Tatizo la kununua Umeme wa LUKU: Waziri Kalemani amsimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA wa TANESCO

Tatizo la kununua Umeme wa LUKU: Waziri Kalemani amsimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA wa TANESCO

Professional hackers don’t need no ideas from me!
Hivi mtu akiwababua TANESCO au Bandari au TRA, akawa hack, akawapiga encryption ya ransomware, akadai ransom kama walivyofanyiwa Colonial Pipeline ya Marekani, Watanzania wana sheria za kushurutisha organization kutoa disclosure kwamba wamekuwa hacked?

Back
Top Bottom