scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
mnalazimisha kinana aeleweke vibaya kinana hakusema traffic watoke barabarani tafadhali,mna akili gani nyie?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo sasa nia itakuwa ni kukusanya mapato.Umewahi kujiuliza ni kwa nini tunajaza matrafiki kibao barabarani badala ya kujaza CCTV camera kila kona zenye uwezo wa kurekodi madereva wazembe wote barabarani na kupost faini zao kwa mtandao?? Ukifika kwenye check points unatambiwa faini yako na deadline ya kulipa, na usipolipa kwa muda inakula kwako, je si tungekuwa mbali?
Wafunge speed gavana.Salama wandugu
Nimefuatiria wiki mbili mfururizo ajali ni nyingi zinatokea,
Kuna haja ya kuwarudisha hawa jamaa matraffic barabarani,
Kinana tengua kauli yako Barabara zimekuwa bucha zinatisha.
Nadhani jambo la muhimu ni kukarabati barabara zetu na sio kuwarudisha traffic barabaraniSalama wandugu
Nimefuatiria wiki mbili mfururizo ajali ni nyingi zinatokea,
Kuna haja ya kuwarudisha hawa jamaa matraffic barabarani,
Kinana tengua kauli yako Barabara zimekuwa bucha zinatisha.
Warudi kufanya nini?labda uniambie wapelekwe maeneo hatarishi yaani mfano kwenye milima yote ikiwemo hiyo hatarishi ya mbeya,Kitonga,Salanda,Tunduru huko,Sekenke,Nyang'oro nk...ikibidi gari kubwa zipande mlima kwa muda maalum utakaopangwaSalama wandugu,
Nimefuatiria wiki mbili mfururizo ajali ni nyingi zinatokea.
Kuna haja ya kuwarudisha hawa jamaa matraffic barabarani.
Kinana tengua kauli yako Barabara zimekuwa bucha zinatisha.
MakinikiA wewe Ni Askari uliyehamishwa kutoka barabarani Sasa njaa imezidi utataka urudishwe utukamue kwa rushwa. Wewe Ni mkuria.Salama wandugu,
Nimefuatiria wiki mbili mfururizo ajali ni nyingi zinatokea.
Kuna haja ya kuwarudisha hawa jamaa matraffic barabarani.
Kinana tengua kauli yako Barabara zimekuwa bucha zinatisha.
SHERIA ZOTE zinahitaji usimamizi wa utekelezaji wa sheria husika. Na kazi ya kusimamia utekelezaji wa sheria za usalama barabarani ni kazi ya askari wa usalama barabarani.Salama wandugu,
Nimefuatiria wiki mbili mfururizo ajali ni nyingi zinatokea.
Kuna haja ya kuwarudisha hawa jamaa matraffic barabarani.
Kinana tengua kauli yako Barabara zimekuwa bucha zinatisha.