Story ya Yesu ni Ya AD story ya Krishna ni ya 500BC
Hapana,huu ni muendelezo pia wa madai yako yanayoongozwa na hisia zaidi.Mkee Twende polepole na ningeomba uww na Religion Critic Torelace naona naona your patient rate inashuka samahani lakini mkuu tupo kwenye kuelimishna...
Ewaaaaaa,ndio maana nikakwambia mtaje Yehoshua mmoja aliyezaliwa na mariam bikira,na baba wa kufikia fundi selemala.akatenda miujiza katika umri mdogo kabisa.Ngoja Twende polepole...
Jina Miriam (Hebrew) au Mariam (Arabic version) au Mary (English version)
Ni jina lenye trace mpaka kwa nabii mke Miriam miaka 4000-3500 Iliyopita Limeitwa na wayahudi wengi sana..
So Mimi kusema kuna Yehoshua wengi sana waliozaliwa na Mama Aliyeitwa Miriam its mater of simple algorism tu...
Yehoshua (Hebrew) au yoshua (Kwa kiaramu) Halikuwa Jina Special sana miongoni mwa wayahudi na liliitwa saana Wakiwemo kina Yeshoshua Bin Nun, Yehoshua Bin sira na wengine wengi...
Krishna alileta ujumbe upi kutoka kwa Mungu,umeandikwa kwenye kitabu kipi ktk biblia??Kuhusu watu wenye ufanano Wa maisha na Ujumbe Walioleta wa kwanza kabisa me ningekutajia Krishna na yesu kabla ya kwenda kwahao wengine ....
Ujumbe kama wa Yesu yeyote aanweza kuuleta hata baada ya Yesu,je umetoka wapi??Kitabu cha baghavad gita Kimekuwa kitabu cha mwaka 500Bc na kinaeleza exactly kama Ujumbe aliouleta Yesu wa aliyezaliwa 6 BC na kufafiki 27 AD..
hili wala sio tatizo,ndio sababu nikakwambia hatandani ya bible yenyewe yapo matukio yaliyosimama kutabiri maisha na ukombozi wa Yesu.Huu ni mfanano wa HORUS NA WENGINE NIKIWATJA KWENYE MYSTICISM ZINGINE ZA ZAMANI KULIKO YESU
View attachment 2798786
View attachment 2798787
View attachment 2798789
Hahahah unajua Hata AD ilikuwa inveted lini?Yesu ndio mwenye AD yake,ndio kipimo cha wakati.
Unapoamua kumfananisha na krishna lazima kwanza utambue hilo,swala la ufanano wa historia yao sio issue kabisa.
Huu uzi masela wachungaji wakae pembeniKuna wakati majIbu ya Yesu usipokuwa makini unaweza kuhisi jamaa alikuwa michosho sana, lakini alikuwa sahihi Mafarisayo walikuwa na maswali ya kiwaki sana ya kinafiki, kumjaribu na kejeli
Yesu ni mtu mmoja alikuwa mwana sana ila alikuwa straightforward
Hapana,huu ni muendelezo pia wa madai yako yanayoongozwa na hisia zaidi.
Halafu usichanganye kiswahili na kiingereza,chagua lugha moja itapendeza zaidi katika mjadala.
Krisha hawezi kuwa kwenye biblia Krishna yuko kwenye mysticism zingine kabisa ambazo zina umri mrefu zaidi ya biblia Huenda zaidi ya umri wa Dunia iliyoandikwa kwenye biblia (Umri wa Dunia kwenye Biblia ni Miaka 6004 mpaka sasa)Krishna alileta ujumbe upi kutoka kwa Mungu,umeandikwa kwenye kitabu kipi ktk biblia??
Huo ulikuja kabla ya kristo so we huoni kuna mashaka. Hapo..Tena far beforeUjumbe kama wa Yesu yeyote aanweza kuuleta hata baada ya Yesu,je umetoka wapi??
sidhani kama ina uhusiano wowote na hesabu ya miaka AD BC.Hahahah unajua Hata AD ilikuwa inveted lini?
Yesu kazaliwa 6 BCππYesu kazaliwa 6 BC na mwaka ulienda mpaka 1BC kwanini haukubadilika hiyo 6 BC na kuwa mwaka mwingine?
