Tatizo la kununua Umeme wa LUKU: Waziri Kalemani amsimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA wa TANESCO

Tatizo la kununua Umeme wa LUKU: Waziri Kalemani amsimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA wa TANESCO

Pumbavu. Hata mambo ya kitaalam ya programming mnataka kumpa mzigo mama, wataalam wapambane na hali zao, mmadhani programming ni kama mchezo wa kidali po.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Weee mpuuzi kweli mm mwenyewe nipo kwenye industry ya IT ,system zote sensitive lazima ziwe na backup,main ikiwa down backup inapeak automatically ,baadae ndipo mnapo troubleshoot main.Sasa kwa taasisi kubwa kama Tanesco ni aibu haikutakiwa kutokea hii kitu.Tukubali tu ni wazembe.
 
Waziri wa Nishati, Medard Kalemani amewasimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA na Huduma za Biashara wa TANESCO, Lonus Feruzi na wasaidizi wake Frank Mushi na Idda Nja.

Ametaka watoe maelezo ya tatizo la mifumo ya LUKU, na kuagiza maelezo yao yasipojitosheleza waondolewe kazini.

==
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amemsimamisha kazi kwa siku kumi Meneja wa Tehama na huduma za biashara wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) Lonus Feruzi na wasaidizi wake Frank Mushi na Idda Njau, ili watoe maelezo kufuatia kuwepo kwa tatizo katika huduma ya manunuzi ya LUKU kupitia njia za Kielekroniki.

Dkt. Kalemani amewaambia Waandishi wa habari mkoani Dar es salaam kuwa, endapo maelezo yao hayatajitosheleza Watumishi hao waondolewe kazini.

Kwa muda wa takribani siku tatu, wateja wa TANESCO wameshindwa kununua umeme wa LUKU kwa njia.ya Kielekroniki, na hivyo kulilazimu shirika hilo kuwaelekeza Wateja wake kununua umeme kwenye ofisi zake za mikoa na wilaya katika maeneo mbalimbali nchini.
Director General Bwana Tito Mwinuka atashughulikiwa lini?Vipi kuhusu Board pamoja na ile Risk ana Finance committee bado wapo hawa? Hawakuwahi kufanya Risk assesment?
Hawana recovery plan?. Hii Taasisi ni ya hovyo kabisa kumbe. Juzi hapa pale bandarini lilitokea tatizo kama hilohilo madhara tumeyaona mapema sana. Sijui serikali inakwama wapi?
 
• Hapo cha kufanya ni Kuwafukuza kabisa hao kwa uzembe huo kwasababu wamesababisha hasara kubwa na kisha wateuliwe vijana wengi tu hawana ajira na wana elimu na ujuzi wa kufanya kazi hizo.
 
Weee mpuuzi kweli mm mwenyewe nipo kwenye industry ya IT ,system zote sensitive lazima ziwe na backup,main ikiwa down backup inapeak automatically ,baadae ndipo mnapo troubleshoot main.Sasa kwa taasisi kubwa kama Tanesco ni aibu haikutakiwa kutokea hii kitu.Tukubali tu ni wazembe.
Kwahiyo kosa lipo tokea miaka na miaka sio?
 
Kwahiyo kosa lipo tokea miaka na miaka sio?
Sijui na kama lipo miaka na miaka ,ila kosa ni lao wenyewe Tanesco.

Nazungumzia system IT zinazo fanya kazi,ninapo fanya kazi mimi nasimamia system ambayo ina support services 11 na kuna backup na bado kuna server tatu zipo hazijawasha, hii yote kama kukitokea tatizo lolote unakuwa na options nyingi na kila siku tunaandika report kuhusu operations ya hii systems,kama kuna dalili za tatizo lolote kwanye syatem mnaanza kuifanyia kazi mapema.

Sasa kwa taasisi kubwa kama Tanesco wanashindwa na kuwa na backup ni aibu na ni uzembe.
 
Director General Bwana Tito Mwinuka atashughulikiwa lini?Vipi kuhusu Board pamoja na ile Risk ana Finance committee bado wapo hawa? Hawakuwahi kufanya Risk assesment?
Hawana recovery plan?. Hii Taasisi ni ya hovyo kabisa kumbe. Juzi hapa pale bandarini lilitokea tatizo kama hilohilo madhara tumeyaona mapema sana. Sijui serikali inakwama wapi?
Akchuali anayetakiwa kufutwa kazi Ni mwinuka na huyo waziri.
The way forward Ni wananchi wanunue umeme. Kumfuta mtu kazi kwa siku kumi kuta ongeza tatizo maana huyo jamaa aliyefutwa ndio anajua password za Hilo li server
 
Luku tayari ipo sawa. nunua kupitia bank au wakala
 
Back
Top Bottom