Tatizo kubwa siyo "Nyongeza ndogo" ya mshahara, tatizo kubwa kukatwa mpaka na vyama vya wafanyakazi (Rais Samia ondoa makato ya lazima ya vyama)

MoseKing

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Posts
4,928
Reaction score
8,976
Makato ya Lazima ya Vyama vya wafanyakazi kwa jina la Ada ya UWAKALA ifutwe.

Kujiunga na Vyama vya wafanyakazi libaki kuwa Jambo la hiari.

Hii ni DHULMA.

Wabunge Wana mishahara ya 3.8M kwanini kiasi kinachoongezwa hawaweki kwenye BASIC kwasababu wanajua kitakatwa.

Mtumishi hatakuja kupata Nyongeza nzuri Kama Nyongeza hiyo hiyo kila mtu ANAISUBIRI.

Kuanzia:
  • Vyama vya wafanyakazi
  • PAYE
  • NHIF
  • PSSF.
Ukiachana na hayo Makato mengine yote ya serikali, Makato ya Lazima ya Vyama vya LAZIMA yaondolewe hasa kwa wale ambao siyo wanachama.

Na Kama Kuna ULAZIMA wa kukata ADA YA UWAKALA, basi kiwango KIWE FLAT RATE na SIYO kwa ASILIMIA Kama ilivyo sasa.
 
Kuna mtu unaweza kuchangia hoja kwenye jambo unakuta mkutano mzima unazubaa.

Makato mengine yapo kisheria.
 
Inasikitisha mno..
9e51e1cd812a52d0d840ee20145f7e93.jpg
 
Hayo makato hayana shida kama yanafanya kazi yake kwa 100% kwa anayekatwa.
NHIF isichague magonjwa wala dawa wala kituo cha afya.
PSSF inanipatia mpunga wangu fasta napo staafu.
PAYE naiona inavyotumika vizuri kwenye huduma za kijamii.
Target yangu Ni Makato ya Lazima ya Vyama vya wafanyakazi.

Elewa kwanza
 
Labda itakuwa dunia yako tu
Vyama vya wafanyakazi ndio vinavyofikisha vilio vya wafanyakazi kwa waajiri
Sasa ukiviondoa mwajiri atapata maoni humu jamii forum??
Vyama vile vipo kisheria ingawa ni wazo la msingi kupunguza fee zao kutoka 2% hadi 1%
Ila vyama ni vya muhimu sana unaweza usielewe ila huo ndio ukweli
 
Najua ninyi Ni wanufaika wa Makato ya Vyama vya wafanyakazi.

Elwweni kuwa Watumishi hawataki, msiwalazimishe.

Hakuna sababu ya kulazimisha kujitetea mtu ambaye HATAKI.
 
Hauna akili, makato hayo lazima yawepo na yapo kisheria. Akili mtu wangu
Walimu mna shida gani kwani?
 
Makato ya Lazima ya Vyama vya wafanyakazi kwa jina la Ada ya UWAKALA ifutwe.

Kujiunga na Vyama vya wafanyakazi libaki kuwa Jambo la hiari.

Hii ni DHULMA.

Wabunge Wana mishahara ya 3.8M kwanini kiasi kinachoongezwa hawaweki kwenye BASIC kwasababu wanajua kitakatwa.

Mtumishi hatakuja kupata Nyongeza nzuri Kama Nyongeza hiyo hiyo kila mtu ANAISUBIRI.

Kuanzia:
  • Vyama vya wafanyakazi
  • PAYE
  • NHIF
  • PSSF.
Ukiachana na hayo Makato mengine yote ya serikali, Makato ya Lazima ya Vyama vya LAZIMA yaondolewe hasa kwa wale ambao siyo wanachama.

Na Kama Kuna ULAZIMA wa kukata ADA YA UWAKALA, basi kiwango KIWE FLAT RATE na SIYO kwa ASILIMIA Kama ilivyo sasa.
Kujiunga na chama cha wafanyakazi ni hiyari Pia muajiri huwa hakati makato ya ada au mikopo mpaka umuandikie barua kumuagiza akukate na kupeleka kunakotakiwa. Hivyo Rais hahusiki na makato yanayopelekwa kwenye vyama vya wafanyakazi; wanaokatwa walijikaanga kwa mafuta yao wenyewe kwa kumuagiza muajiri wao awakate na kuwasilisha chama cha wafanyakazi.

Tunaojitambua mbona hatukatwi, kwa sababu tulikataa toka awali kmzawadia adui na.mba moja wa wafanyakazi pesa kwa,mgongo wa ada.
 
Ni vizuri kutokujua.

Laki I Kama hujui halafu UNAJIFANYA UNAJUA wee Ni MPUMBAVU na BOLIZOZO.
 
Wafanyakazi vifuteni hivyo vyama vya wafanyakzi, vipo kwa ajili ya kuneemesha matumbo yao na familia zao.
 
Kujiunga na chama cha wafanyakazi ni hiyari Pia muajiri huwa hakati makato ya ada au mikopo mpaka umuandikie barua kumuagiza akukate na kupeleka kunakotakiwa. Hivyo Rais hahusiki na makato yanayopelekwa kwenye vyama vya wafanyakazi; wanaokatwa walijikaanga kwa mafuta yao wenyewe kwa kumuagiza muajiri wao awakate na kuwasilisha chama cha wafanyakazi.

Tunaojitambua mbona hatukatwi, kwa sababu tulikataa toka awali kmzawadia adui na.mba moja wa wafanyakazi pesa kwa,mgongo wa ada.
Soma hapo labda utaelewa 👇👇👇

======

Mkuu,
Unajua sheria za Tanzania zina loophole nyingi mno. Zinaweza kusema hivi kwenye kipengele fulani halafu kipengele kingine kikaja kupinga kipengele hicho.

Mfano kwenye Act hiyo hiyo ya Ajira ya 2004 kuna kipengele kingine ambacho kinasema mwajiri kwa kukubaliana na chama cha wafanyakazi chenye wanachama ambao ni majority wanaweza kumkata mfanyakazi Union dues hata kama si mwanachama ilimradi anafaidi matunda ya kazi zifanywazo na chama (kama vile negotiations za mshahara....n.k). Makato haya yanaitwa "Agency shop fees" ambayo hayatakiwi kuwa zaidi ya makati ambayo wanakatwa wanachama wengine.

Maana yake ni kuwa hata kama wewe si mwanachama lakini chama kina tawi lake mahali pa kazi ambalo lipo kisheria na limepata majority ya wafanyakazi ambao ni members, basi hata wale wasio wanachama watakatwa kiwango hicho cha fedha ili kulipia huduma zitolewazo na chama, ili mradi malipo hayo yasizidi kiwango ambacho wanakatwa wanachama wengine ambacho ni 2% ya base salary.
 
Back
Top Bottom