Hii nilisoma form 1 history.Ok Ngoja nikupe elimu kidogo...
Neno AD ni kifupi cha neno Anno Domino
Japo kirefu chake Jumla kilikuwa ni Anno Domini Nostri Jesu Christi.... Ambalo lina maana ya mwaka wa bwana wetu yesu kristu
Cha msingi unatakiwa kujua kwamba kipimo cha hesabu ya miaka mpaka ni ujio wa Yesu.SAsa mkuu system hii ilianzishwa mwaka 525 na Dionysius Exiguus lakini haikuwahu kutumika kwa ukubwa huo mpaka karne ya 9...yaani Mwkaa 1000s
Wala usiogope hata science na mahesabu husika vimeanza kuwa serious juzi tu.Kwahiyo AD na BC.....Hazina muda mrefu wa Kutumika zaidi ya AH ya waislamu
Tuzungumzie BC na ADhilo linatumiwa Baadhi ya Mabara na Kwa nchi zenye mcqhanganyiko na wakristo au wanaotumia Gregory calendar ila kwa Wengine wanatumia
BCE na CE..(Before Common Era na In Common era)
Hamna shida,mimi nitatumia standard rate BC au ADna hiyo ni njia ya kudetermine date tu wala isikuoe shida basi ntatumia BCE na CE
Niende kwa krishna aliyeishi mwaka gani kutoka sasa??namba na rejea tafadhali.kwakuwa nishakupa historia hiyo sasa naenda kwa hao wengine
Wala sio tatizo ni kipaumbele chako tu.sio kwamba krishna kafnana na Yesu....ila Yesu ndo kafanana na Krishna ...
Kuna uwezekano,haya ni madai.krishna ni wazamani sana 500BCE kuliko yesu So kuna uwezekani story za yesu wamekopy kwa krishna na wakazichuja...
Vipi hizi zote mwandishi ni nani??Sorry Mkuu kwa kuchanganya kwangu lugha najitahidi sana kutokufanya hivyo ila nashindwa labda kwa sababu ni muda mrefu sipo nchini huenda kupata watu wanaoongea kiswahili ni wachache..
Ila najitahidi sana Asante...
Krisha hawezi kuwa kwenye biblia Krishna yuko kwenye mysticism zingine kabisa ambazo zina umri mrefu zaidi ya biblia Huenda zaidi ya umri wa Dunia iliyoandikwa kwenye biblia (Umri wa Dunia kwenye Biblia ni Miaka 6004 mpaka sasa)
Ila kwenye mysticism ya Hinduism na budhism zina umri mrefu sana zaidi ya miaka 100k
Kabisa bible haikuandika kila kitu hata cha Yesu mwenyewe achia mbali watu wengine.Krishna alikuwa akimuelezea Arjun vitu vingi pamoja na wengine, Yote yameandikwa Katika bhagavad Gita na sio Biblia mwaka 500 BCE
Au kama upenavyo 500 kabla ya Kristo..
Sio kila kitu kimeandikwa kwenye biblia...
Na ndo maana kuna Book of mormones pia
Mashaka niyatoe wapi mkuu??Huo ulikuja kabla ya kristo so we huoni kuna mashaka. Hapo..Tena far before
Yesu na Mohammed wote ni wale wale tuUkisoma na kutafakari kwa umakini kuhusu Yesu unagundua kwamba alikuwa ni wale watu ambao jamii inawachukulia kwamba wamepinda yani outcast.
Hata wale wanafunzi wake aliokuwa akiongozana nao jamii inaonekaan ilikuwa inawachukulia kama watu wasiokuwa na maadili waliopotoka yani waliopinda.
Ndio maana kuna sehemu hadi anaulizwa, inakuaje anakula na kunywa na wenye dhambi? Hii bila shaka haina tofauti na sasa unamuuliza, we jamaa unaonekana ni mwenye ehshima inakuaje unashinda na wazinzi na walevi?
Hebu fikiria mtu unayemheshimu sana anakuja kahaba analia miguuni mwake anampangusa kwa nywele anambusu miguu, assume huyo jamaa anayefanyiwa hivyo ni hakimu na huyo kahaba ana kesi. Halafu baada ya kufanyiwa hivyo hakimu anamwambia kesi yako utashinda!
