Tathmini fupi mechi ya Young Africans vs Singida Black Stars

Lini? πŸ˜‚
Maana akina Okwi na Mafisango walipiga mtu 5-0
Kipindi hicho Rais wa nchi alikuwa Samia?
Sisi tunaongelea mambo yaliyotokea kwenye uongozi wa Samia
 
Kwaiyo Leo ndio kafunga goli 9 zote? Kiwewe cha miguu lakini keshakuweka sio mara Moja Wala mara mbili habari zake unazo
Hajawai kuifunga Simba akiwa na utopolo labda na Azam..kule alikua striker kweli tena magoli ya uhakika toka aje uto ameishiwa uroto wa miguu...vi goli sasa anatengewa ale....hahahahaa
Ila Kibu Dee ndo atawakanda sfr hii tena kama kawaida yake...
 
Kipindi hicho Rais wa nchi alikuwa Samia?
Sisi tunaongelea mambo yaliyotokea kwenye uongozi wa Samia
Kwani Raisi na kufungwa tano kunauhusiano gani..rekodi si zipo??
Au unataka ile ya 6 kwa 0
 
Kipindi hicho Rais wa nchi alikuwa Samia?
Sisi tunaongelea mambo yaliyotokea kwenye uongozi wa Samia
Kwa hiyo bado mnasubiri droo ya robo fainali awamu hii ya Mama? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa hiyo bado mnasubiri droo ya robo fainali awamu hii ya Mama? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tuliishia group stage CAFCL kwenye mashindano ambayo 5imba haikutia mguu
 
Mstari wa mwisho umejidanganya..Simba bingwa.
 
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…