Tathmini fupi baada ya tamko la Mzee Kinana kuhusu kero ya Polisi wa Usalama Barabarani

Trafiki wanaombea ajali zitokee kwa kasi ya ajabu
Najiauliza hivi hakuna regulatory board kwa akili ya kukagua ufanisi wa waajiriwa wa serikali? Maana trafiki ni kama wamesusa
Wapi huko waliposusa? Trafiko wapo barabarani Kama kawaida wanaendelea na majukumu yao
 
Salama wandugu,

Nimefuatiria wiki mbili mfululizo ajali ni nyingi zinatokea.

Kuna haja ya kuwarudisha hawa jamaa matraffic barabarani.

Kinana tengua kauli yako Barabara zimekuwa bucha zinatisha.
Jibu zuri anaweza kuwa nalo comred Kinana.
 
Salama wandugu,

Nimefuatiria wiki mbili mfululizo ajali ni nyingi zinatokea.

Kuna haja ya kuwarudisha hawa jamaa matraffic barabarani.

Kinana tengua kauli yako Barabara zimekuwa bucha zinatisha.
Trafiki wameondolewa? Unaota? Mi kila kona napishana nao, ni mkoa gani huo wameondolewa?
 
Kipindi cha utawala wa hayati Magufuli ajali za barabarani zilipungua Sana ,hii ilitokana na askari kwa ujumla ,hasa askari wa usalama barabarani kuwachapa faini za kutosha madereva wazembe ,ikapelekea nidhamu kurejea ,kwani ambae hakutiii alijikuta anafanyia hasara tu,hivyo maisha ya watanzania yaliokolewa kiasi flani.

Nilikusikia ukiwa mahala flani nchini kwenye ziara zako za kichama ukisema ya kwamba tochi zimezidi barabarani,ziondolewe na hiyo iliendana na kuwapunguza barabarani eti ni wasumbufu.

Kauli hii iliwapendeza wamiliki wa vyombo vya usafiri na madereva wazembe,ona kinachotokea Kwa sasa ,ni kuuwawa kwa watu wasio na hatia kadhalika kuziletea familia za watanzania umaskini mkubwa.

Ifike mahala pumzikeni waje na wengine ,fikra na mawazo mbadala Kwa taifa letu,hamna jipya nyie Kwa sasa
 
trafiki badala ya kuvizia waelimishe, kwanini wanapokuwa na kamera wanajificha badala ya kukaa hadharani ili watu waache kukimbiza zaidi ya kipimo?
 
trafiki badala ya kuvizia waelimishe, kwanini wanapokuwa na kamera wanajificha badala ya kukaa hadharani ili watu waache kukimbiza zaidi ya kipimo?

Hili la kuvizia kama serikali wanaliona halali, washauriwe wanaolinda mabenki kujificha Ili kuwavutia majambazi mtegoni.
 
Hili la kuvizia kama serikali wanaliona halali, washauriwe wanaolinda mabenki kujificha Ili kuwavutia majambazi mtegoni.
STK,ST ,E STL wanapita na kuwaona hawa watu, kuan watu kwa maksudi wanamhujumu SAMIA, hili jambo si la kufumbia macho, limfikie Raisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…