Bila shaka utasema hakimu kasema hayo kwa sababu kahaba kamtamanisha kwa kumshika shika na kumbusu miguu huenda watamalizana huko mebeleni. Hiki ndicho kilichotokea kwa yule kahaba na bila shaka wale jamaa walisema moyoni huyu jamaa amelegea kwa kahaba atakuwa msela tu anatuigizia.
Ukichukulia hali hii kwakweli hata angekuja leo hapa TZ bado watu wangemkataa. Wangemwona msela Fulani hivi mwenye group la watu waliopinda. Yani kipindi anajiita kwamba yeye ni mfalme wa Wayahudi, huenda wale viongozi walikuwa wanamchukulia kama Ney wa Mitego anavyojiita raisi wa masela au Madee anayejiita rais wa Manzese hawakuwa wakimchukulia serious kihivyo mpaka alipoanza wazingua.
Kama akirudi kwa style hiyo hiyo sijui ni wangapi wataamini kuwa ni Yesu.
sidhani kama ina uhusiano wowote na hesabu ya miaka AD BC.
Naelewa ndo maana nimeandika so Ulitaka niandike BCE..Yesu kazaliwa 6 BCππ
Unaelewa hata ulichokiandika??
Tuzungumzie BC na AD
Hamna shida,mimi nitatumia standard rate BC au AD
Kama kweli unajua huwezi kusema madai kwa dini ambayo ina zaidi ya MIAKA 100K Kulinganisha na dini ambayo haina hta miaka 3000..Kuna uwezekano,haya ni madai.
India walikuwa na maendeleo ya Technolojia Tangu zamani hivyo vitabu vingi wanavyo vinaimri mrefu sana na hicho kitabu kimeandikwa na wahusika kwa kupass sequences Kizazi mpaka kizazi mwandishi akiwa ni ArjunVipi hizi zote mwandishi ni nani??
Mpaka umeifanya kuwa rejea ya hakika kwako tofauti na zile zilizoandikwa na mashuhuda juu ya Yesu miaka kadhaa baada ya kuondoka kwake??
Afadhali umenisaidia Wote wale waleYesu na Mohammed wote ni wale wale tu
Sasa hii ina uhusiano gani na kipimo cha miaka kuanza kuhesabiwa alipozaliwa Yesu!!!Naelewa ndo maana nimeandika so Ulitaka niandike BCE..
unajua hata kwanini Milenium zilikuwa zinabadili Date code..
Unajua mwaka 2000 uliitwaje kama tungekuwa tunafata bado codding era?
(Ungeitwa Y2K) Au hilo nalo hufahamu ?
Coding era ilikuwa system ya Tangu zaman na ndo maana hta kwenye Biblia yako utasikia wanasema zama za Mfalme dario ( ina maana Dario Era)
Kwahyo mimi sishangai Rumi Kutumia Neno BC na AD kwa sababu Ilikuwa ni Era ambayo kila mtu anazungumza kuhusu Yesu..
Usiseme bara la ASIA,taja nchi baadhi.Hakuna standard rate of Dating inategemea na uko wapi ikiwa bara la ASIA hawatumii BC au AD
Sasa wewe unapata wasi wasi na dini yenye miaka chini ya elfu 3!!!nguvu ya kuamini story za miaka zaidi ya elfu 5 unazipata wapi!!!!πππKama kweli unajua huwezi kusema madai kwa dini ambayo ina zaidi ya MIAKA 100K Kulinganisha na dini ambayo haina hta miaka 3000..
Nimeshajibu kuwa Yesu alikuwa Story ya Town kwenye miaka kuanzia 300 mpaka miaka 900 so walitrace alizaliwa lini wakapaga then ile Era roman wakaipa jina lakeSasa hii ina uhusiano gani na kipimo cha miaka kuanza kuhesabiwa alipozaliwa Yesu!!!
Nitajie nchi ya Asia wanayotumia AD na BCEUsiseme bara la ASIA,taja nchi baadhi.
