MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Labda itakuwa dunia yako tu
Vyama vya wafanyakazi ndio vinavyofikisha vilio vya wafanyakazi kwa waajiri
Sasa ukiviondoa mwajiri atapata maoni humu jamii forum??
Vyama vile vipo kisheria ingawa ni wazo la msingi kupunguza fee zao kutoka 2% hadi 1%
Ila vyama ni vya muhimu sana unaweza usielewe ila huo ndio ukweli
Hoja yako ni msingi kabisa kwani inasikitisha walimu wawili wanakatwa ada ya mwezi kwa viwango tofauti wakati huduma waipatayo kutoka kwenye cwt ni ya aina moja yenye kiwango sawa.Walimu waamke kwani wanaibiwa mchana kweupeVyama vya wafanyakazi wasichukue pesa kwa asilimia bali wachukue kwa kiasi sawa bila kuzingatia asilimia
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app