Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Yani hizo 40kg zimeongezeka hivi karibuni baada ya kutumia uji wa lishe kwa bidii zote.Before nilikua na 39.
Kipindi nikiwa mjamzito clinic ya mwisho. kabla ya kujifungua nilikuwa na 54kg, baada tu ya kujifungua nikarudi kule kule😂
Daah pole sana asee...Nidanganye ili nipate nini mkuu.
Nilichoandika ndio uhalisia,mpaka nimeleta uzi jukwaani,mkuu nimedhamiria kushinda hii hali
Kwakua shida ni kukosa appetite na sio kula chakula kidogo hata kama una hamu ya kula basi issue sio Volume ya mwili versus Food Quantity.
Je ushafikiria kwenda kwa daktar kuangalia nini kinafanya huna hamu ya kula muda mrefu?? Kama jibu hapana basi jaribu kumuona. Ushawahi kutumia Vitamin C? Kama ndio Je ilisaidia??
Ushauri kula chakula chenye kiwango kikubwa cha virutubisho si unajua hatuangalii Quantity of Food bali Quality yake ili kujenga mwili.
Laiti tungekua mkoa mmoja ningekutafutia dawa moja ya miti shamba upige bomba. Ingekukokoloa mafuta yote yaliyokugandamana mwilini mwako kuanzia kwenye Koo (Sehemu Lymph nodes zinapotengenezwa) hadi kwenye mishipa na utumbo. Mwenyewe ungekula tu bila kupenda