Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Ukurupukaji wako upo hivi....Nilichosema ni kuwa watu waliokuwa wamemzunguka na lifestyle lake lilikuwa tofauti na lile ambalo jamii ya kipindi kile ilivyokuwa inaamini mtu kama masiah anapaswa kuwa hivi.
Imetuletea mfano wa kahaba, watu wenye dhambi kukaa pamoja na Yesu hadi watu (wayahudi wanafiki) wakawa wanamhukumu kwa hali hiyo.
Hukupitia na kuambatanisha vifungu vyovyote yenye kukazia mtazamo wako wa kiukurupukaji.
Hujapitia mambo mazuri aliyoyafanya Yesu Kristo kwa kuponya wagonjwa, kufufua wafu, kuyapelekea moto mapepo, kulisha na kunywesha watu wenye njaa, kuwasamehe wenye dhambi nk nk.
Soma Biblia kwa kutafakari utamjua Yesu ni nani na alikuja duniani kufanya nini.