenye kukazia mtazamo wako wa kiukurupukaji.

Hujapitia mambo mazuri aliyoyafanya Yesu Kristo kwa kuponya wagonjwa, kufufua wafu, kuyapelekea moto mapepo, kulisha na kunywesha watu wenye njaa, kuwasamehe wenye dhambi nk nk.

Soma Biblia kwa kutafakari utamjua Yesu ni nani na alikuja duniani kufanya nini.
 
Nahisi hata hukuelewa my point.

My point ni kwamba, lifestyle yake kwa jamii ile ilikuwa ni kama outcast. Kuanzia watu aliokuwa anaongozana nao, misimamo yake iliyokuwa dhidi ya kanuni na maisha ya watu wa kipindi kile.

Hata angelikuja leo bado angeonekana outcast.

Ni ngumu kwa mfano kumwmaini mtu anayeongozana na walevi na wazinzi kila mara na jibu lake awe anakwambia hao ndio watu anaowalenga kuwabadilisha. Mtu anayepinga sheria ambazo ni tamaduni za miaka na miaka.

Mtu ambaye anaongozana na masela halafu anajiita mfalme. Katika hali ya kawaida utasema huyu bangi inamsumbua.
Hio ndo njia za Mungu mara nyingi sana anatumiaga njia wanadamu tusioitegemea hata kutarajia

Mfano watu wengi sana wanamlilia Mungu kwa mahitaji tofauti Ila mara nyingi sana Mungu anakua amewajibu kwa njia wasiotegemea wanaishia kumkasirikia Mungu ila anakua amewashajibu

Mfano ukisoma mambo ya chapa ya 666 ukweli ni kwamba hayo mambo hayatatokea katika ulimwengu wa mwili bali wa roho

Hata kuja kuchukua kanisa atakuja kuchukua katika njia ya tofauti na tusiotegemea na kutarajia
 
YESU alikuwa anafanya ISHARA na MIUJIZA mbalimbali.

Kama: kuponya viwete, kuponya vipofu, kufufua wafu, kutoa Pepo wachafu, Kuamuru dhoruba, kuongeza vyakula, kutakasa wakoma, n.k.

Masuala ambayo yanafanywa na watu wa MUNGU PEKEE YAO. ISSUE ya mwanamke KAHABA ni issue ya kujinyenyekeza na kuomba msamaha kutokana na dhambi za huyo KAHABA.

LAKINI, lengo la YESU kuja ni kukomboa watu kutokana na utumwa wa dhambi, na watu hao ni lazima wajinyenyekeze na kujishusha.

KIFUPI: YESU angekuja TANZANIA watu wengi wangemwamini kutokana na ishara na MIUJIZA ambayo angeifanya.

FIKIRIA jinsi watu wanavyowafuata mitume na manabii ambao hawajafanya ishara yoyote zaidi ya kusababisha vifo vya watu na umasikini pamoja na kuwapiga fedha ndefu( halafu atokee mtu anayefufua wafu na kuponya viwete, vipofu, nk. Asifuatwe?, Nani kasema?)
... HALAFU ITOKEE MTU MWENYEWE AWE 'MWANA' KIAINA'AINA! 👊
 
Yeah wasifu wa Yesu uliandikwa sehemu nyingi sana na watu wengi sana walielezea Hii ilikuwa miaka mingi sana baada ya kufa kwake...
Ni kama Sasa hivi Watu wengi Waanze kuelezea Kuhusu Historia ya kifo cha Karume na karume alikuaje..
Na wengine waanze kuandika sahzi kumuhusu karume japo tunaamini kwamba wengi waliokuwa vijana kipindi hicho mwaka 65 sio wote wapo unless ana miaka 120 na kuendelea au 100 na kuendela au 90 ...

Na ndo maana nampenda sana luka alisema hivi..
View attachment 2798688

Ndio walikuwa wengi kweli kweli.

Na hii ni moja ya sababu inayoimarisha ushahidi kwamba huyu mtu hakuwa wa kufikirika tu,strory hii angeandika mtu mmoja peke yake ingekuwa na ukakasi.
 
Ukurupukaji wako upo hivi....

Imetuletea mfano wa kahaba, watu wenye dhambi kukaa pamoja na Yesu hadi watu (wayahudi wanafiki) wakawa wanamhukumu kwa hali hiyo.

Hukupitia na kuambatanisha vifungu vyovyote yenye kukazia mtazamo wako wa kiukurupukaji.

