sio mchezo.. kkoo panaweza kutembelewa na watu 5,000 kila siku ?Kariakoo inameza watu si mchezo aisee, gari zote zinazoelekea kariakoo asubuhi ni nyomi na jioni nyomi.
Kwa population ngumu sana. Eneo dogo la square km 1,600 na population ya Mil 8? Unategemea muujiza gani hapa mkuu. Yaani pop density ya 3,100 people per km sqr.Sio too late, bali itahitajija gharama kubwa sana na akili kubwa mno kurekebisha.
Study inasema 200,000 kwa siku.sio mchezo.. kkoo panaweza kutembelewa na watu 5,000 kila siku ?
laki 2 mkuu ni wengi sio mchezo, ni vijiji 40 🙆♂️Study inasema 200,000 kwa siku.
mbona hao ni wachache sana hao labda makumbusho kariakoo zaidi ya watu 150k kwa siku.sio mchezo.. kkoo panaweza kutembelewa na watu 5,000 kila siku ?
Acha vituko mkuu, watu 5000 ni wachache sana au labda unasema wakazi wa pale ambao pia nadhani wamezidi hiyo idadi.sio mchezo.. kkoo panaweza kutembelewa na watu 5,000 kila siku ?
Mkuu waka sio Gharama!Sio too late, bali itahitajija gharama kubwa sana na akili kubwa mno kurekebisha.
Yaani kama Pilau, juu moto chini motoKariakoo inameza watu si mchezo aisee, gari zote zinazoelekea kariakoo asubuhi ni nyomi na jioni nyomi.
Dar es Salaam, asubuhi karibia theluthi mbili ya wakazi wote wa mji wanaofanya kazi wanaenda Kariakoo, Posta na Ubongo katika maofisi, kwenye biashara na pia kufuata huduma mbalimbali za kiofisi, halafu jioni tena karibia watu wote hao wanageuza kurudi makwao kwa pamoja kama kumbi kumbi.
Kwa jinsi hii ukichanganya na matatizo mengine ya kukosa ufanisi katika miondombinu ya barabara za kawaida na mwendokasi jiji lazima likabiliwe na matatizo makubwa ya usafiri.
5000 cha Mtoto, labda kama wewe ni mgeni na Kariakoo.sio mchezo.. kkoo panaweza kutembelewa na watu 5,000 kila siku ?
Sasa ninyi wa Daslam mjengewa flyover, barabara njia nne, mwenda Kasi, mabasi ya kila Aina, n.k, n.k lakini bado mnaa shida ya usafiri.Sio too late, bali itahitajija gharama kubwa sana na akili kubwa mno kurekebisha.