Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Ndugu madocta, nina mdogo wangu wa kiume umri miaka 12 anasambuliwa na tatizo huli..tumetumia njia mbalimbali bt tumeshindwa, plz naomba nisaidiwe coz tunashindwa hata kumpeleka boarding school due to that
 
Kuna dawa inaitwa amitripyline ni ya depression ila inatibu na kukojoa au muwekeeni alarm hata mara mbili kwa usiku.
 
Kikojozi na nguo tuitie motoo huyoooooo aiseee si utani inasaidia sana mtoto asikojoe ebu jaribuni ilo zoezi.
 
Hakikisha unastudy muda huwa anakoja, tena mara ngapi? Baada ya hapo hakikisha unamuamsha kabla ya muda huo. hakikisha Zoezi hilo la wiki 2...kisha lete matokeo.
 
Hii dawa inauliziwa mara nyingi sana. dawa yake ni kumpa maji ya kutosha kila siku na hata anapoingia kulala. haya ni matokeo ya vyakula vilivyolimwa kwa kutumia mbolea za dukani.

Mpeni maji glasi 2 kila anapoenda kulala baada ya wiki 2 au3 sensor yake ya kumshitua usingizini akakojoe chooni itaanza kufanya kazi.
 
ndugu madocta, nina mdogo wangu wa kiume umri miaka 12 anasambuliwa na tatizo huli..tumetumia njia mbalimbali bt tumeshindwa, plz naomba nisaidiwe coz tunashindwa hata kumpeleka boarding school due to that

Dawa ya Kumtibu Mtoto kukojowa Kitandani Vifaa vyake upate hivi:

Upate Kwato La N'gombe tiya ndani yake Kaa La Moto kisha yule mgonjwa wa kukojowa Kitandani alinuse lile kwato la

N'gombe lilio na Kaa la Moto ndani yake, kisha Avue nguo zake awe uchi Apande juu ya mti kisha juu ya huo mti akojoe

mkojo ushuke chini akisha maliza kukojoa juu ya mti ashuke chini, afanye hiyo Dawa kwa Muda wa siku 7 kila siku Asubuhi

mapema sana atapona kabisa.

Mkuu.@leop Tumia hii dawa kisha uje hapa unipe Feedback
 
Dawa ya Kumtibu Mtoto kukojowa Kitandani Vifaa vyake upate hivi:

Upate Kwato La N'gombe tiya ndani yake Kaa La Moto kisha yule mgonjwa wa kukojowa Kitandani alinuse lile kwato la

N'gombe lilio na Kaa la Moto ndani yake, kisha Avue nguo zake awe uchi Apande juu ya mti kisha juu ya huo mti akojoe

mkojo ushuke chini akisha maliza kukojoa juu
ya mti ashuke chini, afanye hiyo Dawa kwa Muda wa siku 7 kila siku Asubuhi mapema sana atapona kabisa.

Mkuu.@leop Tumia hii dawa kisha uje hapa unipe Feedback

Mbona sasa huu ni wanga (uchawi)?

Hivi ataelewekaje na majirani? Juu ya mti yu uchi kisha hukojoa siku 7.
 
jamn idea zingne izo za kupandsa juu ya miti mara kwato c kama uchawi kabisa jmn hata majiran watatushangaa et
 
Nina mdogo wangu ana miaka 6 sasa ila bado anakojoa kitandani kwa anayejua dawa tafadhali naomba anijuze
 
Nina mdogo wangu ana miaka 6 sasa ila bado anakojoa kitandani kwa anayejua dawa tafadhali naomba anijuze

Mkuu mimi nimekojoa hadi form 1 ila iliacha yenyewe,ajitahidi awe anakunywa maji mchana tu.
 
FIMBO ni dawa isiyokua na gharama, zunguka hapo nyuma ya nyumba kata bokara ya mchongoma kisha kampe kutwa mara2, ikishindikana niletee mimi for atleast 5days njoo umchukue akiwa kapona kabisaaaaaa!
 
Mmh, hapa mgeni. Mie mzazi m'babe. Hapo no tv, no eating out, no sodas. Atanyooka tu! Nimesahau no kucheza.
 
Asikudanganye mtu, hamna dawa zaid utapoteza mda tu na hela, miaka 6? bado mdogo sana, me nakumbuka nilikuwa na hali hyo nimeacha nikiwa form 3 tena yenyewe.mwache tu uwe na bidii ya kumuasha usiku na maji anywe mchana.
 
asikudanganye mtu,hamna dawa zaid utapoteza mda tu na hela,miaka 6? bado mdogo sana,me nakumbuka nilikuwa na hali hyo nimeacha nikiwa form 3 tena yenyewe.mwache tu uwe na bidii ya kumuasha usiku na maji anywe mchana

Kwahiyo mimi na wewe tulikuwa vikojozi mi mpaka form 1,nilikuwa naota naogelea bwana.ila vikojozi ni watu wenye vizazi mno,wanazaa kinoma,mimi nimeowa juzi na bado niko honeymoon napiga 7-1 daily,tena nahisi nishaingiza kitu.Na wewe naamini utakuwa na watoto kikojozi mwezangu mstaafu!
 
FIMBO ni dawa isiyokua na gharama,zunguka hapo nyuma ya nyumba kata bokara ya mchongoma kisha kampe kutwa mara2,ikishindikana niletee mimi for atleast 5days njoo umchukue akiwa kapona kabisaaaaaa!!!

Hauko sahihi fimbo haiwezi kusaidia. Siyo makusudi.
 
Ila mimi ckubaliani na jamaa anayesema amuache mpaka form 1, mimi naona muhmu amtafutie dawa tu na mapemaaa ili kuepusha usumbufu wa kufua kila siku.
 
Back
Top Bottom