Hujapitia mambo mazuri aliyoyafanya Yesu Kristo kwa kuponya wagonjwa, kufufua wafu, kuyapelekea moto mapepo, kulisha na kunywesha watu wenye njaa, kuwasamehe wenye dhambi nk nk.

Soma Biblia kwa kutafakari utamjua Yesu ni nani na alikuja duniani kufanya nini.
Mimi nimeongelea upande wa maisha yake aliyikuwa akiishi.
Kuhusu kahaba si kweli alilia na kumwosha na kumpangusa miguu kwa nywele zake?
Mimi nazungumzia maisha yake in general ambayo hayakuwa ni maisha ambayo wayahudi wengi walitarajia masiah ayaishi.
Kama wewe ni mlokole jamii iliyokuzunguka ina picha ya lifestyle ambalo jamii inategemea kukuona ukiishi. Sasa assume unaongozana na malaya, walevu na wavuta bangi hata ukisema unawahubiri bado wengi watatia shaka. Unakumbuka kilichotokea kwa goodluck gosbert na fiesta
 
Mi sio Mfarisayo, Mimi ni Mlokole, nimempokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yangu...

Siongozwi na sheria naongozwa na Roho Mtakatifu
IMANI bila matendo imekufa wewe unamwamini Yesu na mashetani wanaamini hivyo hivyo na wanatetemeka..
Yakobo 2:14-19
Na zaidi soma 19

Screenshot_20231031-104450.png

Sasa Ukitaka ushahidi wa ninayosema kuwa imani bila matendo haifanyi kazi ndo maana Yakobo Ndugu yake yesu aliwatukana watu kama nyinyi...

YAKOBO 2:20

Screenshot_20231031-104415.png

Donatila Rafiki angu Usiseme kuwa Hauko chini ya Sheria unatambuaje kama hii ni dhambi bila sheria..

WARUMI 7:7-8

Screenshot_20231031-104722.png
 
Kuna wakristo wanajitenga na kujiona wao bora,mpaka unajiuliza hawa kweli wanamjua Yesu.Wanaamini kumpokea Yesu mpaka uwe nao dhehubu moja bila hivyo wanakuambia hujampokea Yesu.

Halafu Yesu alivyo kuwa wa ajabu,hata wafuasi wake walikuwa hawana hadhi kubwa kwenye jamii,ila hao ndio aliwaona wanafaa kuitangaza injili.
 
Ndio walikuwa wengi kweli kweli.

Na hii ni moja ya sababu inayoimarisha ushahidi kwamba huyu mtu hakuwa wa kufikirika tu,strory hii angeandika mtu mmoja peke yake ingekuwa na ukakasi.
Usisahau hata watu waliokuwa na majina ya Yehoshua wakati huo pia nao walikuwa ni wengi na wenye Miujiza pia na waliohukumiwa pia kwa kesi kama hizo na kutundikwa msalabani lia..
Kasome Jewish war JW Antiqauities ya Josephus
 
IMANI bila matendo imekufa wewe unamwamini Yesu na mashetani wanaamini hivyo hivyo na wanatetemeka..
Yakobo 2:14-19
Na zaidi soma 19

View attachment 2798692

Sasa Ukitaka ushahidi wa ninayosema kuwa imani bila matendo haifanyi kazi ndo maana Yakobo Ndugu yake yesu aliwatukana watu kama nyinyi...

YAKOBO 2:20

View attachment 2798693

Donatila Rafiki angu Usiseme kuwa Hauko chini ya Sheria unatambuaje kama hii ni dhambi bila sheria..

WARUMI 7:7-8

View attachment 2798695
Unalitumia neno la Mungu kumpinga Mungu na watu wake...

Unanishangaza, sasa Mfarisayo anatofauti gani na wewe...

Maana hakutaka watu waponywe siku ya sabato ...

Sisi tunasimamia kuwa Yesu anatenda wewe unapinga Tena kwa neno...

Kuijua Imani ya mtu sio kazi yako ni kazi ya Mungu mwenyewe,
 
Usisahau hata watu waliokuwa na majina ya Yehoshua wakati huo pia nao walikuwa ni wengi na wenye Miujiza pia na waliohukumiwa pia kwa kesi kama hizo na kutundikwa msalabani lia..
Kasome Jewish war JW Antiqauities ya Josephus

Vyanzo vyako vinasema kwamba kuna Yehoshua wangapi walizaliwa na mariam??

Wangapi walikuwa na wanafunzi 12?kwa majina husika?

Wangapi walikuwa walikuwa na uwezi wa kufanya miujiza??
 
