Tatizo la Corona: Wa kulaumiwa ni Serikali kwa asilimia 100%


Wewe mtu unaongea ukiwa nchi gani!! Unadiriki kusema umethibitiwa, kweli!?? Hii "exponential growth" huioni, ama mwenzetu unaongea ukiwa usingizini, hata habari za takwimu zitolewazo na Wizara kabisa huzijui!!! Wenzako wameona Mloganzila haitoshi, wameichukua na Amani, halafu unasema imethibitiwa!! Kwa usalama wako tu, ondoa hili wazo na chukua hatua...wagonjwa ni wengi mtaani.
 
Kura za kulazimisha na wizi!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa mpumbavu Ni aibu sana Kama kura za kuiba msingepata hata mbunge diwani meya hata mmoja uibiwe kura halafu upate Sasa uchaguzi ujao ndio useme umeibiwa kweli hakuna mbunge hata mmoja mtakao pata hakuna mtanzania mwenye akili atakae wapa kura chadema itapata kura za viwavi vya bavicha tu
 
[emoji51][emoji51][emoji51]
 

Yaani upo sahihi 100% serikali imezembea sana. Mimi hata watu wakifa Tz sioni huruma, kwasababu hata watanzania wenyewe hawajihurumii kabisa. Nilisoma comment zao nyingi wakifanya utani na huu ugonjwa. Mimi nawapongeza Uganda, wameonyesha kujali wananchi. Yaani hata mtu akifa Uganda unajisikia uchungu. Tanzania potelea mbali kabisa, wanachokipata ni uzembe wao. Eti wanaanza kusali, huyu Mungu si wa mzaamzaa. Kwani Mataifa mengine hawamjui? It is too late ni kwa huruma tu ya Mungu ila hali ni mbaya.
 
Dua la kuku. Endelea kulaani mkuu.
 
Huu ni upumbavu, watu walipokuwa wanashauri kuwa fungeni mipaka mliwaona wajinga na ninyi mkajiona werevu na mnajua kila kitu.
Mmeharibu na kutusababishia maafa makubwa

Sasa oooh! Tuombee nchi, mara tusiamame na rais kuiombea nchi.
Mara, muda huu si wa kulaumiana tusambaze elimu.

Upumbavu mtupu,kusambaza elimu wakati adui yumo ndani!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wakifa kwani nani anadhulika? Hizi akili mi za watu kama wewe mkuu. Eti watu wakifa hauna hata huruma! Hooeless kabisa. Afe mama yako pia usiwe na huruma.
 
Mkuu, usisambaze elimu. Achana na jamaa, wewe endelea kuHATE. Inatosha!
 

Wewe acha uongo, Tanzania bara haujadhibitiwa. Subiri uone ongezeko la wagonjwa. Dawa za kuua bacteria 🤣🤣. Ebu tumia akili.
 
Wewe ni mlozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lawama zote kwa Jiwe

Tulipiga kelele sana humu, funga mipaka, funga mipaka, funga mipaka ili tucontain hii hali nchini, kama kawaida yake akawa stubborn.

Sasa Watanzania moto unatuwakia, hali imekuwa tete

Utakwepaje lawama?

Mzee jiuzulu
 
Mmmmh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SABA, walikataa kila ushauri waliopewa na wapinzani badala yake wakawa wana wakejeli. Walioongoza kwa ubishi ni John, mwanae Paulo na Chakubanga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…