Kama ingekuwa hivyo kwanini sijakuona ukiamni kuhusu story za Muendelezo wa Dini yako ya kikristo ya Mormones..Sasa wewe unapata wasi wasi na dini yenye miaka chini ya elfu 3!!!nguvu ya kuamini story za miaka zaidi ya elfu 5 unazipata wapi!!!!πππ
Lakini wewe umekataa taarifa za bible kwamba hakuandika Yesu wala aliyeonana na YesuππIndia walikuwa na maendeleo ya Technolojia Tangu zamani hivyo vitabu vingi wanavyo vinaimri mrefu sana na hicho kitabu kimeandikwa na wahusika kwa kupass sequences Kizazi mpaka kizazi mwandishi akiwa ni Arjun
Tofauti yangu na wewe ni moja,nikisoma nitasoma nielewe ili nikifate sio kutangaza kwama nimekisoma.Kajaribu kusoma bhagavad gita Na historia yake...
Sijui ni undani upi???Natumia vitabu vyote iwe vya greek mysticism na hata vya Christian mysticism na hata viwe ni Islam mysticism nilichukua muda mrefu kusoma phylosophy kwa undani
Kwahiyo umenaki hewani kama bendera!!!!nini lengo lako kusoma hivyo vitabu!?Hakuna rejea ya Hakika hata moja hata phylosophy yenyewe not even science (maana hata science huchage kwa kila wakati)
Kusoma sana ni hatari,kama kichwa chako sio imara,ndio unaona wewe hapa hujui ushike jambo gani baada ya kusoma sana.Nakupa ushauri mmoja Bado unahitaji kusoma sana kuna vitu vingi vinapungua kwako
Baada ya kusoma nimekuwa huru sana nimegundua vingi sana hata hivyo Phylosophy na Dini yaani Theology niliisoma miaka mingi sna ilopita kama 20 hivi sema nilikataa kuwa mtumwa baada ya kuwa mchungaji kwa mda mchache...Lakini wewe umekataa taarifa za bible kwamba hakuandika Yesu wala aliyeonana na Yesuππ
Kuhusu maendeleo sina shaka,hata hao mafarao hapo misri wamepiga hatua muda mrefu sana.
Tofauti yangu na wewe ni moja,nikisoma nitasoma nielewe ili nikifate sio kutangaza kwama nimekisoma.
Sijui ni undani upi???
Kwahiyo umenaki hewani kama bendera!!!!nini lengo lako kusoma hivyo vitabu!?
Kusoma sana ni hatari,kama kichwa chako sio imara,ndio unaona wewe hapa hujui ushike jambo gani baada ya kusoma sana.
Soma kitu kwa malengo
Ndio maana nikasema Yesu ndio mwenye BC na AD yake au ilifanywa rejea ya mtemi isike???Nimeshajibu kuwa Yesu alikuwa Story ya Town kwenye miaka kuanzia 300 mpaka miaka 900 so walitrace alizaliwa lini wakapaga then ile Era roman wakaipa jina lake
Nchi zote ASIA wanatumia huu mfumo,leo dunia nzima inahesabu 2023 au hutaki???Nitajie nchi ya Asia wanayotumia AD na BCE
Ukristo una madhehehu mengi tu,uislam si ktk madhehebu hayo,wapo wanaoamini huo mwendelezo hao mormones.Kama ingekuwa hivyo kwanini sijakuona ukiamni kuhusu story za Muendelezo wa Dini yako ya kikristo ya Mormones..
Au kwanini huamini uislmu ambao una miaka chini ya 1500
Sasa mtafute Roho Mtakatifu zaidi...Baada ya kusoma nimekuwa huru sana nimegundua vingi sana hata hivyo Phylosophy na Dini yaani Theology niliisoma miaka mingi sna ilopita kama 20 hivi sema nilikataa kuwa mtumwa baada ya kuwa mchungaji kwa mda mchache...
Na baadaye nilisoma elimu zingine na nimekuwa huru kutokana na akili yangu kupanuka na Kuwa huru nje ya box (Raha sana )
Una uhakika uko huru na akili yako imepanuka???Baada ya kusoma nimekuwa huru sana nimegundua vingi sana hata hivyo Phylosophy na Dini yaani Theology niliisoma miaka mingi sna ilopita kama 20 hivi sema nilikataa kuwa mtumwa baada ya kuwa mchungaji kwa mda mchache...
Na baadaye nilisoma elimu zingine na nimekuwa huru kutokana na akili yangu kupanuka na Kuwa huru nje ya box (Raha sana )