Tatizo la kuchukiwa kazini

Tatizo la kuchukiwa kazini

Pray for favor Zaburi 5:12 ikawe juu yako ukavishwe kibali kama ngao😊
 
Ndio ishamkuta sasa hiyo hali unatakiwa umuelekeze aende wapi?
Hapo aachane na mambo ya kwenda kwa wataalamu ajaribu kucheza na Vifaa vyake Vya juu na sio chini na ajaribu kupandisha layer zake.

In short anahitaji apate mtu akae nae amsaidie mambo Kama hayo
 
Hata mimi huwa inanitokea sana,mpaka nishaichukulia poa,ila mim hutokea sehem kuchukiwa na watu wachache sio wote
 
Waswahili wengi au waafrica wanapenda Sana kwenda Kwa waganga na kupiga ramli , anapoona mambo hayaendi anaenda kuogeshwa dawa za Mvuto ,kukubalika n.k

Sasa hizo dawa huwa zikiisha nguvu ule mvuto unakuwa chuki badala ya kupendwa unachukiwa na hizo dawa huwa zinatabia ya kuweka usugu kiasi cha kwamba ikifika muda hata uroge vipi mvuto walk haurudi tena.
Lakini kumbuka mtu anayeenda kwa waganga alianza kupata changamoto kwanza kisha ndio akili yake ikamtuma aende kwa waganga ili kutafuta ufumbuzi,mtu hawezi kukurupuka tu kwenda kwa waganga kabla hajapata tatizo,sasa kwa mtu ambaye bado hajawahi kwenda kwa waganga lakini tayari ana hilo tatizo wewe unadhani chanzo itakuwa ni nini?
 
Lakini kumbuka mtu anayeenda kwa waganga alianza kupata changamoto kwanza kisha ndio akili yake ikamtuma aende kwa waganga ili kutafuta ufumbuzi,mtu hawezi kukurupuka tu kwenda kwa waganga kabla hajapata tatizo,sasa kwa mtu ambaye bado hajawahi kwenda kwa waganga lakini tayari ana hilo tatizo wewe unadhani chanzo itakuwa ni nini?
Thread 'Upungufu wa kinga za kiroho' Upungufu wa kinga za kiroho
 
Hapo aachane na mambo ya kwenda kwa wataalamu ajaribu kucheza na Vifaa vyake Vya juu na sio chini na ajaribu kupandisha layer zake.

In short anahitaji apate mtu akae nae amsaidie mambo Kama hayo
Atafute mtu wa aina gani?weka wazi yaani aende kwa sheikh,au kwa padri?au kanisani?au msikitini?au kama unashauri aje kwako pia weka wazi ili kijana apate pa kuanzia
 
Kupata kazi Tanzania ni kazi na ukishapata hiyo kazi kufanya kazi napo ni kazi!
Hii kitu niliwahi kuipitia miaka kadhaa, nilipomaliza chuo nilikomaa nikapata kazi kwenye dispensary moja pale tabora mjini huku nikifanya na medical attendant wawili, wale medical attendant walikuwa na chuki hatari hasa kwa vijana wasomi mfano ukiwa na diploma au degree basi utakipata Cha moto mpaka utakimbia mwenyewe......basi kwakuwa Mimi nilikuwa na shida nyingi ilinibidi niwe mvumilivu .kitu Cha kwanza nilipangiwa kusafisha choo kwa siku mara tatu, nilikatazwa kufanya procedure yoyote Ile kwa mgonjwa kwa muda wa mwezi mzima eti niwe chini ya uangalizi wa wale medical attendant, siku NYINGINE nilipangiwa kufagia dispensary nzima mpaka o.p.d...........itaendelea
 
Kuna mahali unakosea,,,, sehemu zote nne sio bure ! Aidha ni mmbinafsi, unajikuta too competent, au unajikuta mjuaji sana, au unajikuta chawa wa boss au mmbea mmbea n.k ! Jitathimini,

