udongo mwekundu au wa pemba uko 'rich in iron'
na wanawake wengi wanakuwa anaemic sababu ya mzunguko wa kila mwezi au kwa sababu zingine.
Pia kama una ule ugonjwa wa haer..(kuota nyama sehemu za kutolea makapi) pia unasababisha kupungua damu.
Waone wataalamu, labda unaweza kuwa na tatizo la kupungua damu.
watu8 mimi sili chokaa, chaki, mchele, mkaa, ubuyu kwa saaana kama wale wengine! Afu ulaji wa udongo huo unaowaona huko SCOAN ni tofauti na wangu! Yani sijui nikuelezeje...siubugii kihovyohovyo ...tuseme kama mvuta sigara vile...siuwewesekei...i crave for it!
cha ajabu hapa ofisini kuna wadada kibao wanautumia hizo pemba...ukiend akwa wauzaji wanasema wanunuzi wakubwa ni wanawake? sasa swali langu kwa nini wanawake tuuu ndo wale hizi pemba?!?!?!?
Unayo Iron deficiency,.
Tumia vyakula vyenye kuongeza madini chuma!!
Wanajukwaa naombeni msaada wenu nna tatizo la kupenda sana kula udongo. Natamani sana kuacha lakini nimeshindwa kabisa.
Siipendi hii hali kwa sababu nasikia ni hatari kiafya japo sijui ni kwa kiwango gani.
Nakumbuka nilianza tangu nikiwa shule ya msingi hadi leo nimekuwa mtu mzima tatizo liko palepale.
Nisaidieni jamani before It's too late
Kula sana dagaa na samaki... Tatizo lako kutapungua kama sio kwisha!!
Kama sio ujauzito basi hua kuna mapungufu ya madini fulani ndio mana nenda hospitali
Pole mkuu
Kula sana dagaa na samaki... Tatizo lako kutapungua kama sio kwisha!!
Haya mavitu...wazazi msishangae badae mnawaona watoto wenu wa hovyohovyo sana, ukimuogesha basi dk 2 tu kaenda kugalagala kwenye vumbi na maudongo. Kwakuwa makuzi yake tangu tumboni ni mama kula udongo, mtoto nae anakuwa na hulka za maudongo.
pole sana una upunguvu wa madini....kula sana samaki hasa dagaa tafuna
Na usikilize ushauri uliopewa hapo juu