Unalitumia neno la Mungu kumpinga Mungu na watu wake...

Unanishangaza, sasa Mfarisayo anatofauti gani na wewe...

Maana hakutaka watu waponywe siku ya sabato ...

Sisi tunasimamia kuwa Yesu anatenda wewe unapinga Tena kwa neno...
Hakuna Sehemu nimempinga Mungu Hahaha ila napinga imani mnazojiwekea ambzo zipo kinyume na biblia..

Kwakuwa umeshikilia imani yako ukipewa vifungu vinavyokupinga ni dhahiri utaona kuwa natumia biblia kupinga imani yako na sio Mungu..

Ulitakiwa kupinga kwa hoja na sio Kuni Attack mimi..
Hahah kuwa nafanana na mafarisayo ifa kweli nafanana na mafarisayo nashukuru kwa kuwa Thats good proggress kwenye ufalme wa Mungu bado kidogo niwazidi haki yao na niingie mbingun..

Mathayo 5:20
Screenshot_20231031-110057.png

Kwahiyi kama naonekana kam farisayo nafurahi kwa kuwa bado kidogo nitafikia malengoo..

Na kingine
Wapi nimepinga 😅😅 bila shuhuda..
Imeandikwa na waenende kwa ushuhuda..
 
Hakuna Sehemu nimempinga Mungu Hahaha ila napinga imani mnazojiwekea ambzo zipo kinyume na biblia..

Kwakuwa umeshikilia imani yako ukipewa vifungu vinavyokupinga ni dhahiri utaona kuwa natumia biblia kupinga imani yako na sio Mungu..

Ulitakiwa kupinga kwa hoja na sio Kuni Attack mimi..
Hahah kuwa nafanana na mafarisayo ifa kweli nafanana na mafarisayo nashukuru kwa kuwa Thats good proggress kwenye ufalme wa Mungu bado kidogo niwazidi haki yao na niingie mbingun..

Mathayo 5:20
View attachment 2798709

Kwahiyi kama naonekana kam farisayo nafurahi kwa kuwa bado kidogo nitafikia malengoo..

Na kingine
Wapi nimepinga [emoji28][emoji28] bila shuhuda..
Imeandikwa na waenende kwa ushuhuda..
Imani zipi ambazo nimejiwekea?

Kusema namuamini Yesu?

Umekariri Biblia unajiona wewe ndo Mtakatifu sasa..

Kuuona ufalme wa Mungu sio kwa kukariri neno bali neno kukaa ndani yako na kwa kumwamini Yesu...

Ikiwa ungekuwa unamwamini Yesu, usingekuwa unapingana na wanaomkiri yeye bali ungepingana na wale wasio mkiri...

Wewe ni Mpinga Kristo, hata hivyo huamini hata walioandika neno lake...

2Mambo nyakati 20:20
Neno linasema, waaminini Manabii mtafanikiwa niaminini mimi mtathibitika..
 
Kuhusu kahaba si kweli alilia na kumwosha na kumpangusa miguu kwa nywele zake?
Hili la kahaba kupangusa miguu ya Yesu kwa nywele zake lilipingwa hata na mhasibu Yuda Iscariot maana yule kahaba alikuja na uturi ghari kumpaka Yesu, sasa mtazamo wa Yuda ulikuwa ni kuuza yale manukato ili apige hela 😂

Hapo Yuda alipinga kwa manufaa yake binafsi.
Mimi nazungumzia maisha yake in general ambayo hayakuwa ni maisha ambayo wayahudi wengi walitarajia masiah ayaishi.
Maisha ya Yesu na kazi zake ziliharibu ulaji wa watumishi wanafiki waliojiita makuhani maana aliwapoteza kabisa hadi wakakosa mvuto ktk kazi zao za dini, hivyo uamuzi waliouchukua ni kumshtaki japo mashtaka yao yalikosolewa hata na hakimu alipowaambia wazi kuwa haoni kosa la Yesu.

Kwa kutumiwa na shetani hao wanafiki walikaza shingo wakisema ASULUBIWE!
Kama wewe ni mlokole jamii iliyokuzunguka ina picha ya lifestyle ambalo jamii inategemea kukuona ukiishi.
Katika jamii kuna wakweli na kuna wanafiki.

Wanafiki siku zote hukurupuka kwa kubwabwaja maneno hovyo.

Wasio wanafiki hutulia na ni washauri wazuri ambapo humfuata mhusika ili kuujua ukweli.

Jifunze kwa farisayo Nikodemo aliyemwendea Yesu usiku ili ajue ukweli kuhusu Yesu Kristo ni nani hasa. Na aliujua ukweli. (unaweza kusoma habari za Nikodemo na Yesu ktk injili ya Yohana sura yote ya tatu.
Sasa assume unaongozana na malaya, walevu na wavuta bangi hata ukisema unawahubiri bado wengi watatia shaka. Unakumbuka kilichotokea kwa goodluck gosbert na fiesta
Hao watia shaka ndio watenda dhambi waliojificha katika ulokole. Mtume Paulo aliwaita kuwa ni wanafiki (hata mtume Petro aliwahi kuwa mnafiki ila alikemewa na Mtume Paulo akatubu 😂)

Tambua huu ukweli YESU KRISTO NI YEYE YULE JANA LEO NA HATA MILELE.
 
Vyanzo vyako vinasema kwamba kuna Yehoshua wangapi walizaliwa na mariam??
Mariam au Miriam kwa lugha ya Hebrew ni jina la ukoo Hivyo kuna maelfu ya Yehoshua waliozaliwa na miriam au maryam
Wangapi walikuwa na wanafunzi 12?kwa majina husika?
Ukizungumzia kuhusu Kuwa na wanafunzi 12 kuna mystical kibao zina walimu wanaofanana na yesu kila kitu Go and read them..

Nenda kasome kuhusu Horus ,Krishna,ISIS na wengine kabla sijakupa hao wayahudi
Wangapi walikuwa walikuwa na uwezi wa kufanya miujiza??
Kuna Yehoshua(Jesus) Ben Ananias huyu maarufu sana kama wewe umesoma Dini vizuri pia utampata mwingine Simon bar Kokhba (ambaye kuna baadhi ya wazayuni wanasema ndiyo Masihi wao)
Theudas , Yehoshua (Jesus) Ben Damneus..

kifupi mkuu WKo wengi natamani hata kuwataja sote lakini kasome ili nawe uwe na maarifa ya kuwajua..
 
Imani zipi ambazo nimejiwekea?

Kusema namuamini Yesu?

Umekariri Biblia unajiona wewe ndo Mtakatifu sasa..

Kuuona ufalme wa Mungu sio kwa kukariri neno bali neno kukaa ndani yako na kwa kumwamini Yesu...

Ikiwa ungekuwa unamwamini Yesu, usingekuwa unapingana na wanaomkiri yeye bali ungepingana na wale wasio mkiri...

Wewe ni Mpinga Kristo, hata hivyo huamini hata walioandika neno lake...

2Mambo nyakati 20:20
Neno linasema, waaminini Manabii mtafanikiwa niaminini mimi mtathibitika..
Hahaha haya naona umeshindwa kuwa mvumilivu kuhusu michango na kujibu kwa hoja
Asante
 
Mariam au Miriam kwa lugha ya Hebrew ni jina la ukoo Hivyo kuna maelfu ya Yehoshua waliozaliwa na miriam au maryam

Ukizungumzia kuhusu Kuwa na wanafunzi 12 kuna mystical kibao zina walimu wanaofanana na yesu kila kitu Go and read them..

Nenda kasome kuhusu Horus ,Krishna,ISIS na wengine kabla sijakupa hao wayahudi

Kuna Yehoshua(Jesus) Ben Ananias huyu maarufu sana kama wewe umesoma Dini vizuri pia utampata mwingine Simon bar Kokhba (ambaye kuna baadhi ya wazayuni wanasema ndiyo Masihi wao)
Theudas , Yehoshua (Jesus) Ben Damneus..

kifupi mkuu WKo wengi natamani hata kuwataja sote lakini kasome ili nawe uwe na maarifa ya kuwajua..
Mkuu watu wengi jambo hili hawalijui la kuna story kibao zinazofanana na Yesu. Hata ukisoma story ya Krishna inafanana sana na yesu na hao uliowataja na ni za kale zaidi.
 
Hahaha haya naona umeshindwa kuwa mvumilivu kuhusu michango na kujibu kwa hoja
Asante
Hatushindani kwa hoja kwa Yesu..

Ila tunamshinda Shetani ...

Tukishamshinda shetani basi ufalme wa Mungu ni wetu..

Tumia nguvu za Roho Mtakatifu kusoma neno sio nguvu za elimu yako ya darasani...

Utasoma vitabu vyote, Ila Yesu hutamjua maana Yesu ni Roho..
 
Back
Top Bottom