! Ushauri jidundulize ujiajiri mwenyewe achana na kaz za manyanyaso, hio ni sehem ya nne bado huna amani ya moyo
 
Andika jina lako kwenye karatasi nyeupe !chukua chupa ya soda hasta take away weka chumvi ya mawe ndani yake weka maji humo kwenye chupa yenye chumvi halafu kunja karatasi hiyo weka ndani ya hiyo chupa yenye maji na chumvi!ifunike halafu itikise hadi vichanganyikane!weka hiyo chupa Mahalia salama hivyo ilivyo!

Wakati unaweka karatasi yenye jina Omba mungu chuki ziondoke kwako na baraka zijae kwako!!

Kuna mambo utaanza ku experience baada ya wiki moja na kuendelea iache hivyo hivyo hata mwaka mzima!!

Kuna baadhi ya mambo utaanza kuona ya tofauti!!
 
Huenda hukupangiwa kuajiriwa kufanya kazi, labda ulitakiwa kua mwajiri. Wakati mwingine hua tunang'ang'ania mahali tusipotakiwa kua.
Binafsi yananitokea Ila kesho yangu yenye kuwaka Kama mbalamwezi naiona kesho, yaani unaweza ukawa unapata mkosi Kama huo Ila kumbe ndio njia ya kukusukuma to another area, ukiwa unaachana na mwanamke usiumie , utakuja kuelewa with time.
Scripture put it clear that shukuru kwa Kila event haijasema nzuri Bali Kila jambo
 
Bado hujasema ukweli wako na maisha unayokuwa nayo ukiwa na watu makazini.
Haiwezekani ajira nne na zote unachikiwa bila sababu, huku ukitanabaisha kuwa wewe ni mpole
Weka wazi tabia zako hapo upewe ukweli la sivyo na sisi tutakuchukia
 
Sehemu zote nne. Itakuwa shida wewe. Ungepata mwanasaikolojia aukufanyie psychoanalysis agundue shida yako ipo wapi. Kuna shida za kisaikolojia za personality disoders ambazo hufanya mtu apate ugumu kuishi na wengine au kudumu na kazi.
 
Humu makazini Kuna katabia labda upo na rafiki yako ambaye unahisi unamwamini alafu may be katika story moja mbili unaongea Jambo lako ukidhani masihara na linaishia hapo, kumbe watu huwa Ni wa ajabu Jambo Hilo linafika kwa kiongozi huwezi kuamini. Mbaya zaidi Ni kwamba hutoweza kujua kamwe Kama limefika Bali utaanza kuona action kwa boss au wafanyakazi wenzako. Na hii maranyingi huwa inaathiri Sana.

Kingine Ni michezo ya nguvu za Giza. Na kuwa unanyooka Sana ktk utendaji wako, hakuna bosi anayependa kuona unamzidi uwezo mkuu, sababu mabosi wa kibongo ukiwa mwenye haki unachukiwa Sana sana
 
hiyo ndio bongo, utavunjwa moyo kwa majungu na fitina hayo ndio mambo yaliyotamalaki maofisini....njoo USA uwezo wako utaonekana bila kikwazo.
 
Ukiamka Asubuh kabla hujaoga Chukua yale maji ya Kuogea kisha yanuize ndo uogee.
Ksha Chukua Chumvi weka kwenye kiatu au soksi ya mguu upande wako wa kushoto (Kidogo tu)

Tumia mafuta ya ashers yale na maziwa Fresh changanya vizuri nawa uso wako fanya hivyo wa Siku sabaMfululizo hata siku ambayo Huendi kazini. Mwezi wa tatu Leta mrejesho hapo
 
BINADAMU ukikosa unafiki, basi tarajia hayo unayopitia,.....jamii zetu hazihitaji watu waliopinda sana wala walionyooka sana,....
 
Back
Top Bottom