Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Ili wasiharibu uchunguzi.Tangu tupate Uhuru sijawahi kusikia mtumishi anasimamishwa kaxi kwa siku 10. Sheria unasemaje? Medard kalemani na doto biteko mtamsumbua huyu mama sana.
Nimepoteza hela kwa mpigo mmoja!! Sijapata Token wala tako! Na refund sijaona hadi muda huu.muhimu warudishe huduma mapem iwezekanavyo watu hatuna umeme tangu juzi, kinunua kwenye cm hela inakatwa token hairudi.
Naamini bwashee!
Saa nane bado?Wafanyakazi watatu wamesimamishwa kazi kwa kushindwa kutatua tatizo la LUKU na waziri mwenye dhamana. Waziri amemuagiza Mkurugenzi Mkuu kuutangazia umma kurejea kwa huduma ya LUKU saa 8 mchana leo