Tatizo kubwa la usafiri Dar inawezekana ni idadi kubwa ya watu na jiografia ya mji ilivyokaa

Tatizo kubwa la usafiri Dar inawezekana ni idadi kubwa ya watu na jiografia ya mji ilivyokaa

Mkuu changamoto za msongamano ziko majiji mengi ya Afrika ya Mashariki lakini hebu angalia wenzetu Kenya wanavyopambana nayo sasa hivi City Centre Jomo Kenyatta unateleza tu juu kwa juu.
 
Back
